Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
Unajua kipindi kile pale CHUO KIKUU CHA DODOMA [UDOM] kwenye miaka ya 2011/12 na 2012/13, hali ya hewa ilikuwa imechafuka sana. Ilifikia hatua hadi idadi ya vifo vya wanafunzi iliongezeka.Vyombo vya usalama vitafatilia hili. Soon utapata mrejesho
Kilikuwa ni kifo cha mwanafunzi aliyekuwa anaitwa TATULA [rafiki yake na MARIAM SENNI, ambaye alisoma darasa moja katika SHULE YA UHURU na RAIS WA TANO WA COHSS].
TATULA [the late] na MARIAM SENNI walikuwa wanaingia mwaka wa tatu [2012/13] na ilikuwa wamekwenda kufanya MASOMO YA VITENDO [FIELD] katika MIKOA tofauti tofauti. TATULA [the late] alikuwa ameenda DAR ES SALAAM.
TATULA [the late] alikuwa BINTI MREMBO kweli kweli! Alikuwa BINTI mweupe na mwembamba, hadi umauti unamkuta alikuwa ameweka AHADI ya kukutana na mwanaume.
Baada ya siku kadhaa kupita, mwili wake ulikutwa umetupwa na tayari alikuwa amekwisha "AGA DUNIA" akiwa DAR ES SALAAM.
Baadae ulifanyika utaratibu wa kusafirisha na kupeleka kwao katika MKOA WA DODOMA, tayari kwa utaratibu wa mazishi.
Taarifa ya kifo cha TATULA [the late] ilishitua watu wengi na baada ya upelelezi wa POLISI kukamilika, ilibainika wahusika walikuwa ni "THE INVINCIBLES" [WATU WASIOONEKA].
Hata wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] walizuiliwa kushiriki SIASA ZA CHUO kutokana vurugu zilizotokea katika KITIVO CHA COHSS.Baadae, kwenye mwaka wa masomo wa 2013/14 katika KITIVO CHA COESE - wakajaribu kuweka tena kiongozi kwa upande wa URAIS [huyo wa katikati ambapo picha ilipigwa mwaka 2011] na hawakufanikiwa, baada ya kufukuzwa na kuambiwa waande "STENDI". Kwa sababu RAIS WA CHUO hapatikani nje ya CHUO na kama walikuwa wanataka kuweka RAIS WA CHUO walipaswa kuja CHUONI na sio kukutana mjini.
Kwahiyo, ule mwaka wa 2012/13 ndiyo ulikuwa mwaka wa mwisho kwa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] kushiriki SIASA ZA CHUO KIKUU CHA DODOMA kwa upande wa SERIKALI YA WANAFUNZI na mwaka uliofuatia 2013/14 walipatikana viongozi ambao ni WATANZANIA HALISI. Sasa hivi sijafahamu hali ikoje baada ya miaka kumi [10] kupita.