Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Kumbe leo ni SIKUKUU! Nawatakia kheri ya SIKUKUU ya MAULIDI. Tusherehekee kwa amani, upendo na mshikamano kama tulivyofundishwa na MTUME wetu [ SAW ] 😁😁

Ngoja na mimi nitumie siku hii adhimu kuwasiliana na WAFANYAKAZI waliopo KAMPALA - UGANDA 🇺🇬 na NAIROBI - KENYA 🇰🇪. Halafu baadae nitaingia mitaani kushangaa shangaa na siku ya IJUMAA nitakuwepo pale kwenye mkesha wa KANISA LA SAYUNI [ Shinyanga Mjini ] 😁😁

5d616d5d3f034c63584a74f7805025cd.png

We take pride in providing affordable, comfortable and reliable transport services for both passengers and parcels services.

Book your ticket today from the comfort of your home or office by calling +256 790 915 726, if you're in UGANDA 🇺🇬 and +254 730 889 000, if you're in KENYA 🇰🇪 or book online at Mash East Africa and experience simplified unmatched luxury bus travel.

We also offer daily overnight parcels deliveries across all our destinations including KAMPALA - UGANDA 🇺🇬. Your best bet for all matters of transport services.

We offer a reliable wide network of passengers and parcels services in EAST AFRICA.
 

9610eccf2a3e95a9042dea965f2355df.png

Haya inabidi tuchepuke kidogo na kuangalia matokeo ya mechi za jana kwenye michuano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE ⚽. Lengo ni kuwaonesha timu ambazo zinamilikiwa na WATANZANIA 🇹🇿.

Timu za mpira wa miguu ambazo zinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ni BORUSSIA DORTMUND na SHAKHTAR DONETSK.

Na timu za mpira wa miguu ambazo zinamilikiwa na SERENGETI yaani CHUI ni PSG, AC MILAN, ATLETICO MADRID na REAL MADRID.

Hizo ndio timu za mpira wa miguu ambazo zinazomilikiwa na WATANZANIA 🇹🇿 kwenye michuano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE ⚽, msimu wa 2021/22.

Na huu UZI tunaweza kuendelea nao mpaka mwaka 2050 na kuendelea huko endapo tu, tukiamua kuripoti kila kinachojili na kinachofanywa na jamii hizi mbili za MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na SERENGETI yaani CHUI.

Lakini lengo kubwa iwe ni HAYATI MWALIMU, kwa sababu nyuma ya jamii ya SERENGETI yaani CHUI ndio kuna HAYATI MWALIMU.
 
Haya ngoja tuendelee na huu uzi pale tulipoishia na ukizingatia kuna baadhi ya mambo yaliyojadiliwa kwenye huu uzi wa Kampuni ya Africarriers iliyoingia Mkataba wa Mabasi na Simba Sports Club ni mali ya nani? yanaingiliana na maudhui ya kwenye huu uzi.

Kwa wale wadau kama HUNIJUI SIKUJUI, Reginald L. Ishala, Wit na Muuza viatu huu uzi unawahusu moja kwa moja. Tuanze na UMILIKI WA KIWANDA CHA MAGARI YA EICHER MOTORS [ Hili ni jina la KIHINDI linalotamkwa AISHA ].

Hiki ni kiwanda ambacho kinatengeneza magari aina ya EICHER na kuna baadhi ya WATANZANIA [emoji1241] wanamiliki HISA kwenye hiki kiwanda cha magari kinachopatikana nchini INDIA [emoji1128].

WATANZANIA [emoji1241] wanaomiliki HISA kwenye hiki kiwanda cha magari kinachopatikana nchini INDIA [emoji1128] ni WANASIASA WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] akiwemo HAYATI MWALIMU mwenyewe na MWASHITA [ wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ].

Hali hii ndio ilipekea aina ya gari hizi za EICHER kuenea sana TANZANIA [emoji1241] hasa katika MKOA WA DAR ES SALAAM na baadhi ya mikoa mingine ya TANZANIA [emoji1241].

Na kampuni ambayo inatumika kama WAKALA WA USAMBAZAJI WA MAGARI YA EICHER ni kampuni ambayo inajulikana kwa jina la AFRICARRIERS LIMITED.

Hii kampuni ya AFRICARRIERS ni kampuni ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] kwa asilimia mia moja [ 100% ] na ni wakala wa magari ya EICHER na GOLDEN DRAGON kwa upande wa TANZANIA [emoji1241].

Na baadhi ya magari ya GOLDEN DRAGON ndio yanayotumika kama mabasi kwenye kampuni ya usafirishaji wa abiria ya FALCON, ambayo pia ni kampuni inayomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA [emoji881].
We jamaa hhahahahah
 

f6b1fb41fd688bdf728737d8899eb339.png

Jaribu tena kuangalia matokeo ya mechi za jana kwenye michuano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE ⚽. Lengo ni kuonesha timu zinazomilikiwa na WATANZANIA 🇹🇿.

Timu ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ni SEVILLA. Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanamiliki timu za mpira wa miguu zipatazo tatu [ 3 ] kwenye msimu huu wa mwaka 2021/22.

Na timu ambazo zinamilikiwa na SERENGETI yaani CHUI ni BAYERN MUNICH na CHELSEA. Kwahiyo hawa SERENGETI yaani CHUI wanamiliki timu za mpira wa miguu zipatazo tano [ 5 ] kwenye msimu huu wa mwaka 2021/22.

Na timu ambazo zinamilikiwa na WATANZANIA 🇹🇿 wengine tofauti na jamii za SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ni MALMO FF na WOLFSBURG.

Hizi timu za MALMO FF na WOLFSBURG wamiliki wake wanatoka MIKOA YA KASKAZINI MWA TANZANIA 🇹🇿 yaani [ MANYARA, ARUSHA, KILIMANJARO ]. Hawa wamiliki wa hizi timu za mpira ndio tunaweza kusema wanamiliki UCHUMI kwa kiasi fulani, sio sana.

Vile vile ukiondoa hizo timu za mpira tajwa hapo juu, pia kuna timu ya mpira wa miguu ambayo inamilikiwa na SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿. Timu hiyo ni [...]. Sio vyema kuitaja mapema kwa sababu wahusika wenyewe yaani SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 wamefanya ni SIRI.

Kwahiyo kwa kuangalia mechi za juzi na mechi za jana tayari umeshafahamu timu za mpira wa miguu ambazo zinamilikiwa na WATANZANIA 🇹🇿 kwenye michuano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE ⚽.
 
Teacher alikuwa mtu wa hovyo sn

IMG_20210621_113758.jpg

HAYATI MWALIMU hakuwa MTU WA HOVYO kama unavyojaribu kutuamisha hapa, kwa sababu kama angelikuwa ni MTU WA HOVYO asingeliweza kupata nafasi ya kudai UHURU WA TANGANYIKA na hatimae kuwa WAZIRI MKUU WA KWANZA WA TANGANYIKA na baadae kuwa RAIS WA KWANZA WA SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿.

Hivi vitu vyote haviji kienyeji enyeji tu, ina maana HAYATI MWALIMU alikuwa na kitu cha ziada kwenye MAISHA yake na uwezo wake wa kiuongozi ulikuwa ni mkubwa sana. Kwahiyo ni vyema na ni sahihi kabisa kumpa nafasi yake, heshima yake na hadhi yake kama BABA WA TAIFA.

Kwa wale waliowahi kuwa VIONGOZI hata kwa upande wa SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU kama mimi [ 😁😁😁 eeh lazima na mimi nijipe promo au sio ], watanielewa nasema nini kuhusu HAYATI MWALIMU.

Na hauwezi kumfananisha HAYATI MWALIMU na viongozi wengine, kwa sababu nafasi yake kama BABA WA TAIFA inatosha kabisa kuwa tofauti na viongozi wengine.

Na HAYATI MWALIMU baada ya kung'atuka madarakani mwaka 1985 na baada ya kuachia nafasi ya uenyekiti wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ mwaka 1990, alitumia muda wake mwingi kwenye MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA kama sehemu ya kujiimarisha KISIASA NA KIUCHUMI.

Ndio maana hawa wenyeji wa hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA wanamfahamu HAYATI MWALIMU vizuri kuliko hata wale wafuasi kindakindaki wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.
 
HAYATI MWALIMU hakuwa MTU WA HOVYO kama unavyojaribu kutuamisha hapa, kwa sababu kama angelikuwa ni MTU WA HOVYO asingeliweza kupata nafasi ya kudai UHURU WA TANGANYIKA na hatimae kuwa WAZIRI MKUU WA KWANZA WA TANGANYIKA na baadae kuwa RAIS WA KWANZA WA SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿.

Hivi vitu vyote haviji kienyeji enyeji tu, ina maana HAYATI MWALIMU alikuwa na kitu cha ziada kwenye MAISHA yake na uwezo wake wa kiuongozi ulikuwa ni mkubwa sana. Kwahiyo ni vyema na ni sahihi kabisa kumpa nafasi yake, heshima yake na hadhi yake kama BABA WA TAIFA.

Kwa wale waliowahi kuwa VIONGOZI hata kwa upande wa SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU kama mimi [ 😁😁😁 eeh lazima na mimi nijipe promo au sio ], watanielewa nasema nini kuhusu HAYATI MWALIMU.

Na hauwezi kumfananisha HAYATI MWALIMU na viongozi wengine, kwa sababu nafasi yake kama BABA WA TAIFA inatosha kabisa kuwa tofauti na viongozi wengine.

Na HAYATI MWALIMU baada ya kung'atuka madarakani mwaka 1985 na baada ya kuachia nafasi ya uenyekiti wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ mwaka 1990, alitumia muda wake mwingi kwenye MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA kama sehemu ya kujiimarisha KISIASA NA KIUCHUMI.

Ndio maana hawa wenyeji wa hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA wanamfahamu HAYATI MWALIMU vizuri kuliko hata wale wafuasi kindakindaki wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.
Hakuna lolote, nchi zote zilizopata uhuru aliwapelekea yeye uhuru? sema wakoloni muda wao uliisha. Over
 
Je Tanzania ya Sasa ni Nzuri ?
Maadui bado ni wale wale..., Umasikini, Ujinga na Maradhi......

Umasikini umezidi ingawa kuna wanaopata sana na wengine hakuna wanachopata..., yaani hata wakifa maiti zao zinawekwa rehani.., Ujinga umaetamalaki na magonjwa bado yanasumbua...

Na hii yote ni baada ya kupata wasomi wengi maradufu, kutumia rasilimali zetu na nyingine kuziuza kama njugu..., kukusanya Makodi ya kufa mtu na kutembeza bakuli la misaada kila kona..., Na cha zaidi Mabeberu wa sasa ni kuwa kufikirika wakati kipindi kile they were real (waulize kina Sankara na Patrice Lumumba).....

Ndio hii Tanzania ya Sasa ambayo waasisi walikuwa wana-dream itakuja kuwa ? Na bado hatujafika huko kwenye usasa ngoja miaka kadhaa ijayo hili tabaka linavyozidi kuongezeka mwisho wake ni Things Falling Apart...
 
Je Tanzania ya Sasa ni Nzuri ?
Maadui bado ni wale wale..., Umasikini, Ujinga na Maradhi......

IMG_20211021_161102.jpg

Hawa maadui watatu wa taifa ambao SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 iliyokuwa inaongozwa na TANU iliwataja kama ni UMASIKINI, UJINGA NA MARADHI ni MASUALA YA KIJAMII NA MAHUSIANO YA WATU ambayo yanaweza kutatuliwa na SIASA SAFI.

Lakini baada ya miaka ya tisini yaani kuanzia miaka ya 1990s mpaka miaka ya 1997s, huu UKANDA WA MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION uligubikwa na SIASA ZA MAPINDUZI.

DUNIA ilishuhudia MAPINDUZI YA KIJESHI kwa hizi nchi za RWANDA 🇷🇼 NA BURUNDI 🇧🇮, mwaka 1994.

Na pia DUNIA ilishuhudia MAPINDUZI YA KIJESHI kwa nchi ya KONGO 🇨🇩, mwaka 1997.

Haya MAPINDUZI YA KIJESHI yote inavyosadikiwa na kuaminika ni kuwa HAYATI MWALIMU alihusika kikamilifu kwa asilimia mia moja [ 100% ].

Kwahiyo WANANCHI WA ASILI wa hizi nchi tatu za RWANDA 🇷🇼, BURUNDI 🇧🇮 NA KONGO 🇨🇩 bado wana kinyongo cha kulipiza kisasi dhidi ya SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 kwa yale yaliyotokea huko, miaka ya nyuma.

Na hawa MARAIS WOTE WATATU WA NCHI ZA RWANDA 🇷🇼, BURUNDI 🇧🇮 NA KONGO 🇨🇩 na wao walikuwa wapo vizuri kiuchumi na walikuwa wanafuata na kufanya mfumo wa "ACCORDANCE TO BUSINESS" katika kufanya na kuendesha shughuli zao za kiuchumi yaani BIASHARA.

Na moja ya wanafamilia za wale MARAIS WATATU WA NCHI ZA RWANDA 🇷🇼, BURUNDI 🇧🇮 NA KONGO 🇨🇩 tayari wameshawekeza TANZANIA 🇹🇿 kwenye upande wa UAGIZAJI WA MAFUTA YA DIZELI, PETROLI, MAFUTA YA TAA NA GESI ZA KUPIKIA MAJUMBANI. Kampuni hiyo inaitwa [...], sio vizuri kuitaja hadharani kwa sababu za kiusalama na kibiashara.

Lakini kampuni hiyo inataka kufanana na JINA LA UTANI la aliyekuwa RAIS WA MOJA ZA NCHI ZA RWANDA 🇷🇼, BURUNDI 🇧🇮 NA KONGO 🇨🇩. Hilo JINA LA UTANI ni [...] na maana yake kwa lugha ya kiingereza ni INVINCIBLE na maana yake kwa lugha ya kiswahili ni MTU AMBAYE HAONEKANI.

Kwahiyo hilo JINA LA UTANI la aliyekuwa RAIS WA MOJA ZA NCHI ZA RWANDA 🇷🇼, BURUNDI 🇧🇮 NA KONGO 🇨🇩 ndio limebeba JINA LA KAMPUNI, kwa kuondoa herufi ya kwanza ya "K" na kuweka herufi ya "M" ndio utapata JINA LA KAMPUNI iliyosajiliwa TANZANIA 🇹🇿.

Na hii kampuni inasimamiwa na WABELIGIJI 🇧🇪 kwa kutumia mwavuli wa WAARABU na inasadikiwa kwa siku za usoni hii kampuni inaweza kutumika kufadhili gharama za MAPINDUZI kama ni sehemu ya kulipiza kisasi.

Kwahiyo tofauti na maadui wa kipindi cha TANU ambao ni UJINGA, MARADHI NA UMASIKINI - HAYATI MWALIMU aliacha TAIFA LA TANZANIA 🇹🇿 kwenye sintofahamu kubwa dhidi ya hizi nchi tatu za RWANDA 🇷🇼, BURUNDI 🇧🇮 NA KONGO 🇨🇩, kiasi ambacho hawa wenyeji wa haya MATAIFA MATATU wanaweza kulipiza kisasi dhidi ya SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 kwa muda wowote.

Na haya ndio madhaifu au mapungufu mengine ya HAYATI MWALIMU aliyoyasababisha kwa TAIFA LA TANZANIA 🇹🇿, kiasi ambacho vyombo vya dola na ulinzi vinaingia gharama zisizokuwa za lazima.
Umasikini umezidi ingawa kuna wanaopata sana na wengine hakuna wanachopata..., yaani hata wakifa maiti zao zinawekwa rehani.., Ujinga umaetamalaki na magonjwa bado yanasumbua...
Ndio, kwa upande mwingine hali sio nzuri.
Na hii yote ni baada ya kupata wasomi wengi maradufu, kutumia rasilimali zetu na nyingine kuziuza kama njugu..., kukusanya Makodi ya kufa mtu na kutembeza bakuli la misaada kila kona..., Na cha zaidi Mabeberu wa sasa ni kuwa kufikirika wakati kipindi kile they were real (waulize kina Sankara na Patrice Lumumba).....
SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 inapitia kipindi kigumu sana lakini watavuka salama, ni jambo la kumuomba MUNGU.
Ndio hii Tanzania ya Sasa ambayo waasisi walikuwa wana-dream itakuja kuwa ?
Hapana!
Na bado hatujafika huko kwenye usasa ngoja miaka kadhaa ijayo hili tabaka linavyozidi kuongezeka mwisho wake ni Things Falling Apart...
Huo ndio ukweli wenyewe na wale waliowahi kutambua haya mapema walijikita kwenye sekta binafsi.
 

0f86132309bea41b548fa4774c4dfb7b.png

Jaribu tena kuangalia matokeo ya mechi za jana kwenye michuano ya UEFA EUROPA LEAGUE ⚽. Lengo ni kukuonesha timu za mpira wa miguu ambazo zinamilikiwa na WATANZANIA 🇹🇿. Timu hizo ni NAPOLI na KRC GENK, hizi timu zote za mpira wa miguu zinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁.
 
Hizi EICHER mpaka leo zipo na sehemu nyingine nimeziona zinatumika kama "SCHOOL BUS".

GOLDEN DRAGON ni kampuni nzuri lakini kuna machache ya kurekebisha ili kuhimili USHINDANI wa kampuni nyingine kama SCANIA, MERCEDES BENZ, TATA na kampuni nyingine nyingine za kufanana na hizo.
Ni kweli, Mkuu!

Hiyo chapa ya EICHER muda huu pia inatumika katika ubebaji wa vifusi kwa ajili ya maandalizi ya kutandaza lami pale LAKE ZONIA maeneo ya BUHONGWA.

Huyu TATA kuna kipindi aliadimika sana MJINI, Lakini wakati huu naona shule za medium pale LAKE ZONIA zinamtumia kwa kasi sana sambamba na huyu SCANIA.
 
Hakuna lolote, nchi zote zilizopata uhuru aliwapelekea yeye uhuru? sema wakoloni muda wao uliisha. Over
Samahani, Mkuu wangu Babati

Usinichukie, tunaelimishana kidogo.

MWALIMU alitoa mchango mkubwa sana kwa zile FRONT LINE STATES.

Queen Elizabeth na waziri wake Winston Churchil waliingia mzozoni juu ya MWALIMU, Na waziri alikinywea.
 
Ikiwa RBC watataka kisasi juu yetu,

Je, TWIGA CEMENT watachomokaje salama katika hilo?

Mkuu, Charles Mandela!
 


Leo ni siku ya KUMBUKUMBU YA HAYATI MWALIMU, ngoja tumuenzi kwa kusikiliza HOTUBA yake inayohusu MUUNGANO WA SERIKALI YA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.

Samahani, Mkuu!
Nina shida kidogo hapo kwenye suala la Muungano. [Private Message].

Naomba unifahamishe moja na mbili kuhusu Bw. Frank Calucci.

Pia kuna kitu natamani hapo kwa Elizabeth II, nitakuona PM.
 
Back
Top Bottom