Wameanza angalia Tanzania yakataa agizo la UNESCO la kuitaka kusitisha ujenzi wa mradi wa Stiegler's Gorge SelousSubiri house nigers Tundu Lisu na chadema watakavyoanza kumtetea Muzungu!
Alaaa.....
.....kuna uranium huko watupe Mbadala
Wazungu ni wanafiki namba moja na majitu ya ajabu sana katika Ulimwengu huu. Wao ndio Chanzo cha matakataka na maovu yoooote hapa duniani.hao hao Unesco wapo kimya kuhusiana na Trump kujitoa katika mkataba wa Paris wa maswala ya mazingira ( Hewa ya ukaa)
jaribu kuwa na akili jombaaSerikali kujenga mradi kwenye hifadhi sawa.. Mbowe kuwekeza kilimo hapana...
Hivi sheria za mazingira zinasemaje...wasije wakajenga mradi huo mkuu wa wilaya akaja na kamati ya ulinzi akang'oa mashine zote.
Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
Environmental preservation is in our national interest as well.National interest first.
RAMANI ZIKO SIKU NYINGI. NI UTEKEKEZAJI NDIO UMEKYWA WA MANENO ZAIDI. INALETWA MIRADI YA KUTUUA YA KUTUMIA GESI NA DIESEL YA VIWANDANI KAMA IPTL SIELEWI!!!! HUU MRADI UPO SIKU MINGI KABLA HATA RUBADA KUUCHUKUA KAMA MOJAWAPO YA MAJUKUMU PAMOJA NA KUZALUSHA MPUNGA AMBAO UNGETOSHELEZA NCHI NZIMA. ILIKUWA ITUMIE MAJI BADA YA KUZALISHA UMEME YATUMIKE KWA KILIMO CHA KISASA CHA UJWAGILIAJIHAWA UNESCO BWANA..................
KWANI UJENZI HATA RAMANI IMESHACHORWA???????????????????????????????????
Trump katuonesha mfano. Marekani kwanza na mengineyo baadae..National interest first.
kisa nini?Hivi dunia inasubiri nini kuitenga Tanzania ?
Hakuna mazingira ambayo yanaharibiwa pale kwa sehemu ndogo hiyo ya mradi. Tuache kufikirishwaEnvironmental preservation is in our national interest as well.
Sema mradi uendelee tu kwa sababu we need that electricity.