Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndg, Tundu Lissu ajengewe Mnara....Madudu hayo ya Kabudi na Mruma, maprofesa uchwara wa mwendazake.
Na bado zingine kibao kwa mikataba ya kabudi na mwaruma. Kesi hazijaisha.
Kesi ya ile Watanzania wale waliopelekwa kuitetea Tanzania mlitegemea nini?
Kesi kama zile watu wanaenda kupunguza maumivu, hakuna kushinda lakini Watanzania wale walienda kuongeza maumivu.
Wakati hiyo mikataba yote inaingiwa alikuwa waziri, na watu ambao ni wazalendo wa kweli walipaza sauti kupinga mikataba hiyo ya wizi bila kujali Hadi wawe Marais. Lakini yeye alikaa kimya maana kwake cheo ilikuwa kitu muhimu. Alipoingia akawa na ulevi waadaraka na akaumua kuvunja mikataba hiyo kama alivyovunja hii ya hapa nchini alipokuwa anaogopwa. Matokeo yake ndio haya.Ni mjinga tu anayeweza kudhani hivyo kwa sababu sio yeye aliyeingia mikataba ya ovyo na hakuna rais wa maana anayeweza kuvumilia mikataba ya ovyo ovyo.
Ni mjinga tu anayeamini kuwa unaweza kuvunja mikataba kihuni na ukabaki salama.Aliposhauriwa njia ambayo haitaleta madhara makubwa ya kuvunja hiyo mikataba akaamua kumpiga risasi aliyetoa ushauri huo.Ni mjinga tu anayeweza kudhani hivyo kwa sababu sio yeye aliyeingia mikataba ya ovyo na hakuna rais wa maana anayeweza kuvumilia mikataba ya ovyo ovyo.
Hutakuwa hata kati kata kwa sababu hufai hata kuchunga mbuziMungu nijaalie na mimi nipate kuwa rais wa Tanzania nitaiba kwa hawa mabwege wallahi.
Hawa wananchi kama maiti za kinondoni
Naelewa sana sana point Yako na umeandika Kwa uchungu mkubwa sanaMungu nijaalie na mimi nipate kuwa rais wa Tanzania nitaiba kwa hawa mabwege wallahi.
Hawa wananchi kama maiti za kinondoni
Mkuu ccm wanafaa wao kuchunga mbuzi??Hutakuwa hata kati kata kwa sababu hufai hata kuchunga mbuzi
Kwa mwizi haibi mwizi mwanangu acha kujiridhishaNaelewa sana sana point Yako na umeandika Kwa uchungu mkubwa sana
Kwa sababu una huruma sana. Nillidhani ungesema kuwa ukiwa rais utawauliwa mbali au kuwafunga ikibidi hata kwa kuwachoma moto kwa vile ni mibakaMkuu ccm wanafaa wao kuchunga mbuzi??
Kwanini nisifai na keki yetu sote
Mkuu ukienda vijijini huko chozi la huruma litakutoka kuona muheshimiwa ana VX 50 kwenye msafara wake wakati watu wana shida ya maji na chakula. Hii nchi inataka iletewe Musa atuvushe kama wana wa IsraelNaelewa sana sana point Yako na umeandika Kwa uchungu mkubwa sana
Musa wa nini wakati wakibanwa wataasi. Shida hazijawabana bado. Omba Mungu shida ziongezeke ili watie akiliMkuu ukienda vijijini huko jozi la huruma litakutoka kuona muheshimiwa ana VX 50 kwenye msafara wake wakati watu wana shida ya maji na chakula. Hii nchi inataka iletewe Musa atuvushe kama wana wa Israel
Mkuu kashindwa kaburu kuwamaliza wazulu ije kuwa mimi sina chuki na watu mimi nataka BoT niweke ukoo wangu tu.Kwa sababu una huruma sana. Nillidhani ungesema kuwa ukiwa rais utawauliwa mbali au kuwafunga ikibidi hata kwa kuwachoma moto kwa vile ni mibaka
Unawakata kiungo kimoja baada ya kingine, una choma moto unakula na unashushia na nyagi!Kwa sababu una huruma sana. Nillidhani ungesema kuwa ukiwa rais utawauliwa mbali au kuwafunga ikibidi hata kwa kuwachoma moto kwa vile ni mibaka
HakikaMusa wa nini wakati wakibanwa wataasi. Shida hazijawabana bado. Omba Mungu shida ziongezeke ili watie akili
Kumbaff kabisa sikujua kumbe ni wale wale!Mkuu kashindwa kaburu kuwamaliza wazulu ije kuwa mimi sina chuki na watu mimi nataka BoT niweke ukoo wangu tu.
Juzi kuna eneo nilikwenda naambiwa si ruhusa kuingia hilo eneo mmiliki mzungu, hii nchi inauzwa na sisi tumo kama kunguni kwenye godoro