Tanzania yakopa Benki ya Dunia tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya Elimu, Barabara na Mawasiliano!

Tanzania yakopa Benki ya Dunia tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya Elimu, Barabara na Mawasiliano!

Najua wamewaambia watoe tu mkopo kwani August 20 Kuna kodi kupitia luku
 
Tatizo SGR inakula pesa kama mchwa, hizo barabara ilikuwa kuwalewesha tu msijue ukweli, barabara zinajengwa toka enzi za Nyerere.
 
Daaah, 2.7t inaenda kuingia mtaani, mifukoni mwa kina mkwere, kurudisha zama za "...unajua mi nani....", laki si pesa. Elimu, barabara, sawa.

Zitatolewa mara moja au kwa awamu? Maana ni takribani 10% ya bajeti yote ya nchi
Walalamishi hamkosi, serikali ikisema izisake hizo pesa mifukoni mtalia kwa matako ndio maana wanapunguza maumivu kwa mikopo .

Tozo tuu mnalia Lia hivi wakiongeza je? Mchanganuo wa bajeti ya serikali huwa ina components za kukopa,makusanyo ya tra,maduhuli ya serikali nk .
 
Benki ya Dunia imeikopesha Tanzania jumla ya tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya sekta za Elimu, Barabara Mawasiliano na uchumi jumuishi.

Source: ITV habari
Makusanyo ya kodi mbona atutangaziwi kwa mwezi jamani? Kwenye miamala nayo imekusanywa shilingi ngapi?
 
Hiyo 2.7T inaenda kupigwa na wajanja wachache tu wanaojiandaa na uchaguzi wa 2025.

Hizi tozo tunazochapwa daily zinaingia fungu lipi?

Nchi ipo set kwenye auto-pilot.
 
Mlioko karibu na Mama ,mwambieni sisi hatuna shida na tozo ikiwezekana tozo iwe maradufu.
 
Walalamishi hamkosi, serikali ikisema izisake hizo pesa mifukoni mtalia kwa matako ndio maana wanapunguza maumivu kwa mikopo .

Tozo tuu mnalia Lia hivi wakiongeza je? Mchanganuo wa bajeti ya serikali huwa ina components za kukopa,makusanyo ya tra,maduhuli ya serikali nk .
Kwani mpaka sasa mmekopa ngapi kwa kipindi gani?
 
Back
Top Bottom