Tanzania yafunguliwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 kutoka kampuni ya Orca Energy kwa kukiuka Mkataba wa Uwekezaji

We jamaa mbona unachuki na mwabukusi
Kwenye kichwa chako unadhani Mwabukusi anaongea mambo ya maana.

Kwasababu mna muda wa kupoteza kujibizana upuuzi kwenye mahakama zenu unadhani na nje ya Tanzania ni hivyo.

Ukiangalia kesi ya Indiana na Tanzania, upande wa madai kulikuwa na wanasheria kama wąwili na vitoto kama nane (tells you that’s a trainee case kwa upande wao) na tumeshindwa.

Sasa huo ujinga anaowajaza Mwabukusi usidhani ndio hoja za mkataba ukienda kwenye arbitration IGA sio mkataba; ila madudu yatakuwepo kwenye host government agreement.

Mnashida nyie watu, easily deceived
 
In case tukishindwa kesi hii, na tukaamriwa kulipa GHARAMA, hivi hizi fedha zingejenga Hospital ngapi? Shule ngapi? Barabara kiwango cha lami kiasi gani?

Hakika inasikitisha sana..nadhani CHADEMA mkiongozwa na Lissu jipangeni vizuri mje kuwatoa TONGOTONGO Watanganyika labda TUTAAMKA!
 
Mh Samia usipoweza kuwadhibiti baadhi ya watu hapo CCM...

Watakugombanisha na wananchi vibaya sana...

Wanajua udhaifu wako, wanakuita "mama" huku wanakula kisogo...
 
Hela ya kampeni hiyo inatafutwa nakumbuka kipindi fulani Mihela ilibebwa kupitia Kagoda, EPA etc baadae tukasikia zilichomolewa na mkapa kumpigia kampeni Kikwete, CCM wana mbinu nyingi sana za kukwapua mahela ya hii nchi, hizo pesa zitapiga U turn yaani zitaonekana kubebwa na kupelekwa kwenye account feki za hizo kampuni ili kuhadaa watumishi wa serkali lakini baadae zitarudi na kama kuna Kibosile atakuja ng'amua huko baadae ataishia kuteuliwa kuwa balozi wa nchi fulani na kuanzishiwa miradi atafungwa domo huku watz tukiogelea kwenye lindi la umasikini
 
Dp World

MIGA
etwege
 
Jenga hoja acha kushambulia watu.
 
White wizard wee kweli ni -0% kabisa upstairs, hata mikataba ya Samia aliyosaini uko kwa wajomba zake unaona sawa kabisa, mpaka watu wakatishiwa kuchinjwa. Watanzania wengine ni bwege kabisa, hiyo orcas imefunguliwa kwenye visiwa ambavyo utoroshaji wa pesa huwezi kuambulia kitu kama taifa. Hizi kampuni zinakuja na baadhi ya watanzania waroho wa Mali, usikute Kuna akina Makamba, Kikwete baada ya kutumbuliwa wamelianzisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…