Tanzania yajibu mapigo kwa kauli za baadhi ya wabunge wa nchi za Ulaya

Tanzania yajibu mapigo kwa kauli za baadhi ya wabunge wa nchi za Ulaya

Kumbe hata huelewi kitu. Ambassador amekanusha upotoshaji wa watu kama ninyi wa Ufipa. Profesa yeye amewachapa hao jamaa zako mabeberu za uso! Huo unaitwa mgawanyo wa kazi na ushirikiano. Tanzania mpya hiyo! Go JPM Go!!!
Kwhyo ambassador hajakanusha tena[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi dunia kijiji wewe mtukane Rais wako halafu tuma kwenye group la wasap tu uone kama taarifa hatoipata muhufika .unaongea kama unahara vile shida ujumbe kufika sio mpaka lazima uongelee kwenye tovuti zao Kwan wao waliongelea kwenye tovuti za serikali?
Uuff sasa umoja wa ulaya wahangaike na maneno ya waziri anayetema povu kisa jazba..

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 

MY TAKE: Wale waliodhani kwamba "tit for tat" tunawafanyia Kenya pekee.......

Sisi hatijaribiwi, Mwalimu Nyerere alishawahi kuwafukuza wajerumani na kuwarudishia pesa zao walizokua wameipatia Tanzania kama misaada, Magufuli anajiandaa kuwarudishia yeyote atakayejaribu kutuchokonoa.
Sasa hapa anatupa historia tu,aseme pesa zilichukuliwa za nini wakati walisema corona haipo?umepewa pesa za corona,harafu inamfanyia mambo mengine,waliokupa wakiuliza unakuja juu,
Wazungu hawajamdharau mtu,wanataka ufafanuzi kutoka kwa waziri wao,kwanini TZ ilipewa pesa za corona wakati serikali imesema hakuna corona?anaye takiwa kutoa majibu ni waziri wa UK,sio kabudi,
Kabudi ajibu,pesa ilikuwa ya corona,mlichukua au?na Kama mlichukua mlifanyia nini?maana Jiwe alisema hakuna corona.
 
Hahahaha, Duniani inategemeana,majibu ya Tanzania kwa umoja wa Ulaya inaonyesha wazi kuwa Waafrika chini ya jangwa la Sahara bado Akili zetu hazija MATURED

Kama Taifa tunatakiwa kutengeneza MARAFIKI sio MAADUI.

Umoja wa nchi za Ulaya,hawajaitukana TZ,wala kuibeza,wao wanataka kujua peas zimetumiwa vipi

Ilikuwa ni kitu cha Busara kwa Tanzania kuwajibu EEU pesa walizochukua Kwa matumizi ya COVID19 wamezifanya nini,kuliko kutoa majibu ya kijinga..
 
Nyie endeleeni kuwafanya Watanzania wajinga. Hii siyo ya Wazungu. Wala msiifanye issue ya Wazungu. Hii ni issue ya Watanzania ambao uchaguzi wao umevurugwa na haki yao ya kuchagua viongozi wao kuporwa.
Watanzania gani? Unamaanisha Tundu Antipas Lisu alishinda uchaguzi?
 
Hawa viongozi waliojipa mamlaka kwa "WIZI NA MABAVU" na hawa wengine "WANAOJIKOSHA KWA MKUU (Kwasababu ya matumbo yao na familia zao)" muda si mrefu wanaliangamiza taifa letu.

Wanaleta kiburi cha kijinga kwenye maswala ya muhimu kwa mustakbali na hatima ya taifa letu (Maswala muhimu hata kwa wale ambao hata hawajazaliwa bado na wale wala mimba zao kutunga).

WITO: Wao kama wanaona wana jeuri/viburi/ukaidi wa kupambana na wafadhili wetu na mataifa yenye nguvu duniani, wajikusanye na kujiorodhesha kwa majima kikundi chao na waende wakapambane nao kivyao huko. Wasitutumie kwa "NIABA" watanzania "WOTE" kupambana na wanaotuzidi hela/mejeshi/silaha/maarifa.
You are embarrassing the Great name of Alexander the Great, you are just a coward.
 
Siku chache zijazo msianze kulialia lakini [emoji1787][emoji1787]
Hata mwanamke akitumia vibaya hela ya matumizi uliyompa, pale unapomuuliza anajibu kitu kingine kabisa kama tulivyoona
Dawa ni makwenzi tu
Wapumbavu mliozeeka mko wengi sana.
 
Huyu mwenye domo kubwa anashindwa kuelewa kuwa the impact of Covid 19 was not only a medical issue, but an all inclusive effects. It touches the sense organ of every sector. It leaves no stone unturned. Think of tourism, air transportation, etc all have been affected by the pandemic. So for that note, every country needs the stimulus package to make the economy live. The question of statistics, testing and other bla bla had nothing to do with this financing. Whether you have less or more fatalities in your country, the economy will need to be boosted.
Angalau Kabudi angejibu kama wewe ingemake sense kuliko uozo ule ukilinganisha na hadhi yake kwa kweli kalikosea taifa na wala sio hao wazungu
 
Ambassador kakanusha hku waziri anabwetuka tu na kutoa macho ni km kuna mtu ulaya atamsikiza..

Si wamtume ambassador akatoe hayo maneno hko au hata mreply katika social networks zao km nyinyi hamtaki misaada wala nn mukione cha moto..

Hzo zinaitwa kelele za chura babu

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Tuliwaambia wakenya hadi mabeberu watatii tu hakuna namna[emoji1787][emoji1787]
 
kwa hiyo kazi ya serekali ni kufanya wananchi kuwa matajili...?? kazi kubwa ya serekali ni kutengeneza njia kisha mwananchii kuitumia njia hiyo kama kilainishi cha fursa...
SIJAMANISHA NJIA NI BARABARA TU...
njia hizo ziko wapi
 
toka lini serikali ya ccm ikatengeneza njia wahuni tu wanajaza matumbo yao
 
Ambassador kakanusha hku waziri anabwetuka tu na kutoa macho ni km kuna mtu ulaya atamsikiza..

Si wamtume ambassador akatoe hayo maneno hko au hata mreply katika social networks zao km nyinyi hamtaki misaada wala nn mukione cha moto..

Hzo zinaitwa kelele za chura babu

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
CHIZI WW KWANI NA WAO WALITUMA MTU KUJA KUSEMA HUKU SI WALIZINGUMZA WAKIWA HUKO UKOLONI MAMBO LEO UNAKUTAFUNA
 
Next time atoe speech yote mwanzo mwisho kingereza hasa akiwa anatoa maneno ya kuwabagaza anatuchosha kuwatafsria hao wanaowaita Mabeberu
Huna akili kuna maraisi kibao tu hawajui kingereza hata kwenye hilo bunge la EU pia baadhi ya wa bungee wajumbe hawajui kingereza wanatumia lugha zao pumbavu
 
Back
Top Bottom