Tanzania yajitetea Umoja wa Mataifa tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati

Tanzania yajitetea Umoja wa Mataifa tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Dk Abdallah Possi ametoa utetezi katika Baraza la Haki za Binadamu ofisi ya Geneva, Uswisi, kuhusu madai ya kutesa na kudhalilisha wanaharakati.

Tanzania Yajitetea Umoja wa Mataifa Tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati, Yasema Inachunguza

Tanzania imejibu tuhuma zilizofikishwa katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, juu ya kuwatesa na kuwafanyia udhalilishaji unaotweza utu wa binadamu, wanaharakati Agather Atuhaire kutoka Uganda na Boniface Mwangi kutoka Kenya, waliokamatwa mnamo Mei 19,2025 walivyokuja kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu.

Akijibu hoja zilizowasilishwa na shirika la East and Horn of Africa Human Right Defenders Network, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Balozi Abdallah Posi, alisema wanaharakati hao hawakusema sababu ya ukweli iliyowaleta Tanzania.

"Pamoja na kuwa shutuma zao dhidi ya serikali zina mashaka makubwa, tunayachukulia kwa uzito mkubwa madai ya kuteswa,unyanyasaji wa kingono na vitendo vya ukiukaji wa maadili. Ndio maana serikali kwa sasa inachunguza, na ikithibitika, wahusika watachukuliwa hatua," alieleza Balozi Posi leo Juni 18, 2025.

Video

View attachment 3375374
Mangapi wanasema wanachunguza lakini kimya?
 
Balozi Dr. Abdallah Possi katika utetezi wa uwazi katika mfumo wa haki jinai (criminal justice system) aitaja kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu ni moja ya mifano ya utoaji haki, kwa kesi kuwa live / mubashara umma kufuatilia ndani na nje ya mipaka ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania

16 June 2025
Dar es Salaam, Tanzania

#ENGLISH: PRELIMINARY INQUIRY OF CRIMINAL CASE REPUBLIC VS TUNDU LISSU AT KISUTU RM's COURT DAR ES SALAAM TANZANIA​

View: https://m.youtube.com/watch?v=sEFk6GfKrlk
Tanzanian opposition politician Tundu Lissu has protested his treatment in prison. While appearing before Kisutu Magistrate’s Court in Dar es Salaam, the CHADEMA leader was granted right to represent himself in ongoing treason case against him.

Tundu Lissu, whose CHADEMA party was disqualified from the October 2025 elections, was arrested for his call for electoral reforms before the polls.

Rights organizations have called his arrest and detention a political persecution of opponents in Tanzania, calling for openness and accountability.
 
Hawa mbwakoko wanajiona wako juu ya sheria na ndiyo maana wanaogopa mabadiliko ukija utawala unaojali sheria wengi watakwenda na maji.
ibirisi wa ccm hawana mda mrefu watafikishwa kwenye mahakama ya uhalifu ya kimataifa The Hague
 
Wezi watesi watekaji wanyanyasaji sasa wana wasiwasi mkubwa kwani Scotland yard wametumwa kimya kimya wapo wanachunguza kila baya la ibirisi wa ccm kisha waanze kuwakamata wale wote walioshiriki vitendo haramu vya kishetani
 
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Dk Abdallah Possi ametoa utetezi katika Baraza la Haki za Binadamu ofisi ya Geneva, Uswisi, kuhusu madai ya kutesa na kudhalilisha wanaharakati.

Tanzania Yajitetea Umoja wa Mataifa Tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati, Yasema Inachunguza

Tanzania imejibu tuhuma zilizofikishwa katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, juu ya kuwatesa na kuwafanyia udhalilishaji unaotweza utu wa binadamu, wanaharakati Agather Atuhaire kutoka Uganda na Boniface Mwangi kutoka Kenya, waliokamatwa mnamo Mei 19,2025 walivyokuja kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu.

Akijibu hoja zilizowasilishwa na shirika la East and Horn of Africa Human Right Defenders Network, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Balozi Abdallah Posi, alisema wanaharakati hao hawakusema sababu ya ukweli iliyowaleta Tanzania.

"Pamoja na kuwa shutuma zao dhidi ya serikali zina mashaka makubwa, tunayachukulia kwa uzito mkubwa madai ya kuteswa,unyanyasaji wa kingono na vitendo vya ukiukaji wa maadili. Ndio maana serikali kwa sasa inachunguza, na ikithibitika, wahusika watachukuliwa hatua," alieleza Balozi Posi leo Juni 18, 2025.

Video

View attachment 3375374
Uongo uongo uongo mtupu!
 
Uzuri kabla ya ya wao kuitwa tayali jamaa wanazo taarifa zote na hao hawahongwi baiskeli my friend,
M
walichukulia poa sasa kimeanza kuwalamba bado, endeleeni kukaza misuli mkizani tanzania ni kisiwa
 
Yaan maneno matupu wala hayawagusi hao jamaa.....wana information za ndani sana....inawezekana hata watu waliopotea wao wana data za kutosha na hata walipofichwa au kuuawa.....acheni hizi poroj srkli
 
Kuna shida Gani, why is he beating about the bush?
Kujibu hoja nako ni tatizo?
Huku UN wanawahoji.....
kule USA hawataki muende kwao.
Haijawahi kutokea.
Chura Kiziwi (aka Hadija Kopa) anadhani hao wanasumbuliwa na wivu tu. Kumbuka, kiuchumi, tuko vizuri kuliko Ulaya na Marekani.😂
 
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Katika Ofisi za Umoja wa Mataifa, Geneva Akoso Madai ya Ukiukwaji wa Haki za Binadamu.

Balozi Dkt. Abdallah Possi, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Katika Ofisi za Umoja wa Mataifa, Geneva, Uswizi, amekanusha vikali madai yaliyotolewa na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu wa Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika (EHAHRDN), akisisitiza kuwa Tanzania inazingatia ipasavyo Katiba yake pamoja na mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu.

Akizungumza katika mkutano wa tano wa kikao cha 59 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, Dkt. Possi amesema kuwa taarifa iliyotolewa na EHAHRDN ilikuwa na "taarifa potofu, zenye kupotosha na kuwasilishwa nje ya muktadha."

"Tanzania inaheshimu uhuru wa kujieleza na kutoa maoni, hata dhidi ya serikali, jambo ambalo hufanyika mara kwa mara kupitia mitandao ya kijamii," amesema Dkt. Possi, akisisitiza kuwa taifa hilo ni demokrasia iliyokomaa.

Ameitaja historia ya Tanzania ya kufanya chaguzi za vyama vingi saba tangu kurejeshwa kwa mfumo huo kama ushahidi wa kujitolea kwa serikali kuhakikisha demokrasia na utawala wa sheria. Amesema kwa mujibu wa Katiba ya nchi, hakuna wakati wowote ambapo Tanzania imeshindwa kufanya uchaguzi kama inavyotakiwa.

Kuhusu watetezi wa haki waliotajwa na EHAHRDN, Dkt. Possi amesema walikiuka sheria za uhamiaji kwa kushindwa kutangaza madhumuni yao halisi ya kuingia nchini - hili likiwa ni hitaji la kawaida kwa mataifa mengi.

"Inagawa madai dhidi ya serikali ni ya kutia shaka, tunayachukulia kwa uzito mkubwa hasa yale yanayohusu mateso, ukatili wa kingono au ukiukwaji mwingine wa haki," ameeleza Dkt. Possi, na kuongeza kuwa uchunguzi unaendelea na hatua zitachukuliwa iwapo itathibitika kuna ukweli.
 
Balozi Dr. Abdallah Possi katika utetezi wa uwazi katika mfumo wa haki jinai (criminal justice system) aitaja kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu ni moja ya mifano ya utoaji haki, kwa kesi kuwa live / mubashara umma kufuatilia ndani na nje ya mipaka ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania

16 June 2025
Dar es Salaam, Tanzania

#ENGLISH: PRELIMINARY INQUIRY OF CRIMINAL CASE REPUBLIC VS TUNDU LISSU AT KISUTU RM's COURT DAR ES SALAAM TANZANIA​

20 June 2025

Mtendaji mkuu wa Mahakama Profesa Elisante Ole Gabriel akihojiwa na East African Radio kuhusu masuala mbalimbali :

MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA PROF. OLE GABRIEL AFICHUA UKWELI KESI YA LISSU | KISSA AMCHAPA MASWALI MAZITO​

View: https://m.youtube.com/watch?v=6FKiOUjAcUM
  • Imani imeongezeka kwa wateja
  • Inawezesha watumishi kutoa huduma vizuri
  • Upatikanaji wa haki mbele ya mahakama
  • Mitandao ya kijamii inatumika kuharibu uelewa wa vijana
  • Mind set infrastructure miundo mbinu ya kifikra inaharibiwa na mitandao ya jamii
  • Mlinzi wa haki ni wewe mwenyewe na mdai wa haki ni wewe mwenyewe
  • Mahakama haina ubaguzi kesi inapoletwa wote ni wateja wetu mshtakiwa na mlalamikaji
  • Elimu kwa umma
  • Sayansi inayotumika na mahakama siyo ya kawaida
  • Mahakama inaletewa ushahidi na siyo kutafuta ushahidi
  • Mihimili mitatu ya dola Tanzania ni serikali kuu, Bunge na Mahakama inashirikiana lakini haingiliani bali inaheshimiana
  • Mifumo ya TEHAMA ya Mahakama inasimana Mkemia mkuu, DPP, BRELLA n.k
  • TEHAMA teknolojia ya habari na mawasiliano imeleta kasi ya kupata taarifa, mirundikano imepungua toka 180 hadi siku 37 kutokana na miundo-mbinu ya majengo, TEHAMA, magari n.k
  • IJC intergrated justice Centre benki ya dunia World Bank WB imevutiwa na miradi ya vituo jumuishi ICJ na kutoa mkopo nafuu
  • E-Office imepunguza matumizi ya makaratasi hivyo kupunguza gharama za makaratasi, majalada
  • E- Case management inawezesha kufungua kesi na kufuatitilia kwa simu kupata txt msgs hivyo kupunguza vishoka
  • Transcription - maongezi ya mdomo yanaweza kutasiri na kuandikwa kwa teknolojia hivyo karani stenographer hawahitajiwi kwa wingi
  • JSR judiciary situation room kuonesha kinachoendelea katika mahakama zote
  • 30 magistrate courts
  • N.k
 
Back
Top Bottom