Tanzania Yapiga Kura Kuunga Mkono Azimio la Umoja wa Maifa Kuitaka Israel Ijitoe Haraka Iwezekanavyo Gaza

Tanzania Yapiga Kura Kuunga Mkono Azimio la Umoja wa Maifa Kuitaka Israel Ijitoe Haraka Iwezekanavyo Gaza

Sio kweli,vimisasda Vyao havibebi hatima ya maisha yetu.
Ungebahatika kuwa na utimamu kipindi UKIMWI unawateketeza watabzania huku nguvu kazi zikiwa vitandani na wanajeshi wenu wakiongoza kwa maambukizi wakiwa hoi hawajiwezi na hata nchi haijiwezi usingeandika haya.
Ungeijua hali ambayo nchi yenu ilikuwa nayo kabla hawajaanza kuleta dawa za kupunguza makali kwa watu wente maambukizi ya UKIMWI ungejifunza busara.
 
Haifanyi tofauti yoyote kwa maendeleo ya watanzania, wala kwa talfa la Israel.

Sanasana ni gesture tu ya kuwafurahisha wajomba.
 
Mwanzo 12
3 nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.
Hivi vitabu wakati mwingine vimebeba akili za watu jumla.

Yaani Mungu ataibariki nchi ambayo inamuunga mkono gaidi Israel kukalia kimabavu ardhi ya mwingine huku akiuwa watoto wachanga wasio na hatia?

Eeeh Mungu wajaalie hawa ngozi nyeusi maarifa na akili japo za kujitambua tu achilia mbali za kuvumbua teknolojia.
 
Thinking outside the box, kila mwanachama alieunga mkono azimio la kuisupport Palestine ina maana si rafiki tena wa Israel na itakuwa na athari katika mahusiano, biashara, utalii na mengineyo, mf Turkey wameondoa biashara ya chakula cha billions of money walichokuwa wakiuza Israel.

Hii ina maana pia raia wa Israel hawako salama tena kutembelea nchi zinazounga mkono Palestine. Israel inakuwa kisiwa kilichotengwa na sehemu kubwa ya dunia. Ni kitu kibaya sana kwa raia wake hawana amani tena.

Kuna nchi za ulaya kama Norway, Spain na Ireland tayari hazina tena ujamaa na Israel na hii si kitu kizuri kwa maslahi ya Israel.

Athari ni kubwa kuliko many people think.
Israeli hawatishiki.. Mungu ilinde Israel.
 
Mwanzo 12
3 nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.
Ndio maana mwenendo wa nchi hii ni kama tumelaaniwa.
Kila kitu hovyo hovyo, yaani bora liende tu.
 
Ya nyumbani yanamshinda, Israel iliyo km nyingi mashariki huko inamhusu nini? Kwanza anatofautianaje na mzee Nyerere aliyeiunga mkono palestina?
 
Hizi kura za kujua nchi fulani imempigia kura fulani mtakuja kuufyata
Wenye kujitambua huwa wanakwepa hizi kura kwa ku abstain. It iis a wise tactic move, if you want to stay neutral wasijue umelalia wapi. Hii fuata mkumbo itakuja kutugharimu. Nchi zenye kujua manufaa ya kuwa karibu na Israel kama Rwanda ili wanufaike na Technology zao, huwezi kuona wanajihusisha na hizi agenda za magaidi za kutaka kuliangamiza Taifa la Mungu.
 
Ya nyumbani yanamshinda, Israel iliyo km nyingi mashariki huko inamhusu nini? Kwanza anatofautianaje na mzee Nyerere aliyeiunga mkono palestina?
Angalau Nyerere alikuwa anajulikana kama mwana ukombozi bila ya kujali rangi itikadi, wala dini. Kwa sasa motives ni different kwenye siasa zetu za nje.
 
Mimi napinga! Sijapiga hiyo kura kabisa.
Na wala hiyo Kura haiwakilishi maoni au mwelekeo wetu sote watanzania. Ni maoni ya uongozi tu siyo ya wtanzania. Ilitakiwa wananchi tuhusishwe kupitia wawakilshi wetu Bungeni watoe maoni yanaokisi maoni ya wananchi kuhusu suala kama hilo. Kule US Balozi wao pale UN akija kupiga Kura kwenye masuala tata kama hayo, anakuwa ameishspokea maelekezo yanayoakisi maoni ya waliowengi kwao.
 
UN council wana nchi ambazo kura zao zina power US,Russia,China,UK. Hizo nchi ndio kura zao zinaangaliwa zaidi

Wengine mnasindikiza tu hapo. La pili huwez tuma ujumbe kwa beberu bado unapokea misaada, huyo huyo anakupa na mikopo yenye masharti.
punguza bakuli
Plus France . hizo ndizo zinaunda Wajumbe 5 wa Kudumu wa Balaza la Usalama la Umoja wa Mataifa ( UN Security Council) na Kura zao Ni za Veto.
 
Imefanya vyema kupinga mauaji ya watu Gaza yanayofanywa na Israel lakini lakini ubaya Tanzania inafanya mauaji halaiki ya watu wake Kwa kuwateka.
Kwa hiyo na sisi pale ilihitajika Tamko la kulaani mauaji na utekeaji unaoendelea nchini kwetu ili members walipigie Kura. Hams bila shaka wangelitupigia kura ya kutuunga mkono na kupinga hilo azimio.
 
Ungebahatika kuwa na utimamu kipindi UKIMWI unawateketeza watabzania huku nguvu kazi zikiwa vitandani na wanajeshi wenu wakiongoza kwa maambukizi wakiwa hoi hawajiwezi na hata nchi haijiwezi usingeandika haya.
Ungeijua hali ambayo nchi yenu ilikuwa nayo kabla hawajaanza kuleta dawa za kupunguza makali kwa watu wente maambukizi ya UKIMWI ungejifunza busara.
Umenena , wakumbushie hilo
 
Na ndio mana maskini wa kutupwa japo nchi ina utajiri wa maliasili
Kagame pamoja na mapungufu yake, lakini wakati mwingine huwa namkubali. Kwnye kiakao kimoja kikubwa cha World Economic Forum aliwahi kujisemea kwamba "Ukiona wliobarikiwa na rasilimali zote hizi wanaenda kutemebeza Bakuli kwenda kuomba omba , ujue kwamba kuna something wrong in our minds".
 
Back
Top Bottom