much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Mzee unajilisha upepo tu au umenatumika kusambaza propaganda ambayo haipo magufuli hajawahi kuwa kwenye kumi Bora mama Samia hata form six sidhani kama amefika huyu Nchimbi hajawahi kuwa kwenye kumi Bora ila alikuwa mtoto wa kigogo Kwa Sasa CCM ilipofika kama huna vinasaba na vigogo basi kupata madaraka sahau au ufanye kazi kweli kweli kuingia kwenye mfumo na ujipendekeze kama makonda alovyofosi king 👑 hizo nyingine unazokuja nazo ni hadithi
Watoto wa vigogo wa CCM pamoja na wajukuu zao watashika nafasi mbalimbali ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM], lakini siyo NAFASI YA MWENYEKITI WA CHAMA.
NAFASI YA MWENYEKITI WA CHAMA huwa ni nadra sana kuweza kusema mapema, maana huwa haitabiliki!
Kama majina yao ni miongoni mwa majina ambayo yanapatikana katika ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA waliofanya vizuri kitaifa kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA], basi watakuwa na haki ya kuongoza CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM]. Tofauti na hapo, wataendelea kupigania nafasi ya UWAZIRI UKUU.
Lakini kama ikitokea maboresho katika mifumo ya KISERIKALI ~ hata nafasi ya UWAZIRI UKUU itakuwa ni ngumu kupata kwa sababu TANZANIA imekuwa ni UWANJA WA FUJO na kuna rafu za kila aina! Ujanja ujanja umekuwa mwingi..
Kwahiyo hata mifumo mingine ya KISERIKALI kama UTENDAJI UKUU WA SERIKALI [UWAZIRI UKUU] na BUNGE kuna hatari kwa siku za mbeleni kuongozwa na NATIONAL FLAG BEARERS [NFB] kama ilivyo kwa nafasi ya URAIS na MAKAMU wake.