Tanzania yafunguliwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 kutoka kampuni ya Orca Energy kwa kukiuka Mkataba wa Uwekezaji

Kwa hiyo TPDC ya Kina Mataragio ndio wamevunja makubaliano kumbe
Mataragio alipokuwa TDPC alikuwa anaresist kuhusu hii dill mama akamutoa akamuweka mzanziabr mwenzaki,,wakashirikiana na makamba wakalazimisha negotioaned ,,ndo baadaye seeikali ikashituka imepigwa mkenge ikabidi makamba atimuliwe lakini too late Hata haya mashitaka yanamkondo wa makamba kwa mbali
 
Swali ni je, Hivi mpaka wanaingia hiyo mikataba na hao orca hawakujua consequences zake ni zipi endapo watakiuka?

Haya ni makusudi! Hakunaga bahati mbaya kwenye makubaliano. Wanaoumia ni wananchi tena wakawaida sana.

Mliopewa madaraka jitathminini. Transparency na ushirikishwaji wa umma kwenye vitu nyeti ndo kitu ambacho Tanzania imekosa since 1961 chini ya sisiem.
 
Ivi ni kweli serikali ya Tanzania kwa makusudi kabisa huvunja vipengele vya Sheria kwenye mikataba, kwa makusudi au ni ignorance ya viongozi wetu? Au ni kweli makampuni ya nje yanayokuja kufanya uwekezaji yanafanya chokochoko?

Pia nimeona kwamba PAET walikuwa na makubaliano ya kuuziana Natural Gesi na Tanzania Portland Cement (TPCLTD) na TPDC amegoma kubariki makubaliano Ayo? ya kibiashara,
Lakini pia inaonekana Serikali ya Tanzania kutishia ama kutaka kupora haki za PAET kwa kutaka kuwaondoa kwenye uwekezaji na uwendelezaji wa viwanja vya Gesi Songosogo, kwa kutaka kumpaka Songas!
Ila tutajua ukweli wa haya yote.
 
Tanzania Shamba la bibi huku CAG anaibua uozo serikali ipo kimya tu migogoro kama hii naamini ni uzalendo kukosekana kwa hao wanaotuwakilisha kwenye kuweka sahihi.

Mikataba iwekwe wazi hawataki!

DPW nayo lo lote laweza tokea baada ya miaka kadhaa huko mbele!

CCM ni shida nchi hii.
 
Namna nyepesi zaidi ya kupiga hela za watanzania.
 
Kipindi cha Kikwete, mikataba ilikuwa inasainiwa kwenye mahotel na akina karamagi waziri wa nishati kipindi hicho, yanajirudia Tena kipindi hiki Cha Samia anaenda kusaini mkataba hajui content za mikataba ikoje. Very stupid.
Goli Moja shilingi million Tano
 

Attachments

  • VID-20240808-WA0058.mp4
    3.8 MB
Hao ni wezi tu wanatengeneza wizi wakishirikiana na watz hizo kampuni zote wamiliki wako hapa hapa TZ angekuwepo Magu wasingefanya ujjnga huo.
Acha upuuzi huo,kama hujui kitu kaa kimya,unajua jiwe amelitia taifa hili hasara kiasi gani??kwenye mikataba hii tangu akiwa waziri wa ujenzi??unajua hadi leo ile meli ya samaki aliyokamata nchi inadaiwa bei gani?!!
Hiyo mikataba ni wakulaumiwa ni ccm,na kuna watu wanafaidika nayo sana.na hadi mseme.
 
Ukweli usemwe tu.
Migogoro yote ya kiutawala,mizizi yake ipo nje ya Afrika yenyewe. Na viongozi wote Afrika,ni vibaraka. Wanachozidiana ni namna ya kutawaliwa.
Sijaona nchi Afrika yenye kiongozi mwenye msimamo na uchungu na maisha ya wananchi. Ukiangalia mali zao na mishahara,havina uwiano;hakika wana jina.

Kama wanaweza mfukuzia mtu kutaka kujua mali katoa wapi, wao wenyewe huyo mkaguzi angeruhusiwa kuwakagua,wote wanaishia kuswekwa lupango tu.

Mfano wa karibu. Kama Nigeria,raisi yule ana msada gani kwa taifa lile? Lakini ana uchu wa madaraka,hadi kieleweke.
Genge kubwa,zito na imara,linafaidishwa na wakoloni, raia ndo wahanga. Mtu anajenga kwako,na analeta jeshi lake kulinda mali zake kwako. Af wewe,unawekeza kwake,kwa kuogopa kupolwa na kunyang'anywa kilicho chako,unakubali tu masharti. Rais wa kweli,alikuwa Kadafi.
 
Ccm ni laana ya hii inchi. Tutakua tunenda mbele na kurudi nyumba ,hivi hivi mpaka pale tutakapo litoa hili dubwana ccm madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…