Tanzania yajitetea Umoja wa Mataifa tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati

Tanzania yajitetea Umoja wa Mataifa tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati

Kama kuna uchunguzi unaoendelea ingemaanisha wale wanaotuhumiwa wanatakiwa wasimamishwe kazi kwa muda ili kupisha uchunguzi. Na kwa maslahi ya umma ilitakiwa tufahamisghwe hilo. Au labda uelewa wangu hauko sawa ?
 
Upuuzi mtupu anasema uongo wakati dunia yote inajua ushenzi unaofanywa na serikali ya Samia mchana kweupe kama walivyofanya pale Mahakama ya Kisutu tarehe 24th April.
 
Watawachukul
Watawachukulia hatua wahusika ambao ni akina nani? Hawkusema sababu ya kweli,hapa ni nani aliyewauliza sababu ya kuingia Tanganyika?
Fidia kwa kila moja inaweza kuwa $4m na zaidi, maana lazima wakaishi nje ya nchi zao kupoza machungu na aibu ya vitendo walivyofanyiwa. Hivyo mnavyo chagua viongozi saa100 ametutaka tuwe serious, alipokuwa anaongea meatu na Mpina , na huu userious sio Kwa wabunge na madiwani hata tukiwa tuna mchagua yeye sasa ole wenu msifuate ushauri wake.
 
Mpaka nje ya nchi tunawakilishwa na watu wapuuzi wenye IQ ndigo kabisa. Hapo anaona ametoa utetezi!!
 
Tufanye mapema hili.
Hii ikifanikiwa ujue Tanganyika itakuwa Nchi Tajiri kama South Africa America German korea Dubai nk kwani Tanganyika ndipo kitovu cha pato kubwa la Taifa na kila pesa inagawanywa kwenda Zanzibar kwa wingi kimyume na utaratibu, muungano ukifa week moja tu tayari Tanganyika itakuwa imeanza kunenepza
 
Kama kuna uchunguzi unaoendelea ingemaanisha wale wanaotuhumiwa wanatakiwa wasimamishwe kazi kwa muda ili kupisha uchunguzi. Na kwa maslahi ya umma ilitakiwa tufahamisghwe hilo. Au labda uelewa wangu hauko sawa ?
Dawa yao ni kupeleka List mahakama ya uhalifu ya kimataifa The Hague kisha wao ndiyo watoe Amri ya kuwakamata popote watapokuwa mda huo
 
Upuuzi mtupu anasema uongo wakati dunia yote inajua ushenzi unaofanywa na serikali ya Samia mchana kweupe kama walivyofanya pale Mahakama ya Kisutu tarehe 24th April.
Polisiccm wanavunja sheria wakiwa mahakamani wanapiga watu marungu live wanatumia mbwa kung’ata watu huku wakichekelea uchunguzi wa nini hapo wakati kila kitu kipo
 
Polisiccm wanavunja sheria wakiwa mahakamani wanapiga watu marungu live wanatumia mbwa kung’ata watu huku wakichekelea uchunguzi wa nini hapo wakati kila kitu kipo
Hawa mbwakoko wanajiona wako juu ya sheria na ndiyo maana wanaogopa mabadiliko ukija utawala unaojali sheria wengi watakwenda na maji.
 
Back
Top Bottom