Hizo zinaenda chato na ile Kanda waliomchagua.Sasa hizo box zinatosha Watu wangapi!?
Inaonekana dawa inafanya kazi kwa ufanisi wa asilimia kadhaa na hii imekuwa proved baada ya case za wagonjwa kupungua Madagascar
Je huu mmea hau-exist Tz ili tuanze kufanya production kwaajili ya ujenzi wa taifa??
Sent using Jamii Forums mobile app
una akili sana mkuu!Ninachojua mimi hiyo ni display tu ya kilichokuja
Hizo box tatu zitaishia kwa mawaziri
Hapana mkuu angalia id za wanaobeza wengi ni wale waliokuwa wanazungusha mikono wakiimba "mabadiliko" 2015baadhi ya wachangiaji sijawaelewa kabisa
mzungu ametuweza sana sisi wa africa yaani kuaminiana wenyewe kwa wenyewe ni kama haiwezekani kabisa
dawa imepatikana angalau ya kuonyesha njia watu wanabeza
wanataka dawa mpaka itangazwe na WHO hahahaaaa
midawa yenyewe unakuta ni midonge/misindano inayoambatana na ma hallucination ya kutosha
Waafrica zamani tulikuwa hatuuziani mitishamba. Yani mtu anakupa dawa bure wewe ndyo utaamua utampa nini kama shukrani.Kwa akili yako ndogo, hiyo dawa ni msaada au wamenunua?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]HAPo unaona kuna dawa ngapi? Yani wewe ni kibuyu ujue