Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

Hizo dawa bado hazijathibitishwa kua kweli zinapona......idadi ya waliopona Madagascar ni ndogo sana. Idadi ya maambukizi Madagascar imeongezeka sana mpaka kupelekea rais kuongeza lockdown kwa wiki mbili zaidi......
Mjinga aliyesema kwa kupima Sampuli za mbuzi na mapapai anaweza kufanya conclusion kua Mashine ni feki ndo wapumbavu wanaendelea kumwamini badala ya kuandamana ili aondoke madarakani haraka sn
 
Hii dawa haijathibishwa kutibu Corona na maambukizi ya Corona virus yanaongezeka Madagascar.
Hii dawa haijafanyiwa clinical trials. Sio sawa kutumia resources za umma kufatilia na kubeba kitu kama hicho.
 
Tuanze kunyweshwa sisi tunaowaunga mkono, wapinzani wasubiri za wazungu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahahahahhahaaaa Magu made my day today dah.Sasa Kabudi na uprofesa wake wote maskini muone hapo utasema clown dah kupelekeshwa huku jamani hahahahaha
Kabudi ni wa kuonea huruma tu, unafikiri kumtumikia kiongozi ambae ni psychiatric ni kazi rahisi?
 
Daaaah! Kabudi yupo fastaaaa hatariiiii hahahahahahahahahaha! Nimeamini corona wanaiogopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…