Thibitisha Mungu yupo, halafu elezea kwa nini hamalizi Corona na magonjwa yote watu waishi kwa amani bila magonjwa.Korona ni upumbvu tu ulio enezwa na wajanja kwenda kwa wajinga (Kiranga ukiwemo)
Ndio maana mjanja mwenzao Magufuli kawashtukia, na kuwaamuru wananchi wake wajiachie tu hakuna ugonjwa hapo.
hhahahahahaaaaaaaNmecheka snaa
Maiti zilizosemwa zitadondoka barabarani au kuzikwa kwenye mass graves ziko wapi??Tunajikubalisha tu kwa lazima kwamba Tanzania hakuna Corona.
Wakati hata kupima hatupimi.
Kamuulize aliyesema hivyo, mimi sikuwahi kusema hivyo.Maiti zilizosemwa zitadondoka barabarani au kuzikwa kwenye mass graves ziko wapi??
Wakati ule kunatolewa takwimu za vifo vya corona basi tulikuwa tunasikia kauli ya: "marehemu alikuwa na maradhi mengine"Sasa kama hupimi watu Corona utajuaje huyu anahitaji oxygen kwa sababu ya Corina au la?
Utasemaje Tanzania hakuna watu wenye Corona kama hupimi Corona?
Tuache huko kujiaminisha,kwani wewe uhalisia unauonaje?Tunajikubalisha tu kwa lazima kwamba Tanzania hakuna Corona.
Wakati hata kupima hatupimi.
AmenAsante muumba
Moja ya matatizo yetu makubwa ni kuwaachia kazi wataalamu.Wakati ule kunatolewa takwimu za vifo vya corona basi tulikuwa tunasikia kauli ya: "marehemu alikuwa na maradhi mengine"
Sasa nikawa najiuliza hivi huyo marehemu kafa kwa corona au kafa kwa hayo maradhi mengine huku akiwa na virusi vya corona?
Madaktari ndio wanajua kuwa huyo mwenye kutumia oxgen anasumbuliwa na nini na ni kwa sababu ya nini,ndio kazi yao.
Hutakiwi kusema hatuna Corona bila kupima kwa kiwango kikubwa sana.Tuache huko kujiaminisha,kwani wewe uhalisia unauonaje?
Kwanini wakina mama kuanzia 35 yrs wanapewa wito wa kupima kansa ya kizazi na matiti wakati hawaumwi wala hawana dalili?Unampimaje mtu ambaye haumwi wala kuonyesha dalili au unapima sababu ulaya wanapima?
Yaani sawa sawa sasa hivi uje unambie nikupime Malaria wakati mimi siumwi na sijakwambia kama na hitaji kupimwa.
Wanaoumwa na kuonesha dalili wanapimwa Covid-19?Unampimaje mtu ambaye haumwi wala kuonyesha dalili au unapima sababu ulaya wanapima?
Yaani sawa sawa sasa hivi uje unambie nikupime Malaria wakati mimi siumwi na sijakwambia kama na hitaji kupimwa.
Kansa unaoima kwa hiyari yako kama unaona kabisa mimi nataka kujiridhiisha lkn sio ya kulazimishana pimapima.Kwanini wakina mama kuanzia 35 yrs wanapewa wito wa kupima kansa ya kizazi na matiti wakati hawaumwi wala hawana dalili?
Btw vipimo Vya Jack Ma vilienda wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya wana restriction measures ikiwemo kuvaa barakoa, kupaka sanitizer pamoja na partial lockdown..Kamuulize aliyesema hivyo, mimi sikuwahi kusema hivyo.
Kwani Kenya watu wanadondoka wakifa barabarani?
Kenya kuna Corona au hakuna?
Ni lazima watu kudondoka wakifa barabarani ili nchi iwe na Corona?
Comprehension please.
Wanapimwa au unataka kujua wamepimwa wa ngapi?Wanaoumwa na kuonesha dalili wanapimwa Covid-19?
Taarifa rasmi za serikali zimetolewa lini mara ya mwisho?Wanapimwa au unataka kujua wamepimwa wa ngapi?
Mbona hamulizi mpaka sasa wamepimwa wagonjwa wangapi wa Malaria au Homa ini au HIV magonjwa hatari yanayo wamaliza Wafrika why Corona?
Ni lazima watu kudondoka wakifa barabarani ili nchi iwe na Corona?Kenya wana restriction measures ikiwemo kuvaa barakoa, kupaka sanitizer pamoja na partial lockdown..
Sie hatuna chochote, tunajazana viwanjani na kukumbatiana ovyo ovyo na strangers. Hii ingetosha kutoa majibu ya hayo yaliyosemwa kutuhusu!!
Mungu ni mwema wakati woteUtafiti ambao wazungu itawachukua muda mrefu ni kwanini watanzania hawajapata corona na hakuna case yeyote iliyoripotiwa na wakiangalia Kenya, Uganda wote kesi za corona zipo
Wao hawajui kuwa hata wale Nzige kwetu hawakugusa walienda Kenya, Uganda wakafika Kagera wakageuza kwenda India
Laiti hawa nzige wangeenda kwao then kwetu wasingekuja tungejuta a see
Tuendeleee kuomba Mungu
Tuendelee. Kujifukiza
Kazi ya MunguMataga watasema kazi yake Magufuli[emoji16][emoji16][emoji16]
'mungu' magufuli wooye!
wallahi hii nchi sihamiWao hawajui kuwa hata wale Nzige kwetu hawakugusa walienda Kenya, Uganda wakafika Kagera wakageuza kwenda India