mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
duuuu unawasha ndege kwenda kuchukua mabox 13 tuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapaswa kunywa wagonjwa,sio weweZitatutosha hizo ? au kila mtanzania tone moja
TMDA kumradhiKwani bado wapo hawa?
Si waliunganishwa na TBS.
Dokta malechela alitimuliwa kwa sababu zipi?TMDA kumradhi
Nimesikia sasa wanasema zimeletwa kwa utafiti! Kwahiyo Prof Kabudi ni sehemu ya majaribio ya utafiti? Ukiingia kwenye siasa hata ukiwa msomi wa sheria, unazisahau hizo sheria!Zithibitishwe mara ngapi na wameshaonja?
Kwa hiyo Kabudi ni sehemu ya majaribio ya utafiti huo!HOFU YANGU
Baada ya hiyo dawa kufanyiwa utafiti nchini Tnzania na kubainika kuwa inafaa kwa matumizi ya Binadamu ,na inauwezo wa kutibu au na Kukinga maradhi ya Corona
1.Wataweza kufanya Supply ya madawa kwa kiwango kikubwa?
2.Hivi hawa jamaa wamesha jiandaa kuzalisha hiyo miti kwa kiwango kikubwa hivyo, kibiashara?
3.Inavyoonesha madagaska Drug industry wako vizuri, Ikiwa na sisi tutahitaji kuzalisha wenyewe hizo dawa ,wataweza kutupatia 'Franchise ' kama wanvyofanya Coca Colaili tuengeneze wenyewe hapa hapa?
Hongera Madagaska
Hongera Raisi wetu kwa Kufanya juhudi hii hadi sasa uko vizuri Mh. Magu, ila endelea kuwa kizuizini huko huko chato hadi hii dawa ilete majibu mazuri ndio urudi ikulu.
Mkuu ulitaka shehena yote ipigwe picha?Maboksi 13 ndiyo ndege ya Raisi imeenda kuchukua huku mpokeaji akishukuru sana
Haitafua dafu, ni sawa tu na kikombe cha babu wa Loliondo!
Tunaomba Kwanza huyo aliyeupokea ajiambukize COVID-19 Kimakusudi kisha aitumie hiyo Dawa na tupate Mrejesho wake.
Taifa ambalo haliwekezi katika sayansi, tafiti na technologia ni taifa mfu!
WHO calls for clinical trial of Madagascar's virus cureKwa hiyo Kabudi ni sehemu ya majaribio ya utafiti huo!
👎 Idiot!Asante awamu ya tano kwa kuwajali Watanzania
Siyo kwa watanzania wote! Ni kwa wale tu waliothibitika kuwa na maambukizi!!Zitatutosha hizo ? au kila mtanzania tone moja
Ulitaka ngapi?? Zinatosha kwa idadi ya wagonjwa tulio nao!! Tutakuwa tunaagiza kwa kadri tutakavyohitaji!!Kwa boksi 13?