komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kwhyo ambassador hajakanusha tena[emoji23][emoji23]Kumbe hata huelewi kitu. Ambassador amekanusha upotoshaji wa watu kama ninyi wa Ufipa. Profesa yeye amewachapa hao jamaa zako mabeberu za uso! Huo unaitwa mgawanyo wa kazi na ushirikiano. Tanzania mpya hiyo! Go JPM Go!!!
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app