Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Wako vizuri MWASHITA, Hata hiyo sub co yao ACACIA inafanya vema hata kwenye masuala ya kabumbu nao hawako nyuma.

8a3dde91808e0527ea4bece19f2034f4.png

Ukiondoa SERENGETI yaani CHUI kutoka TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, MLIMA KENYA kutoka KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช, WAHIMA kutoka UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ na WALUO kutoka KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช, wanaofuatia kwa uchumi mkubwa ni MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ. Jamii nyingine hazipo kwenye RAMANI kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI.

Na hata WALUO kutoka KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช wanaweza kupitwa kiuchumi kuanzia mwaka 2030, kwa sababu kuna mambo ambayo hayajawekwa wazi mpaka sasa hivi ambayo yanahusu SERIKALI ZA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ kwa pamoja.

Hizi SERIKALI ZA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ zinawahusu moja kwa moja jamii za SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ, kwa sababu wao ndio waliokuwa wadhamini wakuu wa vikundi vya waasi na hatimae vyama vya kisiasa vya RPF - INKOTANYI na CNDD - FDD ambavyo ndio vinaongoza SERIKALI ZA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ.

Vile vile hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ na SERENGETI yaani CHUI ndio wenye hisa kubwa kwenye viwanda vya kutengeneza bia vya TANZANIA BREWERIES LIMITED [ TBL ] na SERENGETI BREWERIES LIMITED [ SBL ].

Halafu pia, hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ ndio wamiliki halali kwa asilimia mia moja [ 100% ] wa kampuni ya EAST AFRICAN SPIRIT LIMITED inayotengeneza POMBE KALI kwa majina ya SHUJAA na DIAMOND ROCK kwa nchi za KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช, UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ na TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Kwahiyo, utaona ni jinsi gani hii jamii ya MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ walivyo vizuri KIUCHUMI na KISIASA.
 
Shukrani sana mkuu Charles Mandela.

Nimepata kitu kipya hapo kwenye Spirit na Fine Spirit, SBL, & TBL.
 
Shukrani sana mkuu Charles Mandela.

Nimepata kitu kipya hapo kwenye Spirit na Fine Spirit, SBL, & TBL.

695ebe5d7d7051ee0a120847b881355e.png

Sio kwenye SPIRIT tu! Sijui SBL na TBL [ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ]! Hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ ndio wenye makampuni yote yanayoitwa KILIMANJARO, kasoro maji ya KILIMANJARO yanayomilikiwa na kampuni ya COCA - COLA na bia ya KILIMANJARO inayomilikiwa na TANZANIA BREWERIES LIMITED [ TBL ].

Lakini kampuni zote zilizobaki zinazoitwa KILIMANJARO kuanzia kampuni ya usafirishaji ya majini yaani KILIMANJARO STAR CARGO inayofanya kazi pamoja na kampuni ya SILENT OCEAN LIMITED zote hizi ni kampuni zinazomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ.

Kampuni nyingine ni kama KILIMANJARO EXPRESS, KILIMANJARO MINING, KILIMANJARO HOTELS na KILIMANJARO OILS zote hizi ni kampuni zinazomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ.

Vile vile wafanyakazi wengi kwenye haya makumpuni ni MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ na muda sio mrefu wataanza kuweka WAKURUNGENZI WA MAKUMPUNI ambao ni MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ kama ilivyo kwenye kampuni ya mawasiliano ya TIGO TANZANIA na gazeti la MWANANCHI.

Kwa sababu hauwezi kusema kuwa umeshika UCHUMI halafu una wafanyakazi wengine! WAINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง wanasema hii ni - "Quite impossible" yaani ni kitu ambacho hakiwezekani.

Na hata hizi kampuni za MOHAMED ENTERPRISES TANZANIA LIMITED [ MeTL ] na LAKE OIL zitafanyiwa marekebisho muda sio mrefu, kwa sababu wema usizidi uwezo mpaka wengine waonekane ni wajinga. Hawa waliopo ni "WASHENZI" kwa sababu hawawezi kufanya mambo ya kijinga kwenye kampuni za watu halafu wakabaki salama! Kinachofuata ni "KUWAFUKUZA" wakatafute maisha sehemu nyingine huko.

Ulimwengu wa leo - hauwezi ukadohea dohea vitu vya watu ilmradi na wewe uonekane una hela au utokee kwenye JARIDA LA FORBES. Ni kitu ambacho hakiwezekani kwa akili ya kawaida.

Kwahiyo marekebisho lazima yafanyike kwenye kampuni zote zinazomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ. Sasa hivi wanatathimini mienendo yote na utendaji wote wa kampuni zote zinazomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ.

WAINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง huwa wanasema hivi - "We are no longer entitled to any SUPREMACY! We are well EQUIPPED and INDEPENDENT!" Hii kauli iko sawa sawa kabisa kwa jamii ya MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ.
 
Kwa marekebisho hayo jamaa zetu toka Nyanza,...., & Unyanyembe wamelamba dume.

Wale wa FORBES, Sijui wamejiandaaje kisaikolojia!?!!.

Fahari ya wazawa na Taifa lao.

MWASHITA wanasema, "Omukaya kwa wiza".
 
Kwa marekebisho hayo jamaa zetu toka Nyanza,...., & Unyanyembe wamelamba dume.
Ndio! Lakini hawa watu huwa hawajielewi kabisa! Yaani wanabebwa lakini hawajiongezi! Hii ni kama kwenye UCHAGUZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI - UDOM, mwaka 2012/13 hadi mwaka 2013/14. Hawa watu walibebwa sana! Lakini baada ya kuondoka mwaka 2014, naambiwa hakuna mwingine aliyeweza kufanya vile.

Na hiyo ndio SIASA ambayo WAINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง wanaita POLITICS! Na hiyo ndio SIASA ambayo WARUSI ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ wanaita POLITIKA!

Na hata kwenye UTAWALA WA HAYATI MWALIMU nae pia alifanya hivyo hivyo! Kwahiyo sitegemei kama utaniuliza uwepo wa JOSEPH SINDE WARIOBA kama WAZIRI MKUU au uwepo wa DAVID MUSUGURI kama MKUU WA MAJESHI au hata uwepo wa OMARY MAHITA kama MKUU WA JESHI LA POLISI.
Wale wa FORBES, Sijui wamejiandaaje kisaikolojia!?!!.
Siwezi kuwasemea! Lakini suala lililopo mezani ni kwamba - wapishe hatuna muda na hata ile menejimenti iliyowaruhusu kufanya hivyo nayo ipo kwenye utaratibu wa kuondolewa.
Fahari ya wazawa na Taifa lao.
Ndio! Na huo ndio UZALENDO! Kujaribu kueleza mambo mengine ni UNAFIKI tu.
MWASHITA wanasema, "Omukaya kwa wiza".
Ndio! Inabidi kuamka ili kuendana na KASI YA DUNIA kwa sababu DUNIA ikikuacha, itakuchukua miongo kama sio karne kuifikia.
 
Shukrani sana mkuu Charles Mandela.

Nimepata kitu kipya hapo kwenye Spirit na Fine Spirit, SBL, & TBL.
Sasa swali lingine ukiulizwa - CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ ni mali ya nani? Jibu lake ni mali ya muasisi ambaye ni HAYATI MWALIMU.

Swali lingine ukiulizwa - SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ inaongozwa na CHAMA gani? Jibu lake ni CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ.

Kwahiyo, CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ kilichoasisiwa na HAYATI MWALIMU ndio kinachoongoza SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Sasa swali lingine ukiulizwa - CHAMA CHA RPF - INKOTANYI ni mali ya nani? Jibu lake ni mali ya muasisi ambaye ni [...].

Swali lingine ukiulizwa - SERIKALI YA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ inaongozwa na CHAMA gani? Jibu lake ni CHAMA CHA RPF - INKOTANYI.

Kwahiyo CHAMA CHA RPF - INKOTANYI kilichoasisiwa na kudhaminiwa na [...] ndio kinachoongoza SERIKALI YA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ.

Swali lingine ukiulizwa - CHAMA CHA CNDD - FDD ni mali ya nani? Jibu lake ni mali ya muasisi ambaye ni [...].

Swali lingine ukiulizwa - SERIKALI YA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ inaongozwa na CHAMA gani? Jibu lake ni CHAMA CHA CNDD - FDD.

Kwahiyo CHAMA CHA CNDD - FDD kilichoasisiwa na kudhaminiwa na [...] ndio kinachoongoza SERIKALI YA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ.

3b5ce4939c9e4f692c4dd67f51407360.png

Kwahiyo SERIKALI YA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ au kwa jina lingine wanaitwa ni INTAMBA MURUGAMBA ndio inaongozwa na CHAMA CHA CNDD - FDD ambao wana UMOJA WA VIJANA unaoitwa IMBONERA NKURE, ikiwa ina maana ya VIJANA WANAO ONA MBALI.

Hiki CHAMA CHA CNDD - FDD ni chama cha kisiasa kilichoasisiwa na kudhaminiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ. Kwahiyo wanaongoza SERIKALI YA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ ni MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ na hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ ndio wenye SERIKALI YA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ.

Kwahiyo, kama ilivyo kwa RAIS WA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ - PAUL KAGAME ndivyo ilivyo kwa RAIS WA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ - EVARIST NDAYISHIMIYE, hawa wote ni wafanyakazi tu lakini wenye nchi hizi mbili wapo TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Na kwa upande wa nchi ya BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ tunaweza kusema kuwa ni FIKRA DUNI ndio zinazokwamisha maendeleo ya nchi ya BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ, kwa sababu wenye nchi wana uwezo wa kubadilisha taswira nzima ya kiuchumi ya BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ ndani ya kipindi kifupi tu na kuwa ni TAIFA LENYE UCHUMI WA KATI.

Kwahiyo, hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ itakuwa ni makosa makubwa sana kuwafananisha na wakina ADAM SAPI MKWAWA au OSCAR KAMBONA kwa sababu wao, hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ ndio wenye DOLA NA SERIKALI YA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ halafu hawa hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ ndio wenye CHAMA CHA WANANCHI - CUF โ˜€๏ธ.
 
Kuhusu NYUMBU D H20, BONITE B, na COKE.

Je, Yule, "SOMO WANGU" yaani "HAYATI BILLIONAIRE" hakuwa na mkono ktk products hizo?

images.jpeg

Hakuwa na mkono wowote kwenye hizo bidhaa! Na hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ hawaruhusu hisa kwenye biashara zao, lakini wao wana hisa kwenye biashara na kampuni za watu wengine. Na hii ni mbinu ya kibiashara.

Kwa mfano, hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ ndio wanaomiliki kampuni ya mawasiliano ya TIGO TANZANIA kwa asilimia mia moja [ 100% ] na hawaruhusu kuuza hisa zao. Lakini hawa hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ ndio wana hisa kwenye kampuni ya mawasiliano ya AIRTEL na VODACOM. Kwahiyo hii tunaweza kusema kuwa ni mbinu ya kibiashara kuamua kuuza hisa au kutouza hisa.

Na siku ambayo ukija kufahamu wamiliki halali wa kampuni za IPP ndio utashangaa! Kuwa ni kwanini hawa watu huwa wanafanya hivyo ilhali ni watu wasiokuwa na uwezo wa KIFEDHA wala uwezo wowote wa KIBIASHARA?

Yaani kilichokuwa kinafanyika kwa miaka yote ni UDALALI au UKUWADI WA KIBIASHARA halafu anapata asilimia kadhaa kwenye kila shughuli atakayokuwa anafanikisha.

Na hali hii ni mbaya sana kwa familia atakayokuwa ameiacha, kwa sababu aliwaaminisha wanafamilia kuwa na hali fulani ya KIUCHUMI ilhali sio! Na hawana uwezo wowote wa KIUCHUMI.

Tusiombee mabaya, lakini kinachofuatia ni FEDHEA, labda familia iwe imepata sehemu nyingine ya KUEGEMEA.
 
Kama ni hivyo, Basi wanaotakiwa kujiandaa kisaikolojia ni wengi sana.

Nilifikiri ni wana FORBES tu, Kumbe hata ndugu, majirani, jamaa, na marafiki nao yawapasa kuwa na moyo thabiti wakati marekebisho ya MWASHITA yatakapopamba moto.
 
Kama ni hivyo, Basi wanaotakiwa kujiandaa kisaikolojia ni wengi sana.

Nilifikiri ni wana FORBES tu, Kumbe hata ndugu, majirani, jamaa, na marafiki nao yawapasa kuwa na moyo thabiti wakati marekebisho ya MWASHITA yatakapopamba moto.
Ndio! Lakini sijafahamu hasa ni kwanini baadhi ya watu huwa wanaamua kufanya hivyo, ilhali hawana uwezo wowote wa KIUCHUMI wala uwezo wa KIFEDHA.

Kitu ambacho hawa watu huwa wanafanya ni UDALALI au UKUWADI WA KIBIASHARA na hali inakuja kuwa mbaya pale ambapo wamiliki halali wanapoamua kuchukua vitu vyao.

Kwa mimi binafsi huwa sihafiki hicho kitu, kwa sababu unakuwa na matumaini hewa! Ni bora uwe nacho cha kwako mwenyewe, hata kama ni kidogo lakini kiwe ni cha kwako. Hapo nafsi itatulia.
 
Shukrani sana mkuu Charles Mandela.

Nimepata kitu kipya hapo kwenye Spirit na Fine Spirit, SBL, & TBL.

7468e0e9703d100e76a5231db2133d69.png


f62a45d77deb9cf0164ecae317b74fe6.png


551ae7d8e24426ecc5efac7962af3f00.png


bb99af592d9af869bbc93245e0d1e91c.png


1154ce0862db2e97259f820ebe41b02d.png

Hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ ndio wenye CHAMA CHA CNDD - FDD na ndio wanaongoza SERIKALI YA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ na ndio wanao hudumia majeshi yote ya SERIKALI YA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ na ndio maana hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wapo vizuri sana kiintelijensia.

Na haya MAJESHI YA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ yamefanya INTERFERENCE kwa SERIKALI YA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ, ndio maana SERIKALI YA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wanafahamu kila kitu kinachofanyika na kupangwa na SERIKALI YA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ.

Sote tunafahamu kuwa - ile intelijensia ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ kabla ya kuhamia RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ ilikuwa TABORA - TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wanafahamu kila kitu kinachopangwa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ kupitia MAJESHI YA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ.

Na ndio maana hata taarifa za RATIBA ZA VIONGOZI WA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ huwa wanakuwa wanafahamu kupitia intelijensia ya BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ. Intelijensia ya BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ iko vizuri sana kuliko hata intelijensia ya RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Hata KIFO CHA HAYATI MAGUFULI, hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ kupitia intelijensia ya BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ walikuwa tayari wameshafahamu kuwa asingeliweza kumaliza vipindi vyake viwili vya URAIS. Na aliambiwa yeye mwenyewe lakini alikuwa ni mbishi na hata huyu PAUL MAKONDA na VIJANA wengine wa HAYATI MAGUFULI waliambiwa kabisa kuwa HAYATI MAGUFULI asingeliweza kumaliza vipindi vyake viwili vya URAIS, lakini wakawa wanasubiri waone itakuaje na kilichofuatia ni KIFO. Waliobaki ndio wakaanza kuamini..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ kupitia intelijensia ya BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ wanafahamu kila kitu ambacho kinaendelea kwa upande wa SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Na hii ndio huwa SIRI ya mafanikio ya MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ na isitoshe hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wana kila kitu ambacho kinaweza kuwa ni msaada kwa MAJESHI YA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ. Ni suala la muda tu, UCHUMI WA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ utarejea kama zamani.
 
Shukrani sana mkuu Charles Mandela.

Nimepata kitu kipya hapo kwenye Spirit na Fine Spirit, SBL, & TBL.
Halafu hawa SERENGETI yaani CHUI wakikukubali au wakikuamini na wakipendezwa na wewe huwa wanakuonesha SIRI zao na miradi yao kupitia intelijensia ya RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ. Hawa SERENGETI yaani CHUI wako vizuri mno!
 
Back
Top Bottom