Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

Aliyekwambia Marekani inatuhitaji sisi ni nani?

Niambie ni nini Tanzania iliwahi kuipa Marekani?

Dola tu ikiadimika hapo Tanzania hadi BOT inaanza kulia lia watu msifiche dola.

Halafu wewe kajamba nani,unakuja kuandika mashudu.

WHO, IMF, World Bank na mashirika mengine makubwa ya wazungu wakisitisha huduma zao hapa nchini, Utaona watu mtakavyo anza kujamba jamba.
 

Hujjui historia ya hii nchi

Tanzania ilipopata baa la njaa miaka ya 1970s to 1980s nchi gani ilikuja kuwasaidia?

Hamkuletewa UNGA WA DONOR kutoka Marekani kujiokoa na baa la njaa?

Mbona haya ni mambo mepesi sana mkuu kujielimisha
 
Kwani hatuwezi kuishi bila Marekani? Hebu tujikite na Wachina tuone.

Tulishajikita nao kuanzia mwaka 1969 - 1985 yakatushinda tukaamua kufungua milango kwa Marekani na allies wake.

Tulipigwa na njaa kali sana baada ya vita ya Kagera huyo Mchina alifanya nini mkuu?

And yes, hatuwezi kuishi bila Wamarekani
 
Hujjui historia ya hii nchi

Tanzania ilipopata baa la njaa miaka ya 1970s to 1980s nchi gani ilikuja kuwasaidia?

Hamkuletewa UNGA WA DONOR kutoka Marekani kujiokoa na baa la njaa?

Mbona haya ni mambo mepesi sana mkuu kujielimisha
Haya mafukara yakisha kunywa kahawa zao na kashata ndio yanakuja kutema nyongo humu.

Kwanza hata passport hayana.

Yanaishi kama mti tu 🌲 kutulia sehemu moja.
 

Kwanini Chinese empathisers hamuwezi kumaliza hoja zenu bila kutaja hilo suala nililo-highlight hapo juu?

Kwanini huwa mko so obsessed na hili suala wakuu?
 
US always imekuwa hivyo.

Wewe ndo umeanza kuifuatilia Marekani hivi karibuni.

Kwa mtu mbobevu wa siasa za Marekani hakuna kitu cha kushangaa
Acha kuleta Utani USA imekuwa hivyo kwa kutumia ulaghai na Taasisi kama CIA kwa kuweka vibaraka kila sehemu na kuua watu kila kona (Sankara, Lumumba, Kwame au hata yaliyotokea Iran ni sababu ya USA); bila kusahau kutumia taasisi tofauti na kuungwa mkono kwa kupiga watu sanctions kila siku...

Ingawa kwa kufanya hivi waliweza kufanya huku kwa kuonyesha / portraying being angels wakati ni Satans..., Sasa huyu anachofanya ni portralying lunacy ambayo hata kipofu anaweza kuona kwamba sio sawa (kwahio politically it's a loss)
 
Mungu Wabariki Wazungu
 
Too late
 
Kweni tuna shida gani na America hata tusipoenda? We mleta mada acha kutukuza mafirauni bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…