Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
Jibu swari tusipoenda marekani tutakufa ?Jiongelee wewe, and for the record almost vitu vingi mnavyotumia today vinatoka kwao,
Mna viwanda au uchumi wa kuwa match?
Na hvyo vitu wanatupa bure au tunalipia ?
Ahaa utasema ARVs wanatupa msaada
Wasipoleta za msaada kutoka USAID tutakufa
Mana ndo hoja itakimbilia hapo
Ipo hivi wao wanatuhitaji sisi na sisi tunawahitaji wao
wakitukataa tutapata tabu 7bu tulitengeneza utegemezi wa vitu fulani toka kwai
Lkn kama hatutakiwa na vita basi hatutakufa kwa kukuta mizoga barabarani imezagaa vyakura ARDHI zenye rutuba zipo za kutosha
VENEZUELA ZIMBABWE marekani ilizikataa hizi nchi lkn still wananchi wanaishi hawafi kwa kukuta mizoga maisha yanaenda
Kataa UKORONI mambo leo
Japokuwa sifurahishwi na yanayoendelea katika nchi yetu kwa kuchafua IMAGE ya taifa jinsi uongozi wa bi mdashi ulivyo wa hovyo
ila kuna watu ni rahisi kupakuliwa ikiwa wakiambiwa shart la kuingia USAbaby[emoji1148] ni mpk kupakuliwa watapakuliwa wengi sana wenye shobo na wazungu