Hivi hali ya hewa, ndiyo tunanunua mawingu ya mvua na jua!? Au imekaaje hii!?Tatizo hii mikopo huko inapoelekezwa ndio tatizo linapoanzia. Wanaboresha hali ya hewa kwaajili ya manufaa yao wakopeshaji halafu kulipa tunalipa sie kwakweli kwa mwenye akili yeyote mikopo ya aina hii kwa nchi zs maghrib ni zaidi ya ujambazi.
Marekani hivi anadeni la kiwango kipi vile?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia na juzi kati hapa Mchina kamnyima mkopo mwingine.Naanza kumkumbuka Ndugai.
Alisema "Kuna siku nchi hii itapigwa mnada tukiendelea kukopa"
Yes, anakopa Kwa mchina, Kwa muhindi, hata Kwa mwarabu!Marekani hivi anadeni la kiwango kipi vile?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia na juzi kati hapa Mchina kamnyima mkopo mwingine.
[emoji38][emoji28][emoji38][emoji23]Yes, anakopa Kwa mchina, Kwa muhindi, hata Kwa mwarabu!
Muone hivyo hivyo!
Wanakopa lkn wanazidi kujenga uwezo wao wa ndani wa kiuchumi. Hawakopi ili kucheza muvi, kulipana posho na kuongezeana mishahara. Huu ni ujinga.Yes, anakopa Kwa mchina, Kwa muhindi, hata Kwa mwarabu!
Muone hivyo hivyo!
Mama anaupiga mwingi!!Deni la taifa limeongezeka for almost 15T within a year.View attachment 2241219
Lahaula!!! Miaka minne sijui itakuaje!!Unaongelea 6! Anakaribia kugonga 13 trillion
Tozo zinaenda kutoza tozo!Hivi Tozo zetu zinaelekezwa wapi siku hizi?
Twende taratibu 1.2T/500 = 2.4B.Mkopo huo wa masharti nafuu unalenga kuboresha usalama, ustahimilivu wa TabiaNchi, uwezo wa Barabara na Viwanja vya Ndege vya Mikoa
Utasaidia kukarabati barabara zenye urefu wa Kilomita 500
Tuunge juhudi jamani twendeni na mama 2025
Hii ni kabla ya huu mkopo mpyaDeni la taifa limeongezeka for almost 15T within a year.View attachment 2241219
Mtasaidia kulipa? Idadi ya watu zanzibar ni asilimia ngapi ya tanzania yote? Je eneo la zanzibar ni asilimia ngapi ya tanzania yote? Haina hata ukubwa wa mkoa mmoja wa tanzania bara...30% za mkopo huu ni vyema zipelekwe katila nchi ya Zanzibar, kwa kuwa nao ni sehemu muhimu ya uwepo wa JMT.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Tatizo ni WatzShida ya Maccm ni ufisadi tu! Tungekuwa mbali sanaa
Hata hii ni yaleyale tu atakuja CAG kusema Mikopo yote ya Samia haionekani ilipo. Maana TOZO ndio zinakusanywa na kutumika kwenye miradi yote ya Serikali.Hivi zile trillion 1.5 za CAG ziliwahi kujulikana zilipo?
Hivi zile trillion 1.5 za CAG ziliwahi kujulikana zilipo?
Hata hii ni yaleyale tu atakuja CAG kusema Mikopo yote ya Samia haionekani ilipo. Maana TOZO ndio zinakusanywa na kutumika kwenye miradi yote ya Serikali.
Katiba mpya ni lazima na ni sasa.