Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

Jiongelee wewe, and for the record almost vitu vingi mnavyotumia today vinatoka kwao,
Mna viwanda au uchumi wa kuwa match?
Jibu swari tusipoenda marekani tutakufa ?
Na hvyo vitu wanatupa bure au tunalipia ?

Ahaa utasema ARVs wanatupa msaada
Wasipoleta za msaada kutoka USAID tutakufa
Mana ndo hoja itakimbilia hapo

Ipo hivi wao wanatuhitaji sisi na sisi tunawahitaji wao
wakitukataa tutapata tabu 7bu tulitengeneza utegemezi wa vitu fulani toka kwai
Lkn kama hatutakiwa na vita basi hatutakufa kwa kukuta mizoga barabarani imezagaa vyakura ARDHI zenye rutuba zipo za kutosha
VENEZUELA ZIMBABWE marekani ilizikataa hizi nchi lkn still wananchi wanaishi hawafi kwa kukuta mizoga maisha yanaenda

Kataa UKORONI mambo leo
Japokuwa sifurahishwi na yanayoendelea katika nchi yetu kwa kuchafua IMAGE ya taifa jinsi uongozi wa bi mdashi ulivyo wa hovyo

ila kuna watu ni rahisi kupakuliwa ikiwa wakiambiwa shart la kuingia USAbaby[emoji1148] ni mpk kupakuliwa watapakuliwa wengi sana wenye shobo na wazungu
FB_IMG_1731448313192.jpg
 
Marekani inakuwa kichekesho nchi inayoendeshwa by the whims za who is incharge at any given time is an example of a Banana Republic..., Like I say and have always said Trump ni mfano mzuri wa one shooting one's own foot...

USA used to be thought as above these shenanigans lakini what has happened in recent years continue to prove otherwise...

Angalizo: Apart ya kwamba Fake News ndio main News siku hizi, lakini Trump tends to be all talk most of the time.., Sadly nadhani hajui au kufahamu kwamba A Pen is Mightier than a Sword...
 
Tupe mfano wa hivyo vitu ambavyo tukivikosa Marekani hatuwezi kuvipata China au popote pale duniani.
1. US dollar unayotumia kununua bidhaa nje ya nchi. Ukikatazwa usiitumie $ hata hizo yeboyebo China huziagizi, hawawezi chukua madafu ambayo hawana kazi nayo.

2. Internet kwa ujumla. Hata hapa JF bila Mmarekani huingii, kwanza hapo ukute either unatumia Android au iOS

3. Mifumo yote ya kibenki, interbank transfer haijalishi ni NMB au Barclays. Haijalishi unatuma/unapokea hela China au India

Tuachane na bidhaa ndio zina mbadala.
 
Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?🥺🤔🙇🏿‍♂
 
Kwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Mwenye hiyo jeuri alikuwa Magufuri peke yake sababu aliwabana watu walipe kodi siyo huyu mnunua magori halafu anashindwa kujenge vyoo naona miaka yake mitano ataiona michungu
 
Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
. . . facts and policies change . . .

ni swala la kujua kiingereza tu
 
Mkuu kwani ni lini Tanzania ilitaka kwenda Marekani? Mbona hii nchi toka ilipojipatia uhuru wake haijawahi kuzurula hata kwenda hapo nchi jirani ya Kenya, imekuwaje leo iwaze kwenda Marekani?
 
Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Kwani mnafikiri Trump na sera zake ni sahihi kwetu atulamishe kumfuata? Kama akitupiga ban eti kwa kua hatupendi sisi kama nchi sio juu yetu kufanya anavyotaka yeye. Marekani na mamwinyi wanaoiongoza wako kwenye lepe la usingizi. Wanafikiri marekani ni mbinguni kila muomini anataka kwenda huko.
Na kwa nyinyi vibaraka mnaopanic kuhusu kwenda Amerika mjue wala hamjui. Tanzania biashara yake kubwa siku hizi ni upande wa mashariki. Ikitokea China kutupiga marufuku kwenda kwao hakika ingekua issue kubwa kiuchumi lakini wachina haitatokea kufanya hivyo. Hao wamarekani acha wabakie kwenye lepe la usingizi kufikiri uhuru hadi kuoana jinsia moja dunia inaonea wivu huo ujinga wao.
 
Marekani inakuwa kichekesho nchi inayoendeshwa by the whims za who is incharge at any given time is an example of a Banana Republic..., Like I say and have always said Trump ni mfano mzuri wa one shooting one's own foot...

USA used to be thought as above these shenanigans lakini what has happened in recent years continue to prove otherwise...

US always imekuwa hivyo.

Wewe ndo umeanza kuifuatilia Marekani hivi karibuni.

Kwa mtu mbobevu wa siasa za Marekani hakuna kitu cha kushangaa
 
Jibu swari tusipoenda marekani tutakufa ?
Na hvyo vitu wanatupa bure au tunalipia ?

Ahaa utasema ARVs wanatupa msaada
Wasipoleta za msaada kutoka USAID tutakufa
Mana ndo hoja itakimbilia hapo

Ipo hivi wao wanatuhitaji sisi na sisi tunawahitaji wao
wakitukataa tutapata tabu 7bu tulitengeneza utegemezi wa vitu fulani toka kwai
Lkn kama hatutakiwa na vita basi hatutakufa kwa kukuta mizoga barabarani imezagaa vyakura ARDHI zenye rutuba zipo za kutosha
VENEZUELA ZIMBABWE marekani ilizikataa hizi nchi lkn still wananchi wanaishi hawafi kwa kukuta mizoga maisha yanaenda

Kataa UKORONI mambo leo
Japokuwa sifurahishwi na yanayoendelea katika nchi yetu kwa kuchafua IMAGE ya taifa jinsi uongozi wa bi mdashi ulivyo wa hovyo

ila kuna watu ni rahisi kupakuliwa ikiwa wakiambiwa shart la kuingia USAbaby[emoji1148] ni mpk kupakuliwa watapakuliwa wengi sana wenye shobo na wazunguView attachment 3167960
Never said arv , ni more than that. Na hakuna mahali kwamba tusiopoenda tutakufa hapana, kusema kwamba wanatutegemea sisi kuliko wao that bullshit?
Every rais mwafrika including wa kwetu, after uteuzi? Lazima atembelee nchi almost zote za hapo mabwana? Why?

When it comes to misaada, kuna economic aid,development aid, military and support aid.
Sawa?
I dont say ni lazima? But why?
 
Back
Top Bottom