Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Tukamchuku
kwaiyo hawa ni wasukuma
e Eddie bas!Hiyo ndiyo huwa SIASA! Mambo mengine ni kupoteza muda na kutokuwa na uhakika kwa siku za mbeleni - kwa sababu kama huna hazina ya watu, malengo yako yote yatafifia.
Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA na wametoka sehemu moja katika KIJIJI KIMOJA, WILAYA MOJA, MKOA MMOJA na TAIFA MOJA.
Lakini hadi sasa hivi HARMONIZE ana uraia wa TANZANIA na EDDY KENZO ana uraia wa UGANDA.
kwaiyo hawa ni wasukuma