Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
Wewe endelea kujidanganya! Lakini inakupasa ufahamu ya kwamba - CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio chama cha kisiasa chenye wabunge wengi wa kuchaguliwa katika bunge la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 🇹🇿 baada ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.That CUF iliyokuwa imewekeza visiwani si hii CUF ambayo iko sponsored na CCM, the original CUF ndiyo hii ACT-Wazalendo ya sasa.
Wengine wanapiga kelele kutwa nzima! Lakini wana mbunge mmoja tu! Na sina uhakika kama huyo mbunge mwenyewe atarudi bungeni 2025 😂😂
"THE ORIGINAL CUF" ipo mkoa wa SHINYANGA, hao wengine ni wafanyakazi tu! Tena isitoshe, baada ya kufariki MAALIM SEIF SHARIF HAMAD kuna wimbi kubwa sana la wabunge wa TANZANIA VISIWANI litarudi CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️.
Hii itafananishwa na matukio ya EDWARD LOWASA kurudi CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️, kuna kundi kubwa sana la wanasiasa lilirudi CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ na kusababisha CHADEMA kudhohofika, mpaka leo hii chama kimepoteza muelekeo.
Na ACT - WAZALENDO 🖐️ kinaelekea huko huko! Hiki CHAMA kitadhohofika hata kabla ya kukua! Nadhani 2025 ndio itakuwa ni mwisho wa ACT - WAZALENDO 🖐️.
Hufahamu chochote kuhusu CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️.Kila mwenye akili timamu analijua hilo.
Hivi unafahamu mshahara anaopokea PROFESA IBRAHIM LIPUMBA pale CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️?Lipumba yuko kwenye payroll na hana namna kwani ndiyo njia yake ya ku survive na angalau aendelee kujidanganya kama yuko relevant,
Hivi unafahamu ni wakina nani walio nyuma ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️?
Hivi unafahamu uchumi wanaomiliki hawa walio nyuma ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️?
Hawa wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa kampuni ya mawasiliano ya TIGO TANZANIA.
Hawa wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ hata KHANGA zao wakati wa KAMPENI wanaziandaa wenyewe kwenye kiwanda chao cha KTM [ KARIBU TEXTILE MILL ] kinachopatikana DAR ES SALAAM.
Hawa wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ hakuna anayefuata kwa uchumi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️, isipokuwa HAYATI MWALIMU pekee yake.
Na hakuna WANAMTANDAO hatari, kama hawa wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️. Hawa wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wanaitwa "THE UNTOUCHABLES" kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿.
Wengine ni WABABAISHAJI na MATAPELI tu. Hakuna watu ndani CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ mwenye uwezo wa kupambana na hawa, zaidi ya SERENGETI yenyewe - tena kwa kutumia NGUVU YA DOLA.
TADEA imebaki kwenye makaratasi, hata OFISI YA CHAMA sidhani kama wanayo!haihitaji mpaka uwe na PHD ya nuclear physics kubaini ya kuwa kwa sasa CUF iko level moja na TADEA.
JOHN MAGALLE SHIBUDA 😂😂! Hivi kwani ni lazima wote tuwe na VYAMA VYA KISIASA? Ningeliomba wengine wabaki mashabiki tu! Huu mziki hawauwezi.
CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ kilishawahi kufukuza wabunge nane [ 8 ] kwa mkupuo na kikabaki salama. Kwahiyo hawa WANASIASA waliohamia ACT - WAZALENDO 🖐️ hawana madhara kuelekea UCHAGUZI MKUU wa 2025.Mchezo wote wa kuiua CUF(the original one) ulidhaminiwa na kusimamiwa na dola na walifanikiwa kwenye hilo ndipo option B kwao ikwa ni ACT-Wazalendo.
My pal! When you get a chance to comment on platform like JAMIIFORUMS you need to be very smart, otherwise you will lose all credibility.You're trying hard to deceive people lakini wajinga ni wachache kwenye mambo mepesi kama haya, all in all keep on trying.