Tanzania yapokea mkopo wa trilioni 1.2 kutoka Benki ya Dunia. Kuboresha tabia nchi, usalama na barabara

Tanzania yapokea mkopo wa trilioni 1.2 kutoka Benki ya Dunia. Kuboresha tabia nchi, usalama na barabara

Tatizo hii mikopo huko inapoelekezwa ndio tatizo linapoanzia. Wanaboresha hali ya hewa kwaajili ya manufaa yao wakopeshaji halafu kulipa tunalipa sie kwakweli kwa mwenye akili yeyote mikopo ya aina hii kwa nchi zs maghrib ni zaidi ya ujambazi.
Hivi hali ya hewa, ndiyo tunanunua mawingu ya mvua na jua!? Au imekaaje hii!?
 
Naanza kumkumbuka Ndugai.

Alisema "Kuna siku nchi hii itapigwa mnada tukiendelea kukopa"
Marekani hivi anadeni la kiwango kipi vile?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia na juzi kati hapa Mchina kamnyima mkopo mwingine.
 
Yes, anakopa Kwa mchina, Kwa muhindi, hata Kwa mwarabu!
Muone hivyo hivyo!
Wanakopa lkn wanazidi kujenga uwezo wao wa ndani wa kiuchumi. Hawakopi ili kucheza muvi, kulipana posho na kuongezeana mishahara. Huu ni ujinga.

Ni sawa na mtu binafsi kukopa benki ili ufanye sherehe
 
Mkopo huo wa masharti nafuu unalenga kuboresha usalama, ustahimilivu wa TabiaNchi, uwezo wa Barabara na Viwanja vya Ndege vya Mikoa

Utasaidia kukarabati barabara zenye urefu wa Kilomita 500

Tuunge juhudi jamani twendeni na mama 2025
 
Twende taratibu 1.2T/500 = 2.4B.
kwamba km 1 ya lami itajengwa kwa 2.4B au kuna matumizi mengine au ni mimi ndo sijaelewa?
 
Hizi hela zaidi ya 50% zitapigwa na wahuni alafu nchi inaachiwa mzigo mkubwa wa kulipa deni... upigaji ni mwingi sana sasa hivi
 
30% za mkopo huu ni vyema zipelekwe katila nchi ya Zanzibar, kwa kuwa nao ni sehemu muhimu ya uwepo wa JMT.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Mtasaidia kulipa? Idadi ya watu zanzibar ni asilimia ngapi ya tanzania yote? Je eneo la zanzibar ni asilimia ngapi ya tanzania yote? Haina hata ukubwa wa mkoa mmoja wa tanzania bara...
 
Hivi zile trillion 1.5 za CAG ziliwahi kujulikana zilipo?
Hata hii ni yaleyale tu atakuja CAG kusema Mikopo yote ya Samia haionekani ilipo. Maana TOZO ndio zinakusanywa na kutumika kwenye miradi yote ya Serikali.

Katiba mpya ni lazima na ni sasa.
 
Hv kwa nn hawatupi hela tujenge mchuchuma, liganga au kinyerezi nyingine kama 7? Au hata watupe mikopo tujenge viwanda vikubwa
 
Hivi zile trillion 1.5 za CAG ziliwahi kujulikana zilipo?
1653729854985.png
 
Hata hii ni yaleyale tu atakuja CAG kusema Mikopo yote ya Samia haionekani ilipo. Maana TOZO ndio zinakusanywa na kutumika kwenye miradi yote ya Serikali.

Katiba mpya ni lazima na ni sasa.
1653729888185.png
 
Back
Top Bottom