Kwhyo ambassador hajakanusha tena[emoji23][emoji23]Kumbe hata huelewi kitu. Ambassador amekanusha upotoshaji wa watu kama ninyi wa Ufipa. Profesa yeye amewachapa hao jamaa zako mabeberu za uso! Huo unaitwa mgawanyo wa kazi na ushirikiano. Tanzania mpya hiyo! Go JPM Go!!!
Uuff sasa umoja wa ulaya wahangaike na maneno ya waziri anayetema povu kisa jazba..Sasa hivi dunia kijiji wewe mtukane Rais wako halafu tuma kwenye group la wasap tu uone kama taarifa hatoipata muhufika .unaongea kama unahara vile shida ujumbe kufika sio mpaka lazima uongelee kwenye tovuti zao Kwan wao waliongelea kwenye tovuti za serikali?
Sasa hapa anatupa historia tu,aseme pesa zilichukuliwa za nini wakati walisema corona haipo?umepewa pesa za corona,harafu inamfanyia mambo mengine,waliokupa wakiuliza unakuja juu,MY TAKE: Wale waliodhani kwamba "tit for tat" tunawafanyia Kenya pekee.......
Sisi hatijaribiwi, Mwalimu Nyerere alishawahi kuwafukuza wajerumani na kuwarudishia pesa zao walizokua wameipatia Tanzania kama misaada, Magufuli anajiandaa kuwarudishia yeyote atakayejaribu kutuchokonoa.
Sisi hatuna akili za kitumwa kama ninyiUuff sasa umoja wa ulaya wahangaike na maneno ya waziri anayetema povu kisa jazba..
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Ndio imeisha hiyo.Usilazimishe mambo wewe
Watanzania gani? Unamaanisha Tundu Antipas Lisu alishinda uchaguzi?Nyie endeleeni kuwafanya Watanzania wajinga. Hii siyo ya Wazungu. Wala msiifanye issue ya Wazungu. Hii ni issue ya Watanzania ambao uchaguzi wao umevurugwa na haki yao ya kuchagua viongozi wao kuporwa.
Huna hoja.Next time atoe speech yote mwanzo mwisho kingereza hasa akiwa anatoa maneno ya kuwabagaza anatuchosha kuwatafsria hao wanaowaita Mabeberu
You are embarrassing the Great name of Alexander the Great, you are just a coward.Hawa viongozi waliojipa mamlaka kwa "WIZI NA MABAVU" na hawa wengine "WANAOJIKOSHA KWA MKUU (Kwasababu ya matumbo yao na familia zao)" muda si mrefu wanaliangamiza taifa letu.
Wanaleta kiburi cha kijinga kwenye maswala ya muhimu kwa mustakbali na hatima ya taifa letu (Maswala muhimu hata kwa wale ambao hata hawajazaliwa bado na wale wala mimba zao kutunga).
WITO: Wao kama wanaona wana jeuri/viburi/ukaidi wa kupambana na wafadhili wetu na mataifa yenye nguvu duniani, wajikusanye na kujiorodhesha kwa majima kikundi chao na waende wakapambane nao kivyao huko. Wasitutumie kwa "NIABA" watanzania "WOTE" kupambana na wanaotuzidi hela/mejeshi/silaha/maarifa.
Wapumbavu mliozeeka mko wengi sana.Siku chache zijazo msianze kulialia lakini [emoji1787][emoji1787]
Hata mwanamke akitumia vibaya hela ya matumizi uliyompa, pale unapomuuliza anajibu kitu kingine kabisa kama tulivyoona
Dawa ni makwenzi tu
Tulia uongozwe.NEC ya CCM na NEC ya Mahera si ndio Watanzania hao? Nazungumzia hao hao.
Angalau Kabudi angejibu kama wewe ingemake sense kuliko uozo ule ukilinganisha na hadhi yake kwa kweli kalikosea taifa na wala sio hao wazunguHuyu mwenye domo kubwa anashindwa kuelewa kuwa the impact of Covid 19 was not only a medical issue, but an all inclusive effects. It touches the sense organ of every sector. It leaves no stone unturned. Think of tourism, air transportation, etc all have been affected by the pandemic. So for that note, every country needs the stimulus package to make the economy live. The question of statistics, testing and other bla bla had nothing to do with this financing. Whether you have less or more fatalities in your country, the economy will need to be boosted.
Tuliwaambia wakenya hadi mabeberu watatii tu hakuna namna[emoji1787][emoji1787]Ambassador kakanusha hku waziri anabwetuka tu na kutoa macho ni km kuna mtu ulaya atamsikiza..
Si wamtume ambassador akatoe hayo maneno hko au hata mreply katika social networks zao km nyinyi hamtaki misaada wala nn mukione cha moto..
Hzo zinaitwa kelele za chura babu
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
njia hizo ziko wapikwa hiyo kazi ya serekali ni kufanya wananchi kuwa matajili...?? kazi kubwa ya serekali ni kutengeneza njia kisha mwananchii kuitumia njia hiyo kama kilainishi cha fursa...
SIJAMANISHA NJIA NI BARABARA TU...
chama cha ma nyumbu metengeneza km ngapi?toka lini serikali ya ccm ikatengeneza njia wahuni tu wanajaza matumbo yao
chama cha ma nyumbu metengeneza km ngapi?
CHIZI WW KWANI NA WAO WALITUMA MTU KUJA KUSEMA HUKU SI WALIZINGUMZA WAKIWA HUKO UKOLONI MAMBO LEO UNAKUTAFUNAAmbassador kakanusha hku waziri anabwetuka tu na kutoa macho ni km kuna mtu ulaya atamsikiza..
Si wamtume ambassador akatoe hayo maneno hko au hata mreply katika social networks zao km nyinyi hamtaki misaada wala nn mukione cha moto..
Hzo zinaitwa kelele za chura babu
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Huna akili kuna maraisi kibao tu hawajui kingereza hata kwenye hilo bunge la EU pia baadhi ya wa bungee wajumbe hawajui kingereza wanatumia lugha zao pumbavuNext time atoe speech yote mwanzo mwisho kingereza hasa akiwa anatoa maneno ya kuwabagaza anatuchosha kuwatafsria hao wanaowaita Mabeberu