Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Utashangaa Ma CHADEMA yananuna na kuona wivu na kuanza kutukana matusi utafikiri yanaumwa.
Unataka 50% bila kuweka pesa chini?Tunalipwa 17% kwa ajili ya uvivu wa serikali yetu. Tulikuwa na idara ya Geology ya University of Dar es Salaam tangu mwaka 1961, tumeshindwa kupeleka wahitimu field ili kutafuta madini, gas, petroleum etc, wapo wanakaa ofisini. Badala yake tunaingia Sharing agreement (PSA) na nchi zingine au na watu wenye fedha.....Mnawaita mabeberu, halafu tunaambulia asilimia 17 tu. Nchi za kiarabu na Iran, baada ya uhuru zilikataa huu utumwa na kufanya mambo yao wenyewe, Wakichimba Helium, gas au chochote kile iwe mafuta etc, asilimia 100 inabaki nchini kwao kuendeleza nchi zao. Sisi hapa tunafurahia kupewa 17%. NI UPUMBAVU. Kuna habari kuwa gesi ya helium inaweza kuzalisha US$ Billion 7.2 mpaka iishe, kwahiyo tunachokipata ni USD 1.2 Bil, halafu watu mnapiga kelele nyingi kuwa tunafaidika? wao wamekula US$ 6.0 Bil, na ukitoa gharama za vifaa na kulipa watu, wanakula USD Bil.5 .
Kwa jinsi hii tutaendelea kweli? Yatabaki mashimo tu.
Lini niliwahi kwambia Mimi ni CCM au Chadomo?Ccm bwana! Leo unapinga mipango ya chama chako! Tutaongea lugha moja tu bado kidogo.
Wameanzia kwenye utafitikama tungekuwa na serikali makini na inayaoelewa how capitalism functions hata hiyo 17% siyo ndogo ukichukulia muwekezaji anaingiza fedha yake na kujenga kila kitu kuanzia kukata mapori, kuvuta umeme, maji, barabara mpaka hata siajabu uwanja wa ndege atajenga mweyewe kama buzwagi tu hivyo 17% iingetosha sana kubadilisha maisha ya wananchi wa hilo eneo, mkoa na hata nchi kwa ujumla kama tungeelewa how to add value, sema hatuelewi tunaishia kulia kuibiwa tu kumbe hatujanya homework yetu vizuri na kujipanga jinsi ya kunufaika,
tanzagiza hata kama ikiwa ni 100% bado baada ya miaka 10 hilo eneo hautakuta chochote cha maana, hela yote watachkuwa na kupeleka dar kwenye mipira na anasa ...
Wameanzia kwenye utafiti
Ndio kama mlivyosoma kwamba hisa za Serikali ni asilimia 17% tuu.
View: https://www.instagram.com/p/DX1ya8oCn_S/?igsh=MWlja2xja2QxMHd2aw==
My Take
Kama hatuna pesa za kuingia kwenye ubia hakuna haja ya kusainiana.Pia soma (1) Mradi wa Kuchimba Gesi Adimu ya Helium kwenye Bonde la Ziwa Rukwa Kuanza. Mgawanyo wa Mapato Mwekezaji asilimia 83% na Serikali asilimia 17% | JamiiForums Mradi wa Kuchimba Gesi Adimu ya Helium kwenye Bonde la Ziwa Rukwa Kuanza. Mgawanyo wa Mapato Mwekezaji asilimia 83% na Serikali asilimia 17%
Ndio kama mlivyosoma kwamba hisa za Serikali ni asilimia 17% tuu.
View: https://www.instagram.com/p/DX1ya8oCn_S/?igsh=MWlja2xja2QxMHd2aw==
My Take
Kama hatuna pesa za kuingia kwenye ubia hakuna haja ya kusainiana.Pia soma (1) Mradi wa Kuchimba Gesi Adimu ya Helium kwenye Bonde la Ziwa Rukwa Kuanza. Mgawanyo wa Mapato Mwekezaji asilimia 83% na Serikali asilimia 17% | JamiiForums Mradi wa Kuchimba Gesi Adimu ya Helium kwenye Bonde la Ziwa Rukwa Kuanza. Mgawanyo wa Mapato Mwekezaji asilimia 83% na Serikali asilimia 17%
Utafiti pia unahitaji pesa na wapo waliolipia huo utafitiWameanzia kwenye utafiti
Unabisha nini ilihali nakuonaga kwenye ofisi zenu? Au nikutaje kwa majina yako halisi na kazi yako?Lini niliwahi kwambia Mimi ni CCM au Chadomo?
Tanzania huo mradi wa helium ni wa dolla million 60 ambazo ukizibadilisha ni kama billion 150Acha porojo zako tujadili vitu kwa fact,
Unakuta mradi una thaman ya 500M et nao unabinafisishwa 🤔
Kwel tupo serious kwenye kujenga taifa?
Kama mwendokasi imetushindaTunalipwa 17% kwa ajili ya uvivu wa serikali yetu. Tulikuwa na idara ya Geology ya University of Dar es Salaam tangu mwaka 1961, tumeshindwa kupeleka wahitimu field ili kutafuta madini, gas, petroleum etc, wapo wanakaa ofisini. Badala yake tunaingia Sharing agreement (PSA) na nchi zingine au na watu wenye fedha.....Mnawaita mabeberu, halafu tunaambulia asilimia 17 tu. Nchi za kiarabu na Iran, baada ya uhuru zilikataa huu utumwa na kufanya mambo yao wenyewe, Wakichimba Helium, gas au chochote kile iwe mafuta etc, asilimia 100 inabaki nchini kwao kuendeleza nchi zao. Sisi hapa tunafurahia kupewa 17%. NI UPUMBAVU. Kuna habari kuwa gesi ya helium inaweza kuzalisha US$ Billion 7.2 mpaka iishe, kwahiyo tunachokipata ni USD 1.2 Bil, halafu watu mnapiga kelele nyingi kuwa tunafaidika? wao wamekula US$ 6.0 Bil, na ukitoa gharama za vifaa na kulipa watu, wanakula USD Bil.5 .
Kwa jinsi hii tutaendelea kweli? Yatabaki mashimo tu.
Sasa huu kama sio uozo nnTanzania huo mradi wa helium ni wa dolla million 60 ambazo ukizibadilisha ni kama billion 150
Hivi kweli billion 150 ni za kutafuta mwekezaji kama nchi kuna mahali tunakosea sana
Kuna mambo siyo ya kushangilia
Auditing ni accountancy,rais hawezi jua kila kitu,urais ni taasisi,kuna wataalam wa fani tofautiraisi wa tanzagiza hata maana ya auditing haelewi rejea ripoti ya cag ndiyo ije kwenye utafiti? i mean kama hata hauelewi maana ya auditing kuna hope gani hapo?
bila ya auditing hakuna maendeleo yoyote yatafanyika popote pale duniani …
Saudi Arabia, Qatar, Bahrain, Kuwait, UAE, Oman na Iran pamoja na nchi zilizoendelea zimewezaje kutengeneza mapato ya asilimia 100 kutoka kwenye rasilimali za mafuta na gas walizokuwanazo? Sisi ni nchi huru lakini tunapata asilimia 17 tu, Asilimia 83 anapewa mgeni? It is shame in any way. Serikali zetu za CCM ambayo bongo zao zimelala hawana uwezo tena wa kufikiri. Hizo nchi nilizozitaja mbona ziliwekeza vizuri tu, zikawaleta wataalam wakawalipa na kazi zao zikafanywa? Kwa jinsi hii hatuwezi kufika popote, bomba la mafuta hisa zetu ni ndogo mno.....si kwetu tu, hata hiyo Uganda yanakotoka mafuta, mwekezaji anachukua asilimia 70, tuliobakia tunagawana kidogo kidogo. Nawaonea huruma waganda.Pumbaf kabisa. Kuna haraka gani kuachia mali zetu kwa mkataba ya hovyo kiasi hiki? Yaani Mali yetu tunaambulia 17% pekee.
Kwa nini tusinunue hizo machine? Tuwe na share kubwa kuliko kupewa kiduchu kwa sababu hatuwezi kuchimba kwa meno? Watu kama wewe, Mwigulu, Kabudi, na wengineo mmefikia mwisho uwezo wenu wa kufikiri.Mali inachimbwa kwa meno?
Kwanini wasipewe watu binafsi?Tanzania huo mradi wa helium ni wa dolla million 60 ambazo ukizibadilisha ni kama billion 150
Hivi kweli billion 150 ni za kutafuta mwekezaji kama nchi kuna mahali tunakosea sana
Kuna mambo siyo ya kushangilia
Pesa tunatoa kwenye vyungu?Kwa nini tusinunue hizo machine? Tuwe na share kubwa kuliko kupewa kiduchu kwa sababu hatuwezi kuchimba kwa meno? Watu kama wewe, Mwigulu, Kabudi, na wengineo mmefikia mwisho uwezo wenu wa kufikiri.