Tanzania yafunguliwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 kutoka kampuni ya Orca Energy kwa kukiuka Mkataba wa Uwekezaji

Shauri yao hao wanaotudai, wanadhani tutashindwa kuzilipa.
 
Easy pickings

Kama wanasheria walishindwa elewa IGA sio mkataba ni BIT.

Na mkataba wa biashara lazima uwe na consideration.

Achilia mbali aspects zingine za mkataba.

Washaona Tanzania ni easy pick, ile kesi ya Indiana mimi sishindwi.

Get serious on training people sio kusikiliza upuuzi wa Mwabukusi na ujinga wa ku-entertain ujinga kwenye mahakama zenu thinking that’s how the entire world works.

Tanzania is an easy peak kwa mtazamo wa wazungu kwa sasa.
 
Shida yenu ni kujazana ujinga na kudhani dunia inaishi kwenye dunia ya ujinga wenu.

Hakuna wanasheria wakiobobea kwenye contract law.

Halafu kuna wapuuzi kama kina Mwabukusi and other nonsense ambao hata hiyo iyo IGA hawaelewi it’s implication kimkataba (IGA) sio mkataba.

Ni taifa la mapoyoyo mtapigwa sana ‘easy picking’.

Mnajazana ujinga na kusambaza misinformation za ujinga, watu ambao wanatakiwa ku counter argue misinformation wajinga.

It’s a doomed nation

Train contract lawyers vinginevyo mtaumizwa. Kuna degree nyingi zinazo train business lawyers moja wapo ni business law.

Swala la IGA limeonyesha ujinga wenu, hao wanasheria wenu wameshindwa kuelewa including Shivji. Kwa display ya ujinga ule Tanzania aiwezi kushinda kesi ya kibiashara nje ya Tanzania.

Wanasheria wajinga tupu, huo ndio ukweli wenyewe including Lissu hana analolijua on contract law.

Shauri zenu
 
We jamaa mbona unachuki na mwabukusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…