Tanzania yakataa agizo la UNESCO la kuitaka kusitisha ujenzi wa mradi wa Stiegler's Gorge Selous

Tanzania yakataa agizo la UNESCO la kuitaka kusitisha ujenzi wa mradi wa Stiegler's Gorge Selous

hao hao Unesco wapo kimya kuhusiana na Trump kujitoa katika mkataba wa Paris wa maswala ya mazingira ( Hewa ya ukaa)
Umeanza tena kutaka kuharibu Mazingira kama Mbowe na Green farm yake kule MOSHI
 
"Iwe mchana, iwe usiku, iwe masika, iwe kiangazi Stiegler's Gorge itajengwa tu" - Rais Magufuli
 
Ukisikia maajabu ndiyo haya. Wao wameenda kuvuruga shamba ls mboga la Mbowe kwa kisingizio cha mazingira. Leo wao tena wanaingia kuharibu mazingira tena ambayo yanaratibiwa na kutambuliwa kimataifa. Mboga na huo mradi kipi ni hatari zaidi kwa mazingira?

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Mboga za Mhe. mwenyekiti zilikuwa zinatupa Mega Watt ngapi kwenye grid ya taifa kwa maslahi ya nchi?
 
Namuunga mkono JPM.....kama mradi una manufaa kwa wananchi wa Tanzania inabidi utekelezwe tuuu
 
Mradi wa Stieglers Gorge LAZIMA ujengwe ili tuondokane na ukosefu wa umeme. Tuachane na wageni wasiotutakia mema wanataka tuendelee kuwategemea, ni washenzi wale! Hapa Kazi Tu!
 
Hawa UNESCO wa ajabu sana! Wamewaruhusu wenzao kuchimba URANIUM humo humo Selous kwa manufaa yao. Ila sisi tumeomba kuweka chanzo cha umeme wanatukatalia na wanapenda tuendelee kupata tabu ya umeme! Kama wanaona tutaharibu mazingira watutengenezee chanzo cha umeme kama huo hapa hapa nchini ili tuachane na eneo la Selous
Ukisoma ripoti ya WWF utaona namna wanavyohangaika kutunyima kujenga bwawa, wanasema World Bank ili kusitisha huo mradi watatoa fedha kwa ajili ya miradi mbali mbali ya bara bara. Hiyo ni kama rushwa. halafu fedha yenyewe mbuzi kweli kweli.
 
what is in their best interests, I want to stress the trade-offs that should be recognised by the government in choosing to build the dam. That if the Stiegler’s Gorge Dam is built Tanzania could have large amounts of electricity, but the dam will also have undeniable, significant negative impacts on some citizens and on globally outstanding environments. You can’t “have your cake and eat it”.

The key impacts of this dam aren’t in where or how much its’ reservoir will cover. The main effects are from the dam blocking the flow of water and sediment.

The untamed Rufiji River has three key functions.

The first is in the core area of the Selous World Heritage Site, which is just below the proposed dam. This consists of marshland, lakes and shifting riverbeds, which are maintained by water and fertile soil from the river’s annual flood.

In the land below the reserve, a large floodplain provides rich agricultural opportunities that are utilised by the Warufiji people. Their farming is also underpinned by the fertile sediments and water from the Rufiji River’s annual flood, which also sustains fishing lakes.

At the delta, where the Rufiji River meets the sea, the annual flood again plays a key role. Its release of fertile soil physically creates a delta and sustains its chemical balance. This delta is also environmentally rich, home to the largest mangrove stand in East Africa and is meant to be protected by a global treaty called Ramsar. The delta also hosts Tanzania’s economically-richest fishery. Again the Rufiji River’s annual flood is key: It produces a boom in marine life, most importantly in prawns, and brings migratory Whale Sharks.
 
Achana nawio, nawo walikuwa na vyote hivi, ila ile kupenda mambo ya nchi zingine imewatawala sana, ndorobo wale..
 
Uharibifu mkubwa wa mazingira unaotokana na ukataji wa miti kwa ajili ya kuni na kuchoma mkaa utaepukwa kama tutakuwa na umeme mwingi na wa bei nafuu. Yaani hilo bwawa litatuponya uharibifu wa mazingira huko tuendako.

Hilo mosi. Zaidi ni kwamba sisi ni nchi huru. Nyie mmeharibu mazingira huko kwenu kiasi cha kutisha sasa mnatokuromea hapa kuhusu mazingira yetu. You don't have the moral authority to tell us what to do.

Na kipindi hiki kuna Jiwe Tanzania. Tumedharauliwa vya kutosha. Sasa tunataka kufanya mapinduzi.
 
Kama haitaathiri viumbe wanaoishi maeneo hayo tupige kazi huku kupangiwa pangiwa ndio utumwa wenyewe mbona sisi hatuwapangii mambo yao urenium wanatupiga mkwara wakati wao wanachimba kama mbaya iwe mbaya tu.
 
Back
Top Bottom