Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

porojo.
giphy.gif
That's our BOY! Another MILLION DOLLARS 💵 to that RAPPER 🙏🏽
 
MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na SERENGETI yaani CHUI ndio JAMII MBILI ZA TANZANIA 🇹🇿 ambazo zinamiliki TIMU ZA MPIRA WA KIKAPU kwenye LIGI KUU YA MPIRA WA KIKAPU yaani NBA nchini MAREKANI 🇺🇲.

Timu ya mpira wa kikapu 🏀 ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ni [...] na timu ya mpira wa kikapu 🏀 ambayo inamilikiwa na SERENGETI yaani CHUI ni [...].

Sasa hivi ni mapema sana kutaja timu hizo kwa sababu ya kibiashara, lakini timu hizo ni miongoni mwa timu zilizoorodhozeshwa hapo juu.

Na haijaishia hapo!! Hizi JAMII MBILI ZA TANZANIA 🇹🇿 - MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na SERENGETI yaani CHUI wameanza kutilia mkazo kwenye JAMII inayowazunguka, kwa kuchukua orodha ya kila KAYA na kuwaweka kwenye malengo ya baadae.

Kwa sababu hauwezi kuwa na timu za mpira wa kikapu 🏀 kwenye LIGI KUU YA MAREKANI 🇺🇲 halafu jamii unayotoka ni MASIKINI! Sasa ndio utakuwa unafanya mambo gani hayo.. 😁😁

Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wapo kwenye muendelezo wa kusaidia kila KAYA kwa kuwapatia ajira watu wao kwenye kampuni ambazo wanazimiliki wao wenyewe.

Kwa upande wa SERENGETI yaani CHUI, wao wapo vizuri zaidi kwa sababu wao ndio wenye DOLA YA TANZANIA 🇹🇿 na wao ndio wenye CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️. Kwahiyo SERENGETI yaani CHUI wana fursa nyingi sana ukilinganisha na jamii ya MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Lakini mwisho wa siku, sote tutakuwa sawa. WAINGEREZA 🇬🇧 huwa wanasema hivi - At the end of the time, we will all be on the same kingship .
Na kwenye hizo timu za MPIRA WA KIKAPU 🏀 zinazoshiriki LIGI KUU YA MPIRA WA KIKAPU NCHINI MAREKANI 🇺🇲 yaani NBA kama zinavyoonekana kwenye picha hapo juu, kuna timu ya MPIRA WA KIKAPU 🏀 ambayo inamilikiwa na SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿.

Kwahiyo ukiondoa JAMII ZA MWASHITA YAANI SIMBA 🦁 NA SERENGETI YAANI CHUI ambazo zinamiliki TIMU ZA MPIRA WA KIKAPU 🏀 nchini MAREKANI 🇺🇲, pia kuna SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 na yenyewe inamiliki TIMU YA MPIRA WA KIKAPU 🏀 inayoshiriki LIGI KUU nchini MAREKANI 🇺🇲.
 
Ulipoanza mambo ya MWASHITA na chui nimeshindwa kukuelewa, hao MWASHITA ndio kina nani na chui ndio wapi
 
Kwani wamaomsifia nyerere kupita kiasi ni nani?
Si ni hawa wafuasi wake aliyo watching ulaji,wanafikiri Tanzania ni Mali yao wamerithishwa
 
Kwani wamaomsifia nyerere kupita kiasi ni nani?
Kuna MAKUNDI MAWILI ambayo yanamsifia HAYATI MWALIMU kupita kiasi. Kundi la kwanza ni wale WATU ambao hawamfahamu vizuri HAYATI MWALIMU na kundi la pili ni wale WATU ambao walinufaika na uwepo wa UTAWALA WA HAYATI MWALIMU na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kwa ujumla.
Si ni hawa wafuasi wake aliyo watching ulaji,wanafikiri Tanzania ni Mali yao wamerithishwa
Kwa sasa TANZANIA 🇹🇿 ni MALI yao, mpaka pale MABADILIKO YA KWELI YA KISIASA yatakapotokea! Ndio tutasema TANZANIA 🇹🇿 ni ya WATANZANIA wote bila ya kujali DINI, RANGI wala KABILA la MTU.
 
Nimepata kitu hapo mkuu.



Hii pia ilikuwa ni mechi kati ya JWANENG GALAXY FC ya BOTSWANA 🇧🇼 na SIMBA SC ya TANZANIA 🇹🇿, lakini timu ya mpira wa miguu ya JWANENG GALAXY FC ya BOTSWANA 🇧🇼 ni timu ambayo inamilikiwa na SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 na timu ya mpira wa miguu ya SIMBA SC ni timu ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Kwahiyo, hizo timu zilizokutana - timu moja inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na timu nyingine inamilikiwa na SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿.

Ndio maana, wale JWANENG GALAXY FC ya BOTSWANA 🇧🇼 walivyokuja TANZANIA 🇹🇿 walikuwa na nguvu pamoja na morali ya mchezo kwa sababu walikuwa wamekuja nyumbani, ambapo ni TANZANIA 🇹🇿.

Hii hali, hata wachezaji wa SIMBA SC wenyewe hawakutegemea na inawezekana kuwa hawafahamu mpaka leo, lakini wale JWANENG GALAXY FC ya BOTSWANA 🇧🇼 ni timu ambayo inamilikiwa na SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿.

Vile vile kwa upande wa BOTSWANA 🇧🇼, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanamiliki timu ya mpira wa miguu ambayo inashiriki LIGI KUU nchini BOTSWANA 🇧🇼 ambayo inaitwa TOWNSHIP ROLLERS FC na ndio washindani wakubwa wa JWANENG GALAXY FC.

Hii yote ni SIASA kupitia upande wa sekta ya MICHEZO 🙏🏽.
 
Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wamiliki halali wa kampuni za usafirishaji wa abiria na mizigo za MASHCOOL, SIMBA COACH, MODERN COAST na TAHMEED.

Kampuni zote hizi MAKAO MAKUU yake yanapatikana nchini KENYA 🇰🇪, hususani NAIROBI na MOMBASA, na zinafanya kazi kwenye nchi zipatazo tano [ 5 ] ambazo ni TANZANIA 🇹🇿, KENYA 🇰🇪, UGANDA 🇺🇬, RWANDA 🇷🇼 na SUDANI YA KUSINI 🇸🇸.

Na hii ni kampuni ambayo inamilikiwa na moja ya MAJESHI YA TANZANIA 🇹🇿, inaitwa JAMBO GROUP OF COMPANIES. Hii ni kampuni kubwa sana kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI.

Hii kampuni ya JAMBO GROUP OF COMPANIES inamiliki ndege aina ya BOMBARDIER Q - 400 kupitia kampuni ndogo inayoitwa JAMBO JET. Hii kampuni ya JAMBO JET inafanya shughuli zake ndani na nje ya KENYA 🇰🇪.

Hii kampuni ya JAMBO GROUP OF COMPANIES inajumuisha kampuni ndogo ndogo zaidi ya kumi [ 10 ], ambazo ni JAMBO GROUP OF COMPANIES, FLY JAMBO JET, JAMBO EXPRESS, JAMBO SUPERMARKETS, RADIO JAMBO KENYA, JAMBOLAND REAL ESTATE, JAMBO ELECTRONICS KENYA, JAMBO DESIGNINGS, ARUSHA JAMBO HOUSES, JAMBO BUKOBA, JAMBO PROPERTY, JAMBO ICE CREAM, JAMBO LIQUORS KENYA na kundi la wasanii linalokwenda kwa jina la JAMBO SQUAD.



Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanafahamu kinagaubaga kila kitu kinachofanyika na kuendelea SERIKALINI na namna ambavyo SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 inayoongozwa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ inavyojidhatiti kwenye huu ukanda wa AFRIKA YA MASHARIKI na MAZIWA MAKUU kwa ujumla.

Kwahiyo, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanafahamu kila kitu kinachopangwa na kufanyika ndani SERIKALI na SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 sasa hivi imeongeza ulinzi maradufu kupitia SEKTA YA UWEKEZAJI KATIKA NYANJA MBALIMBALI ikiwa ni ndani na nje ya TANZANIA 🇹🇿.

Sasa hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na wao wameamua kuboresha kampuni zao kwenye nyanja mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutofungamana na upande wowote au kutojihusisha na siasa zisizowahusu.

Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wao ndio wamiliki halali wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️, tofauti na hapo hawahusiki na SIASA za aina yoyote iwe ni ndani ya TANZANIA 🇹🇿 au hata nje ya TANZANIA 🇹🇿.

Kwahiyo, MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wameanza kujihami kwa namna hiyo na wanahusika kutatua changamoto za kijamii zinazowakumba MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA na hawahusiki tofauti na hapo.


-5847139035229826306_121.jpg

Huu ni UJUMBE WA PICHA kutoka kwenye NEWS FEED TELEGRAM ya TBC1. Kwahiyo sasa hivi hata SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 yenyewe imeanza kutoa na kuachia baadhi ya taarifa zake kwa njia ya PICHA.
 
Nimepata kitu hapo mkuu.

-5847983816642246416_121.jpg

Na hii pia ni baadhi ya dondoo za ripoti ya ukaguzi wa CAG kwa mwaka 2019/20 ambapo walibaini SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 inaweza kupoteza kiasi cha shilingi bilioni 265.85 kwa vitendo vya RUSHWA, UDANGANYIFU na UBADHIRIFU kutokana na udhaifu katika mifumo ya ukusanyaji wa mapato.

Sasa hali hii haijaanza leo wala jana! Ilikuwepo tangu siku nyingi, yaani tangu TANGANYIKA imepata UHURU wake na hata baada ya MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR na kuunda SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 bado PESA ZA SERIKALI zilikuwa zinapotea katika MAZINGIRA ya RUSHWA, UDANGANYIFU na UBADHIRIFU wa mali ya umma.

Kwahiyo kuna baadhi ya WATANZANIA wametajirika sana kupitia mianya na madhaifu ya SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 na huo ndio UKWELI HALISI.



Na hiyo hapo juu ni VIDEO inayoonesha RAIS WA SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿, SAMIA SULUHU HASSAN alipokutana na RAIS WA SERIKALI YA UGANDA 🇺🇬, YOWERI KAGUTA MUSEVENI ambapo alitoa maagizo ya kununua SUKARI kutoka nchini UGANDA 🇺🇬.

Sasa, ukiondoa VIWANDA VYA SUKARI VYA KAGERA SUGAR NA MTIBWA SUGAR vinavyomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁. Vile vile hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na wao wanamiliki kiwanda cha SUKARI cha [...], kinachopatikana nchini UGANDA 🇺🇬 na hicho kiwanda kipo chini ya kampuni ya [...] ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Kwahiyo SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 ikianza kununua na kuagiza SUKARI kutoka nchini UGANDA 🇺🇬 na hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wa TANZANIA 🇹🇿 wataanza kuleta na kuingiza bidhaa ya SUKARI kutoka UGANDA 🇺🇬 hadi TANZANIA 🇹🇿, kwa kutumia fursa aliyoitangaza RAIS WA SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿.
 
Sasa hivi kuna kampuni mpya ya USAFIRISHAJI WA MAFUTA YA DIZELI, PETROLI NA MAFUTA YA TAA. Hii kampuni inaitwa UNIQUE na ni kampuni ambayo inamilikiwa na moja ya MAJESHI YA TANZANIA 🇹🇿. Kwahiyo sasa hivi SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 inajikita sana kwenye upande wa UWEKEZAJI WA KIUCHUMI, kama ni sehemu mojawapo ya kuimarisha ULINZI NA USALAMA.

images.jpeg

Sasa ukiondoa kampuni ambayo inamilikiwa na moja ya MAJESHI YA TANZANIA 🇹🇿 ya USAFIRISHAJI WA MAFUTA YA DIZELI, PETROLI NA MAFUTA YA TAA inayokwenda kwa jina la UNIQUE.

Hilo JESHI LA [...] ndio linamiliki kampuni inayotengeneza MARASHI yanayoitwa UNIQUE PERFUMES & FRAGRANCE kama unavyoona kwenye picha hapo juu.

Hayo MARASHI ya UNIQUE mara nyingi huwa yanatumiwa na VIONGOZI WA JESHI WAANDAMIZI kama ni sehemu ya kuenzi na kutumia bidhaa zinazotengenezwa na kampuni ambayo inamilikiwa na JESHI LAO.

Vile vile hiyo kampuni inayotengeneza MARASHI ya UNIQUE ni kampuni kubwa sana na wanasambaza bidhaa zao ulimwengu mzima na kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿 hiyo kampuni ya UNIQUE ina kampuni wenza ambazo zinajulikana kama UNIQUE AIR CARGO, UNIQUE UPHOLSTERY na UNIQUE FURNITURE.

Kwahiyo ukiondoa hizi jamii mbili za SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 zinazomiliki MARASHI yao, pia kuna MAJESHI YA TANZANIA 🇹🇿 ambayo na yenyewe huwa yanamiliki MARASHI yao na huwa inatumika kama utambulisho wa KIJESHI kwenye shughuli na hafla mbali mbali za kiserikali.
 
Nimepata kitu hapo mkuu.

c556adfd416640d1680e8f662599e598.png

Hii ni DER KLASSIKER yaani itakuwa ni mechi kati ya timu ya BAYERN MUNICH na BORUSSIA DORTMUND kwenye muendelezo wa LIGI KUU YA UJERUMANI 🇩🇪.

Sasa hizi timu zote kwa maana ya BAYERN MUNICH na BORUSSIA DORTMUND ni timu ambazo zinazomilikiwa na SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

#streetvibes #streetwalk #scaffolding #dailywalk #pedestrian #lenstanzania #lensculturestreet #sidewalker #FootballAsItsMeantToBe #DerrKlassiker🇩🇪
 
We jamaa kama n ukwel bas unajua mambo meng sana na ww n mmoja wa simba na chui.
Na kama n uongo basi unakipaji cha kuufanya uongo kuwa ukweli.
Ndio! Mimi ni miongoni mwa jamii mojawapo kati SERENGETI yaani CHUI au MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na isitoshe SIASA ZA TANZANIA 🇹🇿 nazifahamu kwa kiasi fulani.

Na huu ndio UKWELI HALISI kuhusu TANZANIA 🇹🇿. Ngoja nikipata muda mzuri kuna kitu nitawaonesha kuhusu UCHUMI WA TANZANIA 🇹🇿 na wanaomiliki huo UCHUMI.

Sasa tena, jaribu kupitia hii VIDEO inayohusu nyimbo iliyotungwa na kuimbwa na JESHI LA POLISI na wahusika waliotokea na kuonekana kwenye hiyo VIDEO.





Hao waliotokea kwenye VIDEO hapo juu, yaani waliovaa mavazi ya RANGI NYEKUNDU ndio MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na hiyo nyimbo imebeba maudhui makubwa sana.


c9b091cf665db0daf9d2dcd96e15ac5b.png


Jaribu tena kuangalia hiyo PICHA hapo juu ambapo RAIS WA RWANDA 🇷🇼, PAUL INGABIRE KAGAME akiwa pamoja na baadhi ya VIONGOZI WA SERIKALI YA RWANDA 🇷🇼. Yule nyuma aliyesimama na aliyevaa mavazi ya RANGI NYEKUNDU anawakilisha jamii ya MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

#streetvibes #streetwalk #scaffolding #dailywalk #pedestrian #lenstanzania #lensculturestreet #sidewalker #strorytime #streetbeast #streetlife #500px #streetshooter #flaneur #mashcool #burnmyeye #myspc #tz_dailyshots #genuineburundi🇧🇮 #candidrwanda🇷🇼 #tanzaniatravel🇹🇿
 
We jamaa kama n ukwel bas unajua mambo meng sana na ww n mmoja wa simba na chui.
Na kama n uongo basi unakipaji cha kuufanya uongo kuwa ukweli.

IMG-20211203-WA0021.jpg

Hii ni NEWS FEED TELEGRAM kutoka MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA 🇹🇿 [ TCRA ] ambao unasema hivi - MITANDAO YA KIJAMII ina mchango gani kwenye maisha yako ya kila siku?

Kwahiyo sote inatupasa kutumia MITANDAO YA KIJAMII vizuri kwa manufaa yetu na sio kutumia MITANDAO YA KIJAMII kueneza UONGO au kusambaza UDAKU.

Hii itasaidia sana kuokoa maisha yetu sote pamoja na maisha ya wengine, hasa kwenye kipindi hiki cha VUGUVUGU LA MABADILIKO YA KISIASA kwa kubadilishana TAARIFA zilizo SAHIHI na zinazohusu JAMII inayotuzunguka.
 
Ndio! Mimi ni miongoni mwa jamii mojawapo kati SERENGETI yaani CHUI au MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na isitoshe SIASA ZA TANZANIA 🇹🇿 nazifahamu kwa kiasi fulani.

Na huu ndio UKWELI HALISI kuhusu TANZANIA 🇹🇿. Ngoja nikipata muda mzuri kuna kitu nitawaonesha kuhusu UCHUMI WA TANZANIA 🇹🇿 na wanaomiliki huo UCHUMI.

Sasa tena, jaribu kupitia hii VIDEO inayohusu nyimbo iliyotungwa na kuimbwa na JESHI LA POLISI na wahusika waliotokea na kuonekana kwenye hiyo VIDEO.





Hao waliotokea kwenye VIDEO hapo juu, yaani waliovaa mavazi ya RANGI NYEKUNDU ndio MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na hiyo nyimbo imebeba maudhui makubwa sana.


Jaribu tena kuangalia hiyo PICHA hapo juu ambapo RAIS WA RWANDA 🇷🇼, PAUL INGABIRE KAGAME akiwa pamoja na baadhi ya VIONGOZI WA SERIKALI YA RWANDA 🇷🇼. Yule nyuma aliyesimama na aliyevaa mavazi ya RANGI NYEKUNDU anawakilisha jamii ya MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

#streetvibes #streetwalk #scaffolding #dailywalk #pedestrian #lenstanzania #lensculturestreet #sidewalker #strorytime #streetbeast #streetlife #500px #streetshooter #flaneur #mashcool #burnmyeye #myspc #tz_dailyshots #genuineburundi🇧🇮 #candidrwanda🇷🇼 #tanzaniatravel🇹🇿

Jamii hii inawezaje kuwa na usiri mkubwa muda wote bila kuvuja hovyo hovyo,hakuna vyombo vyovyote vinavohoji?hakuna mtoto au mtu mmoja wapo ya hii jamii kuropoka hata bahat mbaya.yan jamii nzima ipo constant kias hicho kwa usir kama vile ni mtu mmoja kumbe n kundi kubwa.
Wanatumia mbinu gan special?
 
Jamii hii inawezaje kuwa na usiri mkubwa muda wote bila kuvuja hovyo hovyo,hakuna vyombo vyovyote vinavohoji?
Hiyo JAMII YA SERENGETI yaani CHUI imejijenga kwa kutumia VYOMBO VYA DOLA ndio maana ina mipango, mikakati, maadili na nidhamu ya KIJESHI.

Na hiyo JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ndio wamiliki halali wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kupitia kwa HAYATI MWALIMU mwenyewe 🙏🏽🇹🇿🙏🏽
hakuna mtoto au mtu mmoja wapo ya hii jamii kuropoka hata bahat mbaya.
Hmm! DUNIA ina mambo! Na TANZANIA 🇹🇿 ina maajabu yake! Ni bora usiulize maana kuna mambo mengine ukiyafahamu yatakuumiza kichwa.
yan jamii nzima ipo constant kias hicho kwa usir kama vile ni mtu mmoja kumbe n kundi kubwa.
SERENGETI yaani CHUI ndio wahusika wakuu wa SIASA ZA TANZANIA 🇹🇿 kwa asilimia mia moja [ 100% ] kwa kutumia uwepo wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.

Kwa sasa hivi hakuna JAMII nyingine yenye uwezo wa kupambana kisiasa na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI.

Kwa mara ya kwanza hawa SERENGETI yaani CHUI walikuwa wanawahofia MWASHITA yaani SIMBA 🦁 - lakini baada ya kuingia makubaliano na mapatano ya KISIASA baina ya hizi jamii mbili. Hakuna JAMII nyingine yenye uwezo wa kupambana na SERENGETI yaani CHUI, iwe ni KISIASA au hata KIUCHUMI.
Wanatumia mbinu gan special?
Uwepo wa SERENGETI yaani CHUI unaweza kuuona na kuutathimini kupitia uwepo wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kuendelea kuwepo madarakani.

Mbinu na mikakati ambayo wanatumia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kuendelea kuwepo madarakani ndio mbinu na mikakati inayotumiwa na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI.

Na hakuna MWANASIASA au KIKUNDI CHA WANASIASA ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ chenye nguvu au mamlaka zaidi ya JAMII YA SERENGETI yaani CHUI.

Kwahiyo SERENGETI yaani CHUI ndio wahusika wakuu wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ na ndio wenye DOLA YA TANZANIA 🇹🇿 tangu mwaka 1961 na hata baada ya MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, mwaka 1964.
 
Back
Top Bottom