Uwazitu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 1,419
- 1,397
Sawa kabisa.Kiwanda au Karakana ya Kuunganisha vifaa vya magari kutoka Ng'ambo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kabisa.Kiwanda au Karakana ya Kuunganisha vifaa vya magari kutoka Ng'ambo...
Aina hiyo ya watu ndio sasa hivi wenye sauti kubwa ndani ya nchi hii, sasa utashangaa nchi itaendelea vipi ikiwa na watu wa aina hiyo, tena wengi wao ndio wanaoshikilia madaraka makubwa ya maamuzi ya hatma ya nchi.Kwa hili jibu la kipumbavu kwa swali ambalo ni la msingi, nimekupuuza.
Jibu la ajira zilizopatikana kwa uwepo wa hicho kiwanda lingesaidia kuwaonyesha wale wanaobeza, kutambua umuhimu wa hicho kiwanda na jinsi WATZ wananufaika na ajira za kudumu na za muda.
Cha kushangaza umeonyesha upumbavu, na majibu yale yale ya kishabiki. Mpumbavu.
Sawa mkuu,yaani mpaka sasa Tumeipita Ujerumani kiuchumi, wapinzani kunyweni sumuKazi inaendelea sasa ni kazi ya kuendeleza viwanda. Msiotaka maendeleo kunyweni sumu.
View attachment 1752977
Bila kusahau Radio na Betri za NationalAchana na hiyo mikokoteni, tulishakuwa na kingine cha Scania, magari ya ukweli!
Kwani lengo la hiyo the so called Tanzania ya Viwonder ni nini kama sio mojawapo kutoa ajira kwa Watanzania?Unataka ujue ili iweje?
Mkuu, hiyo picha kwenye Id yako ni wewe au mtu mwingine? Kama ni wewe, please, uwe unauliza maswali yanayoendana na sura yako. Kama siyo wewe basi unaweza kuendelea tuHayo ni magari au ni virukuu?
Kweli wewe msukule,sasa Viwanda vya kazi gani kama havitoi ajira?Mada husika inahusiana na ajira?
Picha ina uhusiano gani na mchango wa mleta mada?Mkuu, hiyo picha kwenye Id yako ni wewe au mtu mwingine? Kama ni wewe, please, uwe unauliza maswali yanayoendana na sura yako. Kama siyo wewe basi unaweza kuendelea tu
Tena zile Scania roho ya paka! Daah maisha yanabadilika sanaUngekuwa hai ungejua kwamba tukiwahi kuwa na kiwanda cha kuunda Scania hapa. Lakini kwakuwa ndo umefufuka basi furahia mwanga wakati tunafanya Demagufulication
Huyo sio mimi mkuu kwa hiyo naweza kuendelea kuuliza maswaliMkuu, hiyo picha kwenye Id yako ni wewe au mtu mwingine? Kama ni wewe, please, uwe unauliza maswali yanayoendana na sura yako. Kama siyo wewe basi unaweza kuendelea tu
Watu wengine wana mtindio wa ubongo tuwazoee tuPicha ina uhusiano gani na mchango wa mleta mada?
Ni bajaji zilizoboreshwaVirukuu ndo nini mwanangu hebu nielimishe kidogo?
rekebisha heading sio kutengeneza bali kuunganisha CKD yaani Complete Knocked DownKazi inaendelea sasa ni kazi ya kuendeleza viwanda. Msiotaka maendeleo kunyweni sumu.
View attachment 1752977
Kiwanda au Karakana ya Kuunganisha vifaa vya magari kutoka Ng'ambo...
Ilibidi mpandisha uzi autetee kwa kujibu maswali muhimu ya wachangiajiNaona mnatukanana tu bila hata hoja ya kunufaisha wasomamaji. Kuna mtu kauliza bei ya hizo gari hakuna hata mtu mmoja aliyekuja na jibu!! Tuambieni hizo gari hata kama wanaunganisha tu hapo Kibaha bei yake ni shillingi ngapi?
Tunarudi nyuma baada ya kwenda mbeeereeeeeeNi magari ya kochona au ya Kijapan? Hivi tunaenda mbele au tunarudi nyuma?
Tulikuwa na kiwanda cha kuunganisha malorry aina ya scania, matrekta aina Valmet, leo tunajivunia kuunganisha vigari vimekaa kama mikokoteni!!
Mataga limefeliMmebaki kuokoteza okoteza vimada na vistori hapo ni gereji mkuu. Hakuna kiwanda hapo.