Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
Wako vizuri MWASHITA, Hata hiyo sub co yao ACACIA inafanya vema hata kwenye masuala ya kabumbu nao hawako nyuma.
Na hata WALUO kutoka KENYA ๐ฐ๐ช wanaweza kupitwa kiuchumi kuanzia mwaka 2030, kwa sababu kuna mambo ambayo hayajawekwa wazi mpaka sasa hivi ambayo yanahusu SERIKALI ZA RWANDA ๐ท๐ผ na BURUNDI ๐ง๐ฎ kwa pamoja.
Hizi SERIKALI ZA RWANDA ๐ท๐ผ na BURUNDI ๐ง๐ฎ zinawahusu moja kwa moja jamii za SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ, kwa sababu wao ndio waliokuwa wadhamini wakuu wa vikundi vya waasi na hatimae vyama vya kisiasa vya RPF - INKOTANYI na CNDD - FDD ambavyo ndio vinaongoza SERIKALI ZA RWANDA ๐ท๐ผ na BURUNDI ๐ง๐ฎ.
Vile vile hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ na SERENGETI yaani CHUI ndio wenye hisa kubwa kwenye viwanda vya kutengeneza bia vya TANZANIA BREWERIES LIMITED [ TBL ] na SERENGETI BREWERIES LIMITED [ SBL ].
Halafu pia, hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ ndio wamiliki halali kwa asilimia mia moja [ 100% ] wa kampuni ya EAST AFRICAN SPIRIT LIMITED inayotengeneza POMBE KALI kwa majina ya SHUJAA na DIAMOND ROCK kwa nchi za KENYA ๐ฐ๐ช, UGANDA ๐บ๐ฌ na TANZANIA ๐น๐ฟ.
Kwahiyo, utaona ni jinsi gani hii jamii ya MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ walivyo vizuri KIUCHUMI na KISIASA.