Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

HOFU YANGU
Baada ya hiyo dawa kufanyiwa utafiti nchini Tnzania na kubainika kuwa inafaa kwa matumizi ya Binadamu ,na inauwezo wa kutibu au na Kukinga maradhi ya Corona
1.Wataweza kufanya Supply ya madawa kwa kiwango kikubwa?
2.Hivi hawa jamaa wamesha jiandaa kuzalisha hiyo miti kwa kiwango kikubwa hivyo, kibiashara?
3.Inavyoonesha madagaska Drug industry wako vizuri, Ikiwa na sisi tutahitaji kuzalisha wenyewe hizo dawa ,wataweza kutupatia 'Franchise ' kama wanvyofanya Coca Colaili tuengeneze wenyewe hapa hapa?
Hongera Madagaska
Hongera Raisi wetu kwa Kufanya juhudi hii hadi sasa uko vizuri Mh. Magu, ila endelea kuwa kizuizini huko huko chato hadi hii dawa ilete majibu mazuri ndio urudi ikulu.
 
Zithibitishwe mara ngapi na wameshaonja?
Nimesikia sasa wanasema zimeletwa kwa utafiti! Kwahiyo Prof Kabudi ni sehemu ya majaribio ya utafiti? Ukiingia kwenye siasa hata ukiwa msomi wa sheria, unazisahau hizo sheria!
 
HOFU YANGU
Baada ya hiyo dawa kufanyiwa utafiti nchini Tnzania na kubainika kuwa inafaa kwa matumizi ya Binadamu ,na inauwezo wa kutibu au na Kukinga maradhi ya Corona
1.Wataweza kufanya Supply ya madawa kwa kiwango kikubwa?
2.Hivi hawa jamaa wamesha jiandaa kuzalisha hiyo miti kwa kiwango kikubwa hivyo, kibiashara?
3.Inavyoonesha madagaska Drug industry wako vizuri, Ikiwa na sisi tutahitaji kuzalisha wenyewe hizo dawa ,wataweza kutupatia 'Franchise ' kama wanvyofanya Coca Colaili tuengeneze wenyewe hapa hapa?
Hongera Madagaska
Hongera Raisi wetu kwa Kufanya juhudi hii hadi sasa uko vizuri Mh. Magu, ila endelea kuwa kizuizini huko huko chato hadi hii dawa ilete majibu mazuri ndio urudi ikulu.
Kwa hiyo Kabudi ni sehemu ya majaribio ya utafiti huo!
 
Kujipendekeza ni hulka, kama hukuzaliwa nayo huwezi kuiga ukubwani. Hawa jamaa lazima wainywe live tena mbele ya vyombo vya habari.

They don't even know if it's truly indicated for combating the Covid-19, it's Mechanism of Action, it's Adverse Reactions, it's Side Effects, Interaction with other medications, Caution when using it esp if the person taking it has other medical conditions, Pregnancy, Using when lactating, Dosage vis a vis the user's weight, Is it meant for Prophylactic Use or Not etc.

As the best bet, this herbal medicine should have been taken first by the person who ordered it before extending the bet to others rather than using the defenseless Tanzanians as Guinea Pigs for the Madagascan Herbalists.
 
Kwa hiyo Kabudi ni sehemu ya majaribio ya utafiti huo!
WHO calls for clinical trial of Madagascar's virus cure

ANKARA

The World Health Organization (WHO) on Thursday called for clinical trials of Madagascar's Covid Organics, a herbal drink that is said to prevent and cure patients suffering from the novel coronavirus or COVID-19.

"We are advising the government of Madagascar to take this product through a clinical trial and we are prepared to collaborate with them," Matshidiso Moeti, WHO's regional director for Africa, told a joint media briefing with the WHO and World Economic Forum.

"We would caution and advise countries against adopting a product that has not been through clinical tests for safety and efficacy," Moeti said.

"We are concerned about the impact that COVID-19 will have on the ability of African countries to progress towards Universal health coverage," she added.

There are over 51,000 confirmed virus cases in the African continent, with more than 17,000 associated recoveries and 1,900 deaths, according to the WHO.

"We know that to stop the spread of this virus, key public health measures need to be in place in every community... even where cases have not been reported, readiness capacities should be prepositioned," the WHO official said.

She added that WHO was "working with countries to leverage the assets they have in place already, built in preparedness for Ebola and HIV, TB and polio program among others, as well as to scale-up coordination, mobilize people and repair supply chains globally and locally."

"It’s not a matter of simply today we have lockdowns and tomorrow everything is opened up. It has to be gradual with the most essential parts of the economy being opened up first,'' Moeti said.

Several African countries have lifted the partial lockdown imposed to stem the spread of the virus, but the ban on gatherings is still in place.

While educational facilities remain closed in most African countries, businesses have been allowed to operate conditionally.

African governments say there is need to resume economic activities with imperative to contain the virus.

Moeti said they have guidelines from WHO on "progressively releasing these measures."
 
Katika tafakari yangu bado najiuliza,Hivi huu mfumo wa watu Wenye afya njema Kunywa dawa za wagonjwa umekaa vipi?
Naomba mnisaidie kuhusu hili maana kuna watu wanajipigia huku wanasema wako na utafiti...huu mfumo vipi?
#Uzi tayari...
 
Zitatutosha hizo ? au kila mtanzania tone moja
Siyo kwa watanzania wote! Ni kwa wale tu waliothibitika kuwa na maambukizi!!
Hao viongozi unaowaona wanakunywa si kwamba wameathirika ila wanatutia moyo kuwa dawa haina madhara ndiyo maana wamekunywa kwanza hadharani!
 
Halafu ukizingatia kuwa Madagaska ni kati ya nchi ambazo asilimia kubwa ya waliopata maambukizi wamepona, halafu haina kifo hata kimoja kinachotokana na corona!! Kwa hiyo tuna sababu ya kuiamini dawa yao. Wazungu najua inawauma sana dawa kupatikana Madagaska!
 
Back
Top Bottom