Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Alienda kupiga picha, hebu tumwacheZitto Kabwe alikuwa Ukraine
Vipi kuhusu US anapovamia ardhi za nchi zingine? vp Israel anapovamia ardhi ya Wapalestina? hiyo imekaaje yenyewe?Kwa maana nyingine tunaunga mkono uporaji wa ardhi ya nchi nyingine.
Hapakuwa na sababu ya kuwa neutral wakati jambo lililofanywa na Urusi ni la kijinai kila mtu ameshuhudia.
Hadi ifike mahali nchi yako imevamiwa na kuporwa sehemu ya ardhi yako ndo uone umuhimu wa kutetea uhuru na mipaka ya nchi.
Umenena vemaHii shida inaanzia kwa kiongozi wajuu! Shida ya Rais Samia anataka kuonekana mwema kwa kila mtu huku anataka aonekane mtenda haki wakati hapo hapo anapinga haki!
Tunaunga mkono uporaji wa halali kama alivyofanya Urusi maana na sisi tunataka tuirudishe Rwanda na Burundi kwani ilikuwa sehemu ya Tanganyika enzi za MjerumaniKwa maana nyingine tunaunga mkono uporaji wa ardhi ya nchi nyingine.
Hapakuwa na sababu ya kuwa neutral wakati jambo lililofanywa na Urusi ni la kijinai kila mtu ameshuhudia.
Hadi ifike mahali nchi yako imevamiwa na kuporwa sehemu ya ardhi yako ndo uone umuhimu wa kutetea uhuru na mipaka ya nchi.
Ccm ni wanafiki mno, hii inaonyesha tuna viongozi waoga mno na wenye ndimi mbili.Inashangaza sana nchi yetu ambayo imewahi kupigana vita kulinda Territorial Integrity ya nchi yetu leo inashindwa kusimama na kuiambia dunia kuwa mipaka ya nchi nyingine iheshimiwe.
Vipi kuhusu US anapovamia ardhi za nchi zingine? vp Israel anapovamia ardhi ya Wapalestina? hiyo imekaaje yenyewe?
Safi sana Tanzania
Mambo yao watajua wenyewe
Tupige kura tusipige Hatuwezi Badilisha Kitu