Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Vyombo vya usalama vitafatilia hili. Soon utapata mrejesho
Unajua kipindi kile pale CHUO KIKUU CHA DODOMA [UDOM] kwenye miaka ya 2011/12 na 2012/13, hali ya hewa ilikuwa imechafuka sana. Ilifikia hatua hadi idadi ya vifo vya wanafunzi iliongezeka.

6e6f2bfc35734215dbb7e7570ba23d4e.png

Pia kuna kifo cha mwanafunzi wa kutoka COLLEGE OF HUMANITIES & SOCIAL SCIENCES [COHSS] ambacho kilishitua sana WANACHUO pamoja na jamii yote ya CHUO KIKUU.

Kilikuwa ni kifo cha mwanafunzi aliyekuwa anaitwa TATULA [rafiki yake na MARIAM SENNI, ambaye alisoma darasa moja katika SHULE YA UHURU na RAIS WA TANO WA COHSS].

baf3bc4d8dd4126bb96461671b6f6297.png

TATULA [the late] na MARIAM SENNI walikuwa wanaingia mwaka wa tatu [2012/13] na ilikuwa wamekwenda kufanya MASOMO YA VITENDO [FIELD] katika MIKOA tofauti tofauti. TATULA [the late] alikuwa ameenda DAR ES SALAAM.

TATULA [the late] alikuwa BINTI MREMBO kweli kweli! Alikuwa BINTI mweupe na mwembamba, hadi umauti unamkuta alikuwa ameweka AHADI ya kukutana na mwanaume.

Baada ya siku kadhaa kupita, mwili wake ulikutwa umetupwa na tayari alikuwa amekwisha "AGA DUNIA" akiwa DAR ES SALAAM.

Baadae ulifanyika utaratibu wa kusafirisha na kupeleka kwao katika MKOA WA DODOMA, tayari kwa utaratibu wa mazishi.

DOCUMENT 442 (2).jpg

Huyu RAIS WA AWAMU YA TANO WA KITIVO CHA COHSS alipokea SERIKALI YA WANAFUNZI WA COHSS pamoja na taarifa ya kifo cha TATULA [the late].

Taarifa ya kifo cha TATULA [the late] ilishitua watu wengi na baada ya upelelezi wa POLISI kukamilika, ilibainika wahusika walikuwa ni "THE INVINCIBLES" [WATU WASIOONEKA].

b96f0ff77a99a08da00d57e638bc61e7.png

Sasa hali ilikuwa ni mbaya! Ukichanganya taarifa za kifo cha TATULA [the late] pamoja na vurugu zilizotokea pale CHUONI, ilibidi hatua za haraka zichukuliwe ikiwa ni kuzuia harakati zote za kisiasa.
Hata wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] walizuiliwa kushiriki SIASA ZA CHUO kutokana vurugu zilizotokea katika KITIVO CHA COHSS.

_20240504_214917.JPG

Baadae, kwenye mwaka wa masomo wa 2013/14 katika KITIVO CHA COESE - wakajaribu kuweka tena kiongozi kwa upande wa URAIS [huyo wa katikati ambapo picha ilipigwa mwaka 2011] na hawakufanikiwa, baada ya kufukuzwa na kuambiwa waande "STENDI". Kwa sababu RAIS WA CHUO hapatikani nje ya CHUO na kama walikuwa wanataka kuweka RAIS WA CHUO walipaswa kuja CHUONI na sio kukutana mjini.

Kwahiyo, ule mwaka wa 2012/13 ndiyo ulikuwa mwaka wa mwisho kwa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] kushiriki SIASA ZA CHUO KIKUU CHA DODOMA kwa upande wa SERIKALI YA WANAFUNZI na mwaka uliofuatia 2013/14 walipatikana viongozi ambao ni WATANZANIA HALISI. Sasa hivi sijafahamu hali ikoje baada ya miaka kumi [10] kupita.
 
Hapo umeeleweka mkuu
 
Hapo umeeleweka mkuu
Baadae, yaani baada ya vurugu zilizotokea pale COLLEGE OF HUMANITIES & SOCIAL SCIENCES [COHSS] - wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] walituma watu wao kuja kufanya upelelezi na hakuna kitu walichokiona zaidi ya madhaifu yao wao wenyewe.

2a1c1fd7a1518ad6b7130298d2dd2d86.png

Kipindi hicho ndiyo ilikuwa imeanza M4C [MOVEMENT FOR CHANGE] na ile hali baadae ilienea sehemu mbalimbali za nchi.

IMG_20240707_101650.jpg

Hawa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] huwa wapo "VERY STRATEGIC" na hii inachagizwa na uwepo wa TAIFA LA UFARANSA.

Hata hili jina la "THE INVINCIBLE" yaani "WATU WASIOONEKANA" limetoka kwa WAFARANSA na walifanikiwa kulitohoa na kupata majina kama JIBO. Eeh, hili jina la JIBO limetokana na neno "THE INVINCIBLE".

_20240627_214401.JPG

Kwahiyo hawa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] sio watu wa kubeza!
 
Kwahiyo hawa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] sio watu wa kubeza!
Shukrani sana mkuu kwa uchambuzi. Sasa hivi kuna suala la uraia pacha linaongelewa hapa nchini kwetu. Nini maoni yako katika hili
 
Shukrani sana mkuu kwa uchambuzi. Sasa hivi kuna suala la uraia pacha linaongelewa hapa nchini kwetu. Nini maoni yako katika hili
Kila kitu kilishajadiliwa hapa JamiiForums na maoni yalipatikana. Lakini wanaohitaji URAIA PACHA ni WALOWEZI na WATANZANIA HALISI wanaendelea na mambo yao kama kawaida.

4a5e7a69de7d0b827b90a9d83cf77f03.png

Hawa wote ni WATANZANIA HALISI kutoka MKOA WA SHINYANGA ambao wanafanya vizuri katika MATAIFA YA UGHAIBUNI na wana ndugu zao waliowaacha TANZANIA.

6da9739e1e54f6c873c9990d5b207e36.png

Hata huyu MAMA KABILA ni MTANZANIA HALISI ametoka katika MKOA WA SHINYANGA na amewekeza TANZANIA, shida inakuja kwa WATANZANIA WALOWEZI, ndiyo wanapata pingamizi kwenye baadhi ya mambo.

990ad917c1a81904038347d155a3add3.png

Hata huyu BABES WODUMO ni MTANZANIA HALISI alifanikiwa kuhamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's], lakini wazazi ni WATANZANIA HALISI kutoka katika MKOA WA SHINYANGA na wanaendelea kuwekeza TANZANIA.

Ukitaka kuifahamu vizuri NCHI YA TANZANIA, jaribu kutoka na kwenda kuishi nje ya nchi. Ndiyo utaona kuwa kuna IDADI KUBWA YA DIASPORA WA TANZANIA ambao kila mwaka wanarudi TANZANIA na kujiunga na MAJESHI YA ULINZI na USALAMA.

Kwahiyo kwa WATANZANIA HALISI, suala la URAIA PACHA sio jambo la kuzingatia, kwa sababu wana hiari ya kurudi na kuja kufanya mambo yao TANZANIA. Shida ipo kwa upande wa WATANZANIA WALOWEZI [What Tanzania's position on dual citizenship means].
 
Shukrani sana mkuu kwa uchambuzi. Sasa hivi kuna suala la uraia pacha linaongelewa hapa nchini kwetu. Nini maoni yako katika hili
c956ee3fb70cda59f6d07aba445e7fe7.png

BABES WODUMO ni ASKARI kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA na DIASPORA wengi huwa wanarudi TANZANIA kuja kujiunga na MAJESHI YA ULINZI na USALAMA.

Kuna DIASPORA wengine huwa wanasubiri hadi mishahara ifike milioni kumi [10,000,000] au milioni ishirini [20,000,000] au hata milioni hamsini [50,000,000] kwenye AKAUNTI YA BENKI, ndiyo huwa wanakuja kuchukua mishahara yao.

b3b69f979b79eb54f7e9d11d428dd10d.png

Kwahiyo, suala la URAIA PACHA sio jambo la kuzingatia kwa WATANZANIA HALISI na DIASPORA WA KITANZANIA ndiyo wanufaika wakubwa wa KEKI YA TAIFA, kwa sababu wao ikitokea wamekubali kujiunga na MAJESHI YA ULINZI na USALAMA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA wanakuwa wanalipwa mishahara bila hata ya wao kuwepo kwenye vituo vya kazi na wengi ndiyo huwa wanafanya hivyo.
 
Inashangaza sana hili swala ndio nalisikia leo
 
Inashangaza sana hili swala ndio nalisikia leo
Ndiyo TANZANIA hiyo! Sasa hivi ni muhimu sana kujiunga na MAJESHI YA ULINZI na USALAMA, kwa sababu huko ndiyo kuna kiini cha maswali ya WHO[nani?] WHAT[nini?], WHY [kwanini?], WHEN [lini?], WHERE [wapi?], WHICH [sababu gani] na HOW [vipi?]

IMG_20220629_094922_5.jpg

Haya maswali ya WHO [nani?] WHAT [nini?], WHY [kwanini?], WHEN [lini?], WHERE [wapi?], WHICH [sababu gani?] na HOW [vipi?] - WAINGEREZA huwa wanaita ni 6WH1 na ndiyo msingi wa MAJESHI YA ULINZI na USALAMA duniani kote..🌎
 
Ngoja kwanza nikwambie kitu kimoja kwenye MASUALA YA SIASA kuhusu UCHAGUZI MKUU kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA na dunia kote ambako kuna UCHAGUZI WA SANDUKU LA KURA.

Huwa kuna VETTING na VOTING - VOTING huwa ni idadi ya kura ambazo zinapigwa na wapiga kura wenye sifa za kupiga kura zilizoainishwa na TUME YA UCHAGUZI.

Pia VETTING huwa ni POLITICAL ENDORSEMENT au POLITICAL LEGITIMACY au kwa lugha ya kiswahili fasaha huwa tunasema ni UHALALI WA KISIASA ambao umeainishwa na TUME YA MAADILI.

Sasa hapa kwenye VETTING ndiyo kuna MAKUNDI YA KIJAMII, yaani SOCIAL GROUPS ambayo yanahalalisha nafasi ya CHAMA CHA KISIASA na WANASIASA kuwania na kukidhi nafasi fulani ya kisiasa.

Kwahiyo ni vyema kufahamu MAKUNDI YA KIJAMII, yaani SOCIAL GROUPS ambayo yanahalalisha nafasi ya CHAMA CHA KISIASA na WANASIASA kuwania na kukidhi nafasi fulani ya kisiasa. Kutumia VYEO VYA KIJESHI au VYEO VYA KAZI, haikupi UHALALI WA KISIASA yaani WAINGEREZA wanaita POLITICAL LEGITIMACY.
Kama Tanzania kungekuwepo na serious vetting basi 2015 kusingetokea blunder kubwa kama ile hakika imeigharimu nchi naona itachukua walau miongo miwili nchi kurudi kwenye ustawi wake walau.
 
Kama Tanzania kungekuwepo na serious vetting basi 2015 kusingetokea blunder kubwa kama ile hakika imeigharimu nchi naona itachukua walau miongo miwili nchi kurudi kwenye ustawi wake walau.
0c9118a27b0a952cd1f7cd19d24b782f.png

Kweli yale yalikuwa ni MAKOSA YA KIUTAWALA na hata aliyepaswa kuwa RAIS alikuwa tayari ameshaingia kwenye FUNGU LA KUKOSA! Yaani kundi ambalo alikuwa ameingia, lilikuwa halina UHALALI WA KISIASA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

Ngoja kesho nikipata muda nitakueleza vizuri kisa kimoja cha HAYATI JPM ambacho kilimtokea kipindi akiwa tayari ameshaingia JUMBA KUBWA.

Kwahiyo CHAMA TAWALA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, ambacho ni CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kina nafasi ya kujisahihisha na kutokurudia yale makosa yaliyotokea mwaka 2015.
 
Ngumu sanaaa mkuu
be79157db26a85887d962c7c64c96e50.png

WANAFUNZI BORA [BEST PUPIL na BEST STUDENT] kuanzia DARASA LA SABA, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA wote huwa "BY DEFAULT" na huo ndiyo MFUMO WA TANZANIA ambao tuliakisi kutoka kwa TAIFA LA UINGEREZA.

Sasa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA - huwa tunasema kuna MAJESHI YA ULINZI na USALAMA yapatayo matano [5] kwa idadi yake, ambayo ni JESHI LA WANANCHI TANZANIA [JWTZ], JESHI LA POLISI, JESHI LA MAGEREZA, JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI na JESHI LA UHAMIAJI.

5563a4d233eb75b3ea3539afea3d7696.png

Lakini kuna JESHI tulikuwa tumelisahau ambalo ni JESHI LA WANYAMAPORI [hawa huwa wanapatikana WIZARA YA MALIASILI NA UTALII]. Sasa hivi tuna MAJESHI YA ULINZI na USALAMA yapatayo SITA [6] kwa idadi yake.. 😂

4327563bf08310aa8b639300c016be9f.png

Ikitokea WANAFUNZI BORA [BEST PUPIL na BEST STUDENT] walioanza kufanya vizuri kitaifa kuanzia ngazi ya DARASA LA SABA, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA huwa wanaingia kwenye TUME YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA.
Hii TUME YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA [MAADILI | JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - Mwanzo] huwa ipo chini ya OFISI YA RAIS - SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA.

5289147a546bf2b1af9ef773c6c86425.png

Kwahiyo, wale ambao wanasema SIASA YA TANZANIA inaanzia shuleni huwa wanamaanisha WANAFUNZI BORA ["BEST PUPIL" na "BEST STUDENT"] wote walioanza kufanya vizuri kuanzia ngazi ya DARASA LA SABA, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA huwa wanaingia kwenye TUME YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA.
 
DARASA LA SABA, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA huwa wanaingia kwenye TUME YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA.
Tanzania ipi hiyo? Labda ya 70-90+ hii ya saivi ni ngumu sana. Nina vijana kama hao unaowasemea hapo tangu primary wako very intelligent mpaka sasa lakini bado mambo ni magumu pande zote
 
Tanzania ipi hiyo? Labda ya 70-90+ hii ya saivi ni ngumu sana. Nina vijana kama hao unaowasemea hapo tangu primary wako very intelligent mpaka sasa lakini bado mambo ni magumu pande zote
Hakuna! Labda huwafahamu, maana kuna wingine tayari walishaanza kupewa ULINZI.

d2221b3fbf695e35823bc65050da7034.png

SIASA YA TANZANIA huwa inaanzia shuleni! Hauwezi kufananisha TANZANIA ONE [TO] wa shule ya msingi au shule ya sekondari na PROFESA! Ni watu wawili tofauti..😂

Sasa hivi kuna SERIES moja inaitwa LUPIN, wameigiza wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] pamoja na WAFARANSA.

219bca6e8873caf7ee22e516259e0324.png

Hii LUPIN SERIES inaeleza mpango mkakati wa WAFARANSA wa kuweza kufanikisha kuwa na TANZANIA ONE [TO] kwa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC].

461d594dbe8ec863d23a30ca7e0ab239.png

Kwa kipindi chote tangu wameingia TANZANIA, wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] hawajawahi kuwa na TANZANIA ONE [TO] kutokana na kusongwa na msongo wa mawazo na afya ya akili [MENTAL HEALTH] uliosababishwa na athari zilizotokana na VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, yaani CIVIL WAR.

e7c9784b00f2992ab28d58a33f9e7708.png

Kwahiyo sasa hivi umekuwa ni MRADI WA UFARANSA wa kuweza kuwa na TANZANIA ONE [TO] mwenye asili ya MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC], ili wapate mtu wa kufanya "ENDORSEMENT" kwenye mashauriano ya kisiasa [BODI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA] kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA na hizo sura zote za KIAFRIKA zinazoonekana kwenye LUPIN SERIES zinapatikana katika MKOA WA SHINYANGA [hususani WILAYA YA SHINYANGA MJINI].
 
Unaleta hadith mzee baba
Unajua yale MATAIFA YA SKANDINAVIA yalivyopiga marufuku wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] kuingia na kuishi katika MATAIFA YA NORWAY, DENMARK na SWEDEN walikuwa na maana ya kuzuia athari zitokanazo na waathirika wa VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, yaani CIVIL WAR.

53241bd10186363240c18c0a99e5dcc1.png

Hawakuwa wajinga! Ukizingatia SWEDEN ni taifa ambalo liligundua GARI YA SCANIA miaka mia moja [100] iliyopita. Kwahiyo wapo vizuri KIUCHUMI, KISIASA, KIELIMU na tafiti zao pamoja na maamuzi ya kijamii, yaani SOCIAL JUSTICES huwa yanaheshimika duniani kote.

f8342b69a9a8697377046d6be533c59d.png

Kwahiyo TANZANIA inapaswa kuchukua tahadhari kutokana na uwepo wa waathirika wa VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, yaani CIVIL WAR! Sasa hivi ni muhimu kila MTANZANIA HALISI ajiunge na MAJESHI YA ULINZI na USALAMA, kwa sababu huko kuna vitu ambavyo hauwezi kuvipata URAIANI.
 
Unaleta hadith mzee baba
813331a7c919a3c036a411b573f1f454.png

MSWIDENI alianza kutengeneza GARI YA SCANIA, mwaka 1911 kipindi ambacho TANGANYIKA na ZANZIBARI ilikuwa ni mapori tu! Hata watu walikuwa ni wachache. Sasa kati ya SWIDENI na TANZANIA nani ana akili..😂
 
Back
Top Bottom