Jk hakuwa na Maamuzi Magumu tukasema tunataka Rais Mwenye Maamuzi Magumu
Lazima ajitoe kwenye jumuia za kimataifa kama ilivyo kwa Mugabe.Namchukia mjomba ake Dotto, akili hamna busara sifuri..yan argh!
Na mka mwita dhaifu na Leo mnamsifu, hamjielewi nyie.Maamuzi magumu yenye manufaa kwa taifa na sio maamuzi ya kujinufaisha binafsi kikundi cha watu fulani kama uyu anavyofanya.
Huyu ni mfalme NEBUKADNEZA muda utaongeaHawataki serikali yenye uwazi, mambo yote wanafanyia gizani na mtu akiyasema anatukanwa na kufungiliwa mashtaka.
Maamuzi magumu yenye manufaa kwa taifa na sio maamuzi ya kujinufaisha binafsi kikundi cha watu fulani kama uyu anavyofanya.
Kuambiwa ujisitiri haimaanishi uvae mbao. Kama una akili utanielewaJk hakuwa na Maamuzi Magumu tukasema tunataka Rais Mwenye Maamuzi Magumu
Jk hakuwa na Maamuzi Magumu tukasema tunataka Rais Mwenye Maamuzi Magumu
Mimi anachoniudhi saana ni kutaja bure jina la Mungu wakati anajua anafanya ukandamizaji, dhuluma na vitisho kwa binadamu wenzie. Anajisombea laana bure kila kukicha. Time will tell. Heri ya JK alikuwa akiuma huku akivuvia na watu tukashindwa kumwelewa ndo maana hakupata maadui wengi.Maamuzi magumu ya kumkingia mfojaji wa vyeti bashite jambazi na kuwafukuza kazi wengine? Maamuzi magumu ya kuchota pesa hazina bila idhini ya Bunge? Maamuzi magumu ya kutudanganya Watanzania kwamba ataiheshimu katiba na kuilinda kasha kuidharau na kuzidharau sheria za nchi? Ni janga kubwa la Taifa huyu? Mkewe aliona mbali sana alipogoma kumfanyia kampeni sasa inakula kwa Watanzania.
Kama maamuzi yenyewe ndo haya ya kufanyia vitu gizani basi tunarudi nyuma miaka 20.Jk hakuwa na Maamuzi Magumu tukasema tunataka Rais Mwenye Maamuzi Magumu
Maelezo yako nimeyapenda umeeleza vizuri kasoro hapo kwenye huo mstari wako kwa nini ujitoe kwa muda badala ya kurekebisha yale yasiyofaa tu ambako kimsingi haiitaji ujitoe Magufuri hapendi uwazi toka siku yake ya kwanza kwenye utawala wake kila kitu kuficha ficha tu hadi tume ya makinikia,ukumbuke ccm ni ile ile inaenda mbele na kurudi nyuma.mleta mada ...ila imeomba off kwa mda...mbona uko nyuma haijatufaidsha?