Tanzania yafunguliwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 kutoka kampuni ya Orca Energy kwa kukiuka Mkataba wa Uwekezaji

Kwa hiyo TPDC ya Kina Mataragio ndio wamevunja makubaliano kumbe
 
 

Attachments

  • VID-20240808-WA0058.mp4
    3.8 MB
  • IMG-20240808-WA0051.jpg
    86.2 KB · Views: 3
  • VID-20240808-WA0058.mp4
    3.8 MB
Orca Energy ilitangaza jana kuwa imetoa notisi ya mgogoro dhidi ya serikali ya Tanzania kuhusiana na kampuni tanzu zinazomilikiwa kwa asilimia 100, PanAfrican Energy Tanzania (PAET) na Pan African Energy Corporation Mauritius (PAEM).
Tutauza kila kitu sisi kichwa cha wendawazimu, hivi zile kesi tulikuwa tunashinda wakati wa Mwendazake walikuwa wanatuwakilisha nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…