Tanzania yafunguliwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 kutoka kampuni ya Orca Energy kwa kukiuka Mkataba wa Uwekezaji

mtu unaeza soma ccmu anakukufanyq fala , hoja yako kuwa IGA sio mkataba , ila huna akili ya kujua athari za IGA kuelekea mkataba wenyewe , nmesoma reply zako na nmegundua huna akili
Ningekuelewa ungesema IGA kwa kuwa imepitisgwa na bunge kuwa sheria maudhui yake ni ‘implied terms’ by law kwenye host government agreement ya TPA na DPW.

Nonetheless terms zenyewe za IGA for the most part zimejikita kwenye dispute resolution. Aziwezi kuwa na influence kwenye mkataba (mostly, consideration) kama unavyotaka kutuaminisha kwa sababu hiyo aspect ni ya finance and expressed terms za exchange of value. Breach zake ndio unashitakiwa. Lakini uwezi shitakiwa kwa kuwa na IGA tu.
 
Mtu mpumbavu utamjua tu, ana luka hoja anakimbilia matusi!! Jiwe ni mikataba mingapi ameitia hasara nchi?!! Zito alishawaambia kama mnampenda sana mfuateni
Pia mfuate mama yako huko aliko!!
 
Wanatuonea wivu...



...Ni Hayo Tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…