Je Tanzania ya Sasa ni Nzuri ?
Maadui bado ni wale wale..., Umasikini, Ujinga na Maradhi......
Hawa maadui watatu wa taifa ambao SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 iliyokuwa inaongozwa na TANU iliwataja kama ni UMASIKINI, UJINGA NA MARADHI ni MASUALA YA KIJAMII NA MAHUSIANO YA WATU ambayo yanaweza kutatuliwa na SIASA SAFI.
Lakini baada ya miaka ya tisini yaani kuanzia miaka ya 1990s mpaka miaka ya 1997s, huu UKANDA WA MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION uligubikwa na SIASA ZA MAPINDUZI.
DUNIA ilishuhudia MAPINDUZI YA KIJESHI kwa hizi nchi za RWANDA 🇷🇼 NA BURUNDI 🇧🇮, mwaka 1994.
Na pia DUNIA ilishuhudia MAPINDUZI YA KIJESHI kwa nchi ya KONGO 🇨🇩, mwaka 1997.
Haya MAPINDUZI YA KIJESHI yote inavyosadikiwa na kuaminika ni kuwa HAYATI MWALIMU alihusika kikamilifu kwa asilimia mia moja [ 100% ].
Kwahiyo WANANCHI WA ASILI wa hizi nchi tatu za RWANDA 🇷🇼, BURUNDI 🇧🇮 NA KONGO 🇨🇩 bado wana kinyongo cha kulipiza kisasi dhidi ya SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 kwa yale yaliyotokea huko, miaka ya nyuma.
Na hawa MARAIS WOTE WATATU WA NCHI ZA RWANDA 🇷🇼, BURUNDI 🇧🇮 NA KONGO 🇨🇩 na wao walikuwa wapo vizuri kiuchumi na walikuwa wanafuata na kufanya mfumo wa "ACCORDANCE TO BUSINESS" katika kufanya na kuendesha shughuli zao za kiuchumi yaani BIASHARA.
Na moja ya wanafamilia za wale MARAIS WATATU WA NCHI ZA RWANDA 🇷🇼, BURUNDI 🇧🇮 NA KONGO 🇨🇩 tayari wameshawekeza TANZANIA 🇹🇿 kwenye upande wa UAGIZAJI WA MAFUTA YA DIZELI, PETROLI, MAFUTA YA TAA NA GESI ZA KUPIKIA MAJUMBANI. Kampuni hiyo inaitwa [...], sio vizuri kuitaja hadharani kwa sababu za kiusalama na kibiashara.
Lakini kampuni hiyo inataka kufanana na JINA LA UTANI la aliyekuwa RAIS WA MOJA ZA NCHI ZA RWANDA 🇷🇼, BURUNDI 🇧🇮 NA KONGO 🇨🇩. Hilo JINA LA UTANI ni [...] na maana yake kwa lugha ya kiingereza ni INVINCIBLE na maana yake kwa lugha ya kiswahili ni MTU AMBAYE HAONEKANI.
Kwahiyo hilo JINA LA UTANI la aliyekuwa RAIS WA MOJA ZA NCHI ZA RWANDA 🇷🇼, BURUNDI 🇧🇮 NA KONGO 🇨🇩 ndio limebeba JINA LA KAMPUNI, kwa kuondoa herufi ya kwanza ya "K" na kuweka herufi ya "M" ndio utapata JINA LA KAMPUNI iliyosajiliwa TANZANIA 🇹🇿.
Na hii kampuni inasimamiwa na WABELIGIJI 🇧🇪 kwa kutumia mwavuli wa WAARABU na inasadikiwa kwa siku za usoni hii kampuni inaweza kutumika kufadhili gharama za MAPINDUZI kama ni sehemu ya kulipiza kisasi.
Kwahiyo tofauti na maadui wa kipindi cha TANU ambao ni UJINGA, MARADHI NA UMASIKINI - HAYATI MWALIMU aliacha TAIFA LA TANZANIA 🇹🇿 kwenye sintofahamu kubwa dhidi ya hizi nchi tatu za RWANDA 🇷🇼, BURUNDI 🇧🇮 NA KONGO 🇨🇩, kiasi ambacho hawa wenyeji wa haya MATAIFA MATATU wanaweza kulipiza kisasi dhidi ya SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 kwa muda wowote.
Na haya ndio madhaifu au mapungufu mengine ya HAYATI MWALIMU aliyoyasababisha kwa TAIFA LA TANZANIA 🇹🇿, kiasi ambacho vyombo vya dola na ulinzi vinaingia gharama zisizokuwa za lazima.
Umasikini umezidi ingawa kuna wanaopata sana na wengine hakuna wanachopata..., yaani hata wakifa maiti zao zinawekwa rehani.., Ujinga umaetamalaki na magonjwa bado yanasumbua...
Ndio, kwa upande mwingine hali sio nzuri.
Na hii yote ni baada ya kupata wasomi wengi maradufu, kutumia rasilimali zetu na nyingine kuziuza kama njugu..., kukusanya Makodi ya kufa mtu na kutembeza bakuli la misaada kila kona..., Na cha zaidi Mabeberu wa sasa ni kuwa kufikirika wakati kipindi kile they were real (waulize kina Sankara na Patrice Lumumba).....
SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 inapitia kipindi kigumu sana lakini watavuka salama, ni jambo la kumuomba MUNGU.
Ndio hii Tanzania ya Sasa ambayo waasisi walikuwa wana-dream itakuja kuwa ?
Hapana!
Na bado hatujafika huko kwenye usasa ngoja miaka kadhaa ijayo hili tabaka linavyozidi kuongezeka mwisho wake ni Things Falling Apart...
Huo ndio ukweli wenyewe na wale waliowahi kutambua haya mapema walijikita kwenye sekta binafsi.