Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

Jibu swari tusipoenda marekani tutakufa ?
Na hvyo vitu wanatupa bure au tunalipia ?

Ahaa utasema ARVs wanatupa msaada
Wasipoleta za msaada kutoka USAID tutakufa
Mana ndo hoja itakimbilia hapo

Ipo hivi wao wanatuhitaji sisi na sisi tunawahitaji wao
wakitukataa tutapata tabu 7bu tulitengeneza utegemezi wa vitu fulani toka kwai
Lkn kama hatutakiwa na vita basi hatutakufa kwa kukuta mizoga barabarani imezagaa vyakura ARDHI zenye rutuba zipo za kutosha
VENEZUELA ZIMBABWE marekani ilizikataa hizi nchi lkn still wananchi wanaishi hawafi kwa kukuta mizoga maisha yanaenda

Kataa UKORONI mambo leo
Japokuwa sifurahishwi na yanayoendelea katika nchi yetu kwa kuchafua IMAGE ya taifa jinsi uongozi wa bi mdashi ulivyo wa hovyo

ila kuna watu ni rahisi kupakuliwa ikiwa wakiambiwa shart la kuingia USAbaby[emoji1148] ni mpk kupakuliwa watapakuliwa wengi sana wenye shobo na wazunguView attachment 3167960
Aliyekwambia Marekani inatuhitaji sisi ni nani?

Niambie ni nini Tanzania iliwahi kuipa Marekani?

Dola tu ikiadimika hapo Tanzania hadi BOT inaanza kulia lia watu msifiche dola.

Halafu wewe kajamba nani,unakuja kuandika mashudu.

WHO, IMF, World Bank na mashirika mengine makubwa ya wazungu wakisitisha huduma zao hapa nchini, Utaona watu mtakavyo anza kujamba jamba.
 
Jibu swari tusipoenda marekani tutakufa ?
Na hvyo vitu wanatupa bure au tunalipia ?

Ahaa utasema ARVs wanatupa msaada
Wasipoleta za msaada kutoka USAID tutakufa
Mana ndo hoja itakimbilia hapo

Ipo hivi wao wanatuhitaji sisi na sisi tunawahitaji wao
wakitukataa tutapata tabu 7bu tulitengeneza utegemezi wa vitu fulani toka kwai
Lkn kama hatutakiwa na vita basi hatutakufa kwa kukuta mizoga barabarani imezagaa vyakura ARDHI zenye rutuba zipo za kutosha
VENEZUELA ZIMBABWE marekani ilizikataa hizi nchi lkn still wananchi wanaishi hawafi kwa kukuta mizoga maisha yanaenda

Kataa UKORONI mambo leo
Japokuwa sifurahishwi na yanayoendelea katika nchi yetu kwa kuchafua IMAGE ya taifa jinsi uongozi wa bi mdashi ulivyo wa hovyo

ila kuna watu ni rahisi kupakuliwa ikiwa wakiambiwa shart la kuingia USAbaby[emoji1148] ni mpk kupakuliwa watapakuliwa wengi sana wenye shobo na wazunguView attachment 3167960

Hujjui historia ya hii nchi

Tanzania ilipopata baa la njaa miaka ya 1970s to 1980s nchi gani ilikuja kuwasaidia?

Hamkuletewa UNGA WA DONOR kutoka Marekani kujiokoa na baa la njaa?

Mbona haya ni mambo mepesi sana mkuu kujielimisha
 
Kwani hatuwezi kuishi bila Marekani? Hebu tujikite na Wachina tuone.

Tulishajikita nao kuanzia mwaka 1969 - 1985 yakatushinda tukaamua kufungua milango kwa Marekani na allies wake.

Tulipigwa na njaa kali sana baada ya vita ya Kagera huyo Mchina alifanya nini mkuu?

And yes, hatuwezi kuishi bila Wamarekani
 
Hujjui historia ya hii nchi

Tanzania ilipopata baa la njaa miaka ya 1970s to 1980s nchi gani ilikuja kuwasaidia?

Hamkuletewa UNGA WA DONOR kutoka Marekani kujiokoa na baa la njaa?

Mbona haya ni mambo mepesi sana mkuu kujielimisha
Haya mafukara yakisha kunywa kahawa zao na kashata ndio yanakuja kutema nyongo humu.

Kwanza hata passport hayana.

Yanaishi kama mti tu 🌲 kutulia sehemu moja.
 
Kwani mnafikiri Trump na sera zake ni sahihi kwetu atulamishe kumfuata? Kama akitupiga ban eti kwa kua hatupendi sisi kama nchi sio juu yetu kufanya anavyotaka yeye. Marekani na mamwinyi wanaoiongoza wako kwenye lepe la usingizi. Wanafikiri marekani ni mbinguni kila muomini anataka kwenda huko.
Na kwa nyinyi vibaraka mnaopanic kuhusu kwenda Amerika mjue wala hamjui. Tanzania biashara yake kubwa siku hizi ni upande wa mashariki. Ikitokea China kutupiga marufuku kwenda kwao hakika ingekua issue kubwa kiuchumi lakini wachina haitatokea kufanya hivyo. Hao wamarekani acha wabakie kwenye lepe la usingizi kufikiri uhuru hadi kuoana jinsia moja dunia inaonea wivu huo ujinga wao.

Kwanini Chinese empathisers hamuwezi kumaliza hoja zenu bila kutaja hilo suala nililo-highlight hapo juu?

Kwanini huwa mko so obsessed na hili suala wakuu?
 
US always imekuwa hivyo.

Wewe ndo umeanza kuifuatilia Marekani hivi karibuni.

Kwa mtu mbobevu wa siasa za Marekani hakuna kitu cha kushangaa
Acha kuleta Utani USA imekuwa hivyo kwa kutumia ulaghai na Taasisi kama CIA kwa kuweka vibaraka kila sehemu na kuua watu kila kona (Sankara, Lumumba, Kwame au hata yaliyotokea Iran ni sababu ya USA); bila kusahau kutumia taasisi tofauti na kuungwa mkono kwa kupiga watu sanctions kila siku...

Ingawa kwa kufanya hivi waliweza kufanya huku kwa kuonyesha / portraying being angels wakati ni Satans..., Sasa huyu anachofanya ni portralying lunacy ambayo hata kipofu anaweza kuona kwamba sio sawa (kwahio politically it's a loss)
 
Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Mungu Wabariki Wazungu
 
Too late
 
Kweni tuna shida gani na America hata tusipoenda? We mleta mada acha kutukuza mafirauni bhana
 
Back
Top Bottom