Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

Mkuu unandugu yako au jirani au ww umekufa
Nina jirani zangu zaidi ya watatu naowafahamu kabisa walifariki kwa ugojwa huo sehemu za mahofisi ya serikali na mabenki watu wengi wamekufa lakini ndio sababu kukawa tahadhari kubwa serikali iliamua kuficha data za walikuwa wanakufa na wagojwa

Lakini jua tu corona haijaathiri kwa kiasi kikubwa bara lote la afrika kama ulaya sasa kwa wale wapenda sifa wanaosema mbona miili hatukuiona mitaani mpe jibu hilo corona haijathiri kwa kiasi kikubwa bara lote la afrika
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ila wabongo bana..eti walipofika Kagera wakageuza kwenda India

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Pamoja na yote hao muwaitao beberus na nduguze hawaonekani hapo Serengeti wala Zanzibar kuja kutalii maana huku ni full kujimwaga pasi barakoa na ndugu yake sanitizer.
 
Subiria muda ukifika utapewa data kama unavyo pewaga za HIV,Homa ya ini na Malaria,watakupa majumuisho yote.
Hujajibu maswali yangu.

Hizo data ni za lini? Wizara ya afya imetoa data mara ya mwisho lini?
 
Ni sababu hatupimi.
Hata tukiamua kuacha kupima UKIMWI basi UKIMWI utaisha Tanzania.
 
Njia pekee ya kuzuia corona ni kuacha kupima na ndio mbinu iliyotumika na jiwe, juzi nilikua rusumo mpaka wa rwanda na tz raia wanapimwa na wanapatwa na coronya sema sijui kwann hawaitangazi
Acha uongo ueshimike mkuu, nina wiki 3 hapa rusumo hiyo covid iko wapi hawa wachina wanaotengeneza umeme si wangesha kimbia wote

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kunandugu yako mkuu anaumwa
Kwa sasa hata ndugu akiumwa, kibongobongo yeye mwenyewe kusema anaogopa na hata vipimo vya kuhakikisha ni siri ya serikali.

Anaunga mkono juhudi kwa self censorship.

Ila kuna mtu katika extended family yuko hospitali kawekewa oxygen hatuambiwi wazi kwa ugonjwa gani.

Nafuatilia kwa karibu huku nikimpa nafasi ya faragha za mgonjwa.
 
Watu wanaumwa, watu wamekufa, mpaka watu wakubwa serikalini misiba ya kitaifa.

Lakini habari zimezimwa.
 
Sir God anatukubali sana wabongo sema ni vile hatujitambui tu
 
Wewe ndio umethubutu kusema kweli watu wengi wanapotea mno na huu ugonjwa kama hutaambiwa kifua kimebana ghafla utaambiwa homa kali. Bado watu wanasema hakuna corona....... Mungu tuu atuepushe kwa kweli
Kwenye familia yako walikufa wangapi?
 
Watu wenye dharau hivyo, nina swali moja tu kwao.

Kama Corona haijaathiri watu wengibsana wakafa kwa mafungu Afrika, lakini inaweza kuathiri watu bado, je, akiipata yeye ikamuua ataona ni sawa?

Kwa sababu haijaathiri watu kwa mafungu tu?
 
Hujajibu maswali yangu.

Hizo data ni za lini? Wizara ya afya imetoa data mara ya mwisho lini?
Data za mwaka huu haijalishi mwezi gani,ukitaka za majumuisho wasubirie wizara ya afya watakupa data.
 
Data za mwaka huu haijalishi mwezi gani,ukitaka za majumuisho wasubirie wizara ya afya watakupa data.
Mwaka huu hata January 1 ni mwaka huu.

Na tarehe ya data ina matter, kwa sababu katika mwezi mmoja tu maambukizi yanaweza kubadilika sana.

Nimekuuliza swali hujalijibu.

Mara ya mwisho Wizara ya Afya kutoa data za maambukizi ni lini?

Hujajibu swali.
 
May hizo za miezi mingine subiri majumuisho kutoka wizara ya afya.
 
May hizo za miezi mingine subiri majumuisho kutoka wizara ya afya.
May mpaka sasa ni miezi mingapi imepita?

Wewe unakubali data za ugonjwa huu za May kama za sasa?

Unaelewa kwamba wananchi kupata habari, kupata habari sahihi na za sasa kwa mambo muhimu ya maisha yao ni haki ya kikatiba?

Unaelewa kwamba serikali kuwanyima watu hizi data kwa muda muafaka ni kuwanyima wananchi haki yao ya kikatiba?
 
Kwani hizo data za may si wametoa wao,basi hata hizo za miezi mengine iliyobakiwa watatoa wao cha msingi vuta subira.

Watanzania hawa hitaji data bali jinsi ya kujilinda ambayo washaambiwa au labda wakitoa data ndio ugonjwa utaisha au watapona.

Du kwa hiyo kujua data za Corona lishakuwa swala la kikatiba,hadi nalo mnataka kulichukulia umaarufu wa kisiasa,ila data za HIV,Malaria,Homa ya Ini Watanzania hawatakiwi kujua ILA CORONA,WHY CORONA?,ugonjwa ambao ni wa kawaida kuliko hata Malaria,HIV au Homa ya Ini.
 
Yani unaitetea serikali ambayo haijatoa data tangu May?

Tell me, why shouldn't I group you with the flat earth society?
 
Yani unaitetea serikali ambayo haijatoa data tangu May?

Tell me, why shouldn't I group you with the flat earth society?
Yaani nilipokuona wa ajabu hadi data za Corona,lishakuwa swala za kikatiba.

😀😀

Sasa wewe data zinakusaidia kama kuelimishwa tayari ushaelimishwa,data subiria utapata subiria.

Alafu huko flat earth society ndipo mnapokaa nyinyi au wewe admin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…