Tanzania yajitetea Umoja wa Mataifa tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati

Mmekubali utetezi wa balozi wa Tanzania Dr. Abdallah Possi kuwa ni 'siyo picha halisi' kama kelele za Watetezi wa Haki za Binadamu kuhusu shutuma juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kukosekana mazingira huru na ya haki kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 ?
 
Watawachukul
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Dk Abdallah Possi ametoa utetezi katika Baraza la Haki za Binadamu ofisi ya Geneva, Uswisi, kuhusu madai ya kutesa na kudhalilisha wanaharakati.

Tanzania Yajitetea Umoja wa Mataifa Tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati, Yasema Inachunguza

Tanzania imejibu tuhuma zilizofikishwa katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, juu ya kuwatesa na kuwafanyia udhalilishaji unaotweza utu wa binadamu, wanaharakati Agather Atuhaire kutoka Uganda na Boniface Mwangi kutoka Kenya, waliokamatwa mnamo Mei 19,2025 walivyokuja kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu.

Akijibu hoja zilizowasilishwa na shirika la East and Horn of Africa Human Right Defenders Network, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Balozi Abdallah Posi, alisema wanaharakati hao hawakusema sababu ya ukweli iliyowaleta Tanzania.

"Pamoja na kuwa shutuma zao dhidi ya serikali zina mashaka makubwa, tunayachukulia kwa uzito mkubwa madai ya kuteswa,unyanyasaji wa kingono na vitendo vya ukiukaji wa maadili. Ndio maana serikali kwa sasa inachunguza, na ikithibitika, wahusika watachukuliwa hatua," alieleza Balozi Posi leo Juni 18, 2025.

Video

View attachment 3375374
Watawachukulia hatua wahusika ambao ni akina nani? Hawkusema sababu ya kweli,hapa ni nani aliyewauliza sababu ya kuingia Tanganyika?
 
Ina mjibu nani huko? wakati humu ndani wanatuona Manyani tu?
 
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Dk Abdallah Possi ametoa utetezi katika Baraza la Haki za Binadamu ofisi ya Geneva, Uswisi, kuhusu madai ya kutesa na kudhalilisha wanaharakati.

Tanzania Yajitetea Umoja wa Mataifa Tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati, Yasema Inachunguza

Tanzania imejibu tuhuma zilizofikishwa katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, juu ya kuwatesa na kuwafanyia udhalilishaji unaotweza utu wa binadamu, wanaharakati Agather Atuhaire kutoka Uganda na Boniface Mwangi kutoka Kenya, waliokamatwa mnamo Mei 19,2025 walivyokuja kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu.

Akijibu hoja zilizowasilishwa na shirika la East and Horn of Africa Human Right Defenders Network, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Balozi Abdallah Posi, alisema wanaharakati hao hawakusema sababu ya ukweli iliyowaleta Tanzania.

"Pamoja na kuwa shutuma zao dhidi ya serikali zina mashaka makubwa, tunayachukulia kwa uzito mkubwa madai ya kuteswa,unyanyasaji wa kingono na vitendo vya ukiukaji wa maadili. Ndio maana serikali kwa sasa inachunguza, na ikithibitika, wahusika watachukuliwa hatua," alieleza Balozi Posi leo Juni 18, 2025.

Video

View attachment 3375374
I don’t think there’s anyone who is more stupid than Samia The Killer and her closest advisors!

Members of the National Assembly told the entire world that they wished those activists had been roughed up hard enough to return home on stretchers and respirators!
 
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Dk Abdallah Possi ametoa utetezi katika Baraza la Haki za Binadamu ofisi ya Geneva, Uswisi, kuhusu madai ya kutesa na kudhalilisha wanaharakati.

Tanzania Yajitetea Umoja wa Mataifa Tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati, Yasema Inachunguza

Tanzania imejibu tuhuma zilizofikishwa katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, juu ya kuwatesa na kuwafanyia udhalilishaji unaotweza utu wa binadamu, wanaharakati Agather Atuhaire kutoka Uganda na Boniface Mwangi kutoka Kenya, waliokamatwa mnamo Mei 19,2025 walivyokuja kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu.

Akijibu hoja zilizowasilishwa na shirika la East and Horn of Africa Human Right Defenders Network, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Balozi Abdallah Posi, alisema wanaharakati hao hawakusema sababu ya ukweli iliyowaleta Tanzania.

"Pamoja na kuwa shutuma zao dhidi ya serikali zina mashaka makubwa, tunayachukulia kwa uzito mkubwa madai ya kuteswa,unyanyasaji wa kingono na vitendo vya ukiukaji wa maadili. Ndio maana serikali kwa sasa inachunguza, na ikithibitika, wahusika watachukuliwa hatua," alieleza Balozi Posi leo Juni 18, 2025.

Video

View attachment 3375374
Wakati wa uchunguzi , kusimamisha KAZI hakupo?? Na ndio maana Polisi wamekuja na Ile hadithi ya kutekwa, wivu, kujiteka
 
Mmekubali utetezi wa balozi wa Tanzania Dr. Abdallah Possi kuwa ni 'siyo picha halisi' kama kelele za Watetezi wa Haki za Binadamu kuhusu shutuma juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kukosekana mazingira huru na ya haki kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 ?
Hiyo ni ya kidiplomasia kusema unachunguza maana kimetokea, sasa na abebeshwe mzigo na tuna suluhisha vipi fidia Kwa wahusika ndio nkakati unafanyika katika hili tukio la tunafanyia uchunguzi. Na Fidia kwa kila moja inaweza kuwa $4m na zaidi, maana lazima wakaishi nje ya nchi zao kupoza machungu na aibu ya vitendo walivyofanyiwa. Hivyo mnavyo chagua viongozi saa100 ametutaka tuwe serious, alipokuwa anaongea meatu na Mpina , na huu userious sio Kwa wabunge na madiwani hata tukiwa tuna mchagua yeye sasa ole wenu msifuate ushauri wake.
 
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Dk Abdallah Possi ametoa utetezi katika Baraza la Haki za Binadamu ofisi ya Geneva, Uswisi, kuhusu madai ya kutesa na kudhalilisha wanaharakati.

Tanzania Yajitetea Umoja wa Mataifa Tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati, Yasema Inachunguza

Tanzania imejibu tuhuma zilizofikishwa katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, juu ya kuwatesa na kuwafanyia udhalilishaji unaotweza utu wa binadamu, wanaharakati Agather Atuhaire kutoka Uganda na Boniface Mwangi kutoka Kenya, waliokamatwa mnamo Mei 19,2025 walivyokuja kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu.

Akijibu hoja zilizowasilishwa na shirika la East and Horn of Africa Human Right Defenders Network, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Balozi Abdallah Posi, alisema wanaharakati hao hawakusema sababu ya ukweli iliyowaleta Tanzania.

"Pamoja na kuwa shutuma zao dhidi ya serikali zina mashaka makubwa, tunayachukulia kwa uzito mkubwa madai ya kuteswa,unyanyasaji wa kingono na vitendo vya ukiukaji wa maadili. Ndio maana serikali kwa sasa inachunguza, na ikithibitika, wahusika watachukuliwa hatua," alieleza Balozi Posi leo Juni 18, 2025.

Video

View attachment 3375374
Amekaa wiki nzima kuandika hiyo barua ya uongo angeulizwa maalbino walikuwa wanauliwa angesema hivyo hivyo Tu.
 
Hakuna walijochojitetea zaidi ya kujidhalilisha tu kwani Ulimwenguni kote wanajua ibirisi ccm na Polisiccm wana ushetani wa kutosha vitendo vyao haramu havina kificho na hakuhitajiki kuchunguza chochote zaidi ya kuwachukua IGP Bashungwa na wenzao kuwafikisha mahakama ya uhalifu ya kimataifa The Hague tu
 
Mmekubali utetezi wa balozi wa Tanzania Dr. Abdallah Possi kuwa ni 'siyo picha halisi' kama kelele za Watetezi wa Haki za Binadamu kuhusu shutuma juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kukosekana mazingira huru na ya haki kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 ?
Uchunguzi wa nini? Kamata Polisiccm ambao wanajulikana kwa vitendo haramu vya kishetani peleka The Hague ndiyo njia pekee ya kutenda haki
 
Enzi za makaburu wa Africa kusini kulikuwa na mamluki weusi waliwasaidia wazungu kuwatesa kuwaua kuwateka kuwanyanyasa kuwabambikia kesi za uongo Weusi wenzao, Sasa Alibino Mtanganyika, Polisiccm, chawaccm Watanganyika wamekuwa Vibaraka wa Mkoloni Kaburu toka Pemba Unguja wanamsaidia kuwatesa kuwateka kuwaua kuwabambikia kesi Watanganyika wenzao bila huruma wala Aibu, ibirisi wa ccm wamejaa ushetani mwingi sana ni chama cha hovyo haijapata kutokea Duniani
 
Amekaa wiki nzima kuandika hiyo barua ya uongo angeulizwa maalbino walikuwa wanauliwa angesema hivyo hivyo Tu.
Watanganyika wanamsaidia Mpemba kuwatesa kuwaua kuwabambikia kesi za uongo watanganyika wenzao, muungano Ufe Tanganyika iwe huru
 
Back
Top Bottom