Tanzania yaingia soko la Dunia la Helium baada ya kusaini mkataba na mwekezaji Helium One Global. Serikali itamiliki hisa asilimia 17 tu

Kwahy hapo na ww unaona n sawa kbc?
Na kwanini tukope ndo tuanzshe miradi je zile fedha wanazogawa kwa yanga na Simba zikikusanywa kwa mwaka mzima haziwezi kutosha kuanzisha mradi ?
Halafu watu wenye akili kama zako tz mpo wengi kweli huko insta, FB na sasa mmejaa humu
 
Ndio kama mlivyosoma kwamba hisa za Serikali ni asilimia 17% tuu.

View: https://www.instagram.com/p/DX1ya8oCn_S/?igsh=MWlja2xja2QxMHd2aw==

My Take
Kama hatuna pesa za kuingia kwenye ubia hakuna haja ya kusainiana.Pia soma (1) Mradi wa Kuchimba Gesi Adimu ya Helium kwenye Bonde la Ziwa Rukwa Kuanza. Mgawanyo wa Mapato Mwekezaji asilimia 83% na Serikali asilimia 17% | JamiiForums Mradi wa Kuchimba Gesi Adimu ya Helium kwenye Bonde la Ziwa Rukwa Kuanza. Mgawanyo wa Mapato Mwekezaji asilimia 83% na Serikali asilimia 17%

Pumbavu zenu, halafu huwa mnaleta propaganda za kipuuzi eti kuna vibaraka wa mabeberu ili watoe raslimali za nchi. Kwa asilimia hizo ndio mnalinda raslimali za umma?
 
Ukitaka kunufaika zaidi wekeza, serikali wangesema tuchange bukubuku kila wiki tupate ya kuwekeza hapo,ungepinga
Kama hatuna nguvu kuchimba kwa wakati huu si tungeacha mpaka tuipate nguvu hiyo???

Kuna ulazima upi wa kuwahi halafu unaambulia 17%???

Na unaweza kukuta hata hela ya mtaji, huyo mwekezaji anakopeshwa na serikali.

Yote wanafanya ili tu 10% isome kwao.
 
Acha porojo zako tujadili vitu kwa fact,
Unakuta mradi una thaman ya 500M et nao unabinafisishwa 🤔
Kwel tupo serious kwenye kujenga taifa?
Serikali haitakiwi kufanya biashara,hasa kwenye nishati na madini,ukibisha huuzi duniani na vikwazo utachezea,hào ndiyo mabeberu unaowashabikia ambao urusi na china wanapambana nao
Ndiyo maana hata china Ile Huawei ni ya serikali lakini wametafuta mwanajeshi wakammilikisha Ili wauze duniani
Rejea SAP 1&2
 
Kama hatuna nguvu kuchimba kwa wakati huu si tungeacha mpaka tuipate nguvu hiyo???

Kuna ulazima upi wa kuwahi halafu unaambulia 17%???

Na unaweza kukuta hata hela ya mtaji, huyo mwekezaji anakopeshwa na serikali.

Yote wanafanya ili tu 10% isome kwao.
Jielimishe jamaangu,una fikra za hovyo sana, yaani tusinufaike sasa na helium tunufaike lini?..hicho kipato cha 17% hakiwezi kutujengea uwezo sehemu nyingine zalishi?
 
Kwahy wenye Mali tunalipwa 17% au nimeona vibaya🙄🙄
Assume una kiwanja kinafaa kujenga nyumba ya wapangaji ila huna pesa ya kujengea, anakuja mtu anakuambia nitajenga kwenye kiwanja chako, nyumba ikiisha tukipangisha wewe kula 17% ya kodi. Utabaki na kiwanja mpaka upate pesa au utakubali 17%?
 
Pumbavu zenu, halafu huwa mnaleta propaganda za kipuuzi eti kuna vibaraka wa mabeberu ili watoe raslimali za nchi. Kwa asilimia hizo ndio mnalinda raslimali za umma?
Mkapa aliingia mikataba ya madini tukipata 3%,mkwere kwa kutumia diplomasia akaweka si chini ya 16% kwenye katiba,ukitaka kunufaika na wewe utie hela
 
1. Una asilimia 17 ya dividends (ownership)
2. Una asilimia 30 ya faida (corporate tax)
3. Una asilimia 10 income witholding tax kwa wataalam wageni.
4. Unapata income witholding taxes kutoka kwa wafanyakazi. Unawapa wanachi ajira.
5.; Asilimia 1 ya inspection/clearance fee
6. Capital gain tax kama kampuni itauzwa, unapata 30%
7. Wafanyakazi wa mgodini wanatoa social security tax, ambayo ni kama mkopo kwa serikali.
8. Unasaidia sectors nyingine kama chakula, makazi, starehe etc . watu wasio wafanyakazi wananufaika na wafanyakazi.
9. Corporate responsibility, kwa local government.
Yaani ukiambiwa 17% basi, mnaanza kulalamika, sasa hao wawekezaji watafaidika vipi?
 
Wapi technology transfer na wapi local content kwenye Ajira?
 
Assume una kiwanja kinafaa kujenga nyumba ya wapangaji ila huna pesa ya kujengea, anakuja mtu anakuambia nitajenga kwenye kiwanja chako, nyumba ikiisha tukipangisha wewe kula 17% ya kodi. Utabaki na kiwanja mpaka upate pesa au utakubali 17%?
Kwenye jambo linalogusa ustawi wa watu wengi zaid ya 50m sion kama ni sahihi kutumia akili za mtu mmoja
 
1. Una asilimia 17 ya dividends (ownership)
2. Una asilimia 30 ya faida (corporate tax)
3. Una asilimia 10 income witholding tax kwa wataalam wageni.
4. Unapata income witholding taxes kutoka kwa wafanyakazi. Unawapa wanachi ajira.
5.; Asilimia 1 ya inspection/clearance fee
6. Capital gain tax kama kampuni itauzwa, unapata 30%
7. Wafanyakazi wa mgodini wanatoa social security tax, ambayo ni kama mkopo kwa serikali.
8. Unasaidia sectors nyingine kama chakula, makazi, starehe etc . watu wasio wafanyakazi wananufaika na wafanyakazi.
9. Corporate responsibility, kwa local government.
Yaani ukiambiwa 17% basi, mnaanza kulalamika, sasa hao wawekezaji watafaidika vipi?
Kwenye akili unaweza uwe unawaza hizo lkn ukija kwenye uhalisia ukakuta ni bare kbc 😂
Rejea ya makandokando ya mkataba wa ujenzi wa bandari ya bagamoyo
 
My Take
Kama hatuna pesa za kuingia kwenye ubia hakuna haja ya kusainiana.Pia soma (1) Mradi wa Kuchimba Gesi Adimu ya Helium kwenye Bonde la Ziwa Rukwa Kuanza. Mgawanyo wa Mapato Mwekezaji asilimia 83% na Serikali asilimia 17%
Na pengine katika hiyo 17%, kuna kadhaa za madalali serikalini ambao kwenye miradi mingine ya madini waliweka cha juu...
 
Back
Top Bottom