Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,187
- 1,914
Yupi?Ikapata mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupi?Ikapata mwingine
So kweli deni Hadi April ilikuwa trillion 60Lilikuwa 71 trillion sasa litakuwa 74 trillion hivi. Hapa ndipo Magufuli na dadake walipotufikisha.
Unakujua brundi wewe?DSM tu kuna barabara kubwa tu hata moramu hazina yaani ni za VUMBI tu...
Kodi za magari ,pikipiki,bajaji soon zitarudi.
Siasa ya ujamaa na kujitegemea!tukianza kulalamika kuhusu misururu ya tozo... utaskia"ni kwamanufaa ya watanzania"
Hata nusu mwaka hajafikisha..... 4 trilion na TOZO juuHadi sasa mama kishakopa zaidi ya trillion 4
Unakujua brundi wewe?
inachosha...Siasa ya ujamaa na kujitegemea!
Halafu kodi tunalipa wote! Serikali ya kijinga sana hii![emoji1787][emoji1787] Duuh!
"Msiponiletea huyu, sileti maendeleo!!"
Ilisikika sauti ya mtu huyo huyo ikinena hayo pia, ili tufikishwe huku tulikofika!
Kumbe hata wewe unajua hatuna RaisWaulize mama D na Jumbe Brown
Elimu ni swala la kawaida kabisa bwashee?!Imekuaje tena tunakopa pesa za maswala ya kawaida kabisa miaka 60 baada ya uhuru na juzi tu mama enu kasema kaweka tozo kwa ajili ya matumizi ya namna hii?
Yani kwa miaka 60 tangu nchi ipate uhuru bado serikali hamna namna mpaka sasa mnakopa pesa kwa ajili ya matumizi ya elimu???Elimu ni swala la kawaida kabisa bwashee?!