Mshua's
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 804
- 553
Hawa UNESCO wa ajabu sana! Wamewaruhusu wenzao kuchimba URANIUM humo humo Selous kwa manufaa yao. Ila sisi tumeomba kuweka chanzo cha umeme wanatukatalia na wanapenda tuendelee kupata tabu ya umeme! Kama wanaona tutaharibu mazingira watutengenezee chanzo cha umeme kama huo hapa hapa nchini ili tuachane na eneo la Selous