Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Bimkubwa anajiweza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Singida united!Bimkubwa anajiweza!View attachment 1898872
Komredi Yoda banaaa 🤣🤣Waulize mama D na Jumbe Brown
Hapakuwa Rais pale bali kivuliTanzania ilipoteza Rais 17 March.
Kinachoudhi nyinyi watu hamkosi jinsi ya kujitetea.Walalamishi hamkosi, serikali ikisema izisake hizo pesa mifukoni mtalia kwa matako ndio maana wanapunguza maumivu kwa mikopo .
Tozo tuu mnalia Lia hivi wakiongeza je? Mchanganuo wa bajeti ya serikali huwa ina components za kukopa,makusanyo ya tra,maduhuli ya serikali nk .
Ulitakaje? Uko nje ya serikali hujui chochote zaidi ya kuwaza wizi na anasa eti ndicho serikali inafanyaKinachoudhi nyinyi watu hamkosi jinsi ya kujitetea.
Sio tuu elimu na miundombinu,tozo haziwezi fikisha hata robo ya kubadili mavumbi,matope,milima ,mabonde na mito kufikika..hii nchi ni kubwa Sana bila kuifungua hatubotoi.Kukopa kwa ajili ya ELIMU, tena toka kwa hawa? Mi nasema kopeni zaidi na zaidi!
Kama ipo mikopo kwa ajili ya kilimo, nasema nenda kakopi trilioni 5 ikiwezekana, mradi pesa hiyo ielekezwe kwa wakulima.
Hivi ni nani aliwahi kufilisiwa na Benki ya Dunia au IMF?
Naomba jibu kwa yeyote anayejuwa.
Nasisitiza, kakope mara kumi ya hiyo kama unaweza, lakini uhakikishe elimu yetu, kilimo chetu vinainuliwa na mikopo hiyo. Kama yupo fara anayejaribu kuharibu mafanikio ya mikopo hiyo, weka kitanzi au piga risasi.
Unazidi kuudhi ukitaja wizi. Marehemu aliiba zaidi ya Trillion 8. Juzi tu Maza kaingia kakuta huko BoT wamesafisha hadi kaunda tume majibu aliyopata anaona aibu kuiwwka wazi. Unaniita nawaza mwizi eti siko serikalini. Halafu mkiiba hivyo mnajiona wajanjaaa na kutuona sisi wajinga kama nyinyi.Ulitakaje? Uko nje ya serikali hujui chochote zaidi ya kuwaza wizi na anasa eti ndicho serikali inafanya
Acha porojo mkuu T8 unaijua au unaisikia? Hiyo ni sawa na dola bil.4 ..Unazidi kuudhi ukitaja wizi. Marehemu aliiba zaidi ya Trillion 8. Juzi tu Maza kaingia kakuta huko BoT wamesafisha hadi kaunda tume majibu aliyopata anaona aibu kuiwwka wazi. Unaniita nawaza mwizi eti siko serikalini. Halafu mkiiba hivyo mnajiona wajanjaaa na kutuona sisi wajinga kama nyinyi.
TOZO inafanya kazi gani?Benki ya Dunia imeikopesha Tanzania jumla ya tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya sekta za Elimu, Barabara Mawasiliano na uchumi jumuishi.
Source: ITV habari
Na huenda hata ilikuwa zaidi ya T8Acha porojo mkuu T8 unaijua au unaisikia? Hiyo ni sawa na dola bil.4 ..
Yule aliyekimbia Afghanistan hajafikisha hata T 2
Benki ya Dunia imeikopesha Tanzania jumla ya tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya sekta za Elimu, Barabara Mawasiliano na uchumi jumuishi.
Source: ITV habari
Benki ya Dunia imeikopesha Tanzania jumla ya tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya sekta za Elimu, Barabara Mawasiliano na uchumi jumuishi.
Source: ITV habari
Mie nilidhani TUMEPEWA kumbe ni MKOPO Mbwembe zote za Mwigulu Anachekelea MkopoBenki ya Dunia imeikopesha Tanzania jumla ya tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya sekta za Elimu, Barabara Mawasiliano na uchumi jumuishi.
Source: ITV habari
Elimu tulishapewa trillioni moja kabla wakati wa Magufuli...je ile haikutosha? Na ilifanya kazi gani...mbona madawati hayakutosha, madarasa bado hayatoshi? Na hizo barabara zilizoombewa pesa ni zipi? Maana tulipewa fedha za barabara na African Development bank (Afdb), zilikuwa nyingi na za kutosha tu. Je ni barabara zipi....maana pia kila mahali barabara ni shida na zipo vile vile? Mwenye kujua atupe ufafanuzi. Na huu uchumi jumuishi unafanyikaje...tunataka tujue ili tuwe sehemu ya ujumuishi huo.Benki ya Dunia imeikopesha Tanzania jumla ya tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya sekta za Elimu, Barabara Mawasiliano na uchumi jumuishi.
Source: ITV habari
Donor CountryBenki ya Dunia imeikopesha Tanzania jumla ya tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya sekta za Elimu, Barabara Mawasiliano na uchumi jumuishi.
Source: ITV habari
Jamaa ni mijizi sana hiiElimu tulishapewa trillioni moja kabla wakati wa Magufuli...je ile haikutosha? Na ilifanya kazi gani...mbona madawati hayakutosha, madarasa bado hayatoshi? Na hizo barabara zilizoombewa pesa ni zipi? Maana tulipewa fedha za barabara na African Development bank (Afdb), zilikuwa nyingi na za kutosha tu. Je ni barabara zipi....maana pia kila mahali barabara ni shida na zipo vile vile? Mwenye kujua atupe ufafanuzi. Na huu uchumi jumuishi unafanyikaje...tunataka tujue ili tuwe sehemu ya ujumuishi huo.
Tuliaminishwa kupitia tozo tutagharamia matengenezo ya barabara za vijijini na huduma za afya. Au zoezi la tozo limeshindikana basi wazifute tu.Si wanakusanya tozo ili kujenga madarasa na barabara za vijijini