Thinking outside the box, kila mwanachama alieunga mkono azimio la kuisupport Palestine ina maana si rafiki tena wa Israel na itakuwa na athari katika mahusiano, biashara, utalii na mengineyo, mf Turkey wameondoa biashara ya chakula cha billions of money walichokuwa wakiuza Israel.
Hii ina maana pia raia wa Israel hawako salama tena kutembelea nchi zinazounga mkono Palestine. Israel inakuwa kisiwa kilichotengwa na sehemu kubwa ya dunia. Ni kitu kibaya sana kwa raia wake hawana amani tena.
Kuna nchi za ulaya kama Norway, Spain na Ireland tayari hazina tena ujamaa na Israel na hii si kitu kizuri kwa maslahi ya Israel.
Athari ni kubwa kuliko many people think.