Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimaliza wewe na nani?? Wewe kidampa tu wa hapa jF ndo wa kutoa kauli hizo?😄😄Tukimaliza huku tunarudi kuchunguza uraia wa wabunge wote wa maeneo yale! Tunaweza kuwa na mapandikizi ya nchi jirani wanaotuhujumu mpaka bungeni
Wasalimie Nairobi waambie, the sleeping Giant Tanzania , ameamka rasmiUkimaliza wewe na nani?? Wewe kidampa tu wa hapa jF ndo wa kutoa kauli hizo?😄😄
Hii anonymity imewajaza sana viburi nyinyi machawa.
Kachanganyikiwa huyu mkenya , achana naewanalisha popote? How kwanini wasilishe kwao kwanini walete Ng'ombe Tanzania unawajua wakenya vizuri ingekua kundi la Ng;ombe linatoka Tanzania linaenda kwao unadhani wangekubali
Inamaana OP mpaka KARAGWE ...Na wewe Mkenya nini? Tulieni tu, si mlibeep? Sasa tunawapigia
rahisi sana hiyo kazi tulia kwanzaMmasai utambua vipi kama ni Mkenya au TZ ?
Na wewe upo Kenya nini? mbona unaweweseka?Usifanye maamuzi ukiwa na hasira au na furaha sana!
Gov joho mwenyewe Ana ndugu zakeMbowe ana wajomba zake Nyeri
Daah! Kweli elimu inahitajika sana. Kwamba Maasai hawezi kuwa mhamiaji haramu? Na kwamba hata akipita mpaka halali hakaguliwi? Bila shaka hujui maana ya uhamiaji haramu au unajua ila umeamua kuandika taarifa potofu kwa kukusudia.Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
"Mmasai hata boda akuguliwi"Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
Achana nae huyo mkenya, kachanganyikiwa deal lao lq kuharibu utalii kaskazini mwa Tanzania limebumaDaah! Kweli elimu inahitajika sana. Kwamba Maasai hawezi kuwa mhamiaji haramu? Na kwamba hata akipita mpaka halali hakaguliwi? Bila shaka hujui maana ya uhamiaji haramu au unajua ila umeamua kuandika taarifa potofu kwa kukusudia.
Daah! Kweli elimu inahitajika sana. Kwamba Maasai hawezi kuwa mhamiaji haramu? Na kwamba hata akipita mpaka halali hakaguliwi? Bila shaka hujui maana ya uhamiaji haramu au unajua ila umeamua kuandika taarifa potofu kwa kukusudia.
Mwarabu gani?Akaguliwe mwarabu kwanza, kati ya Mmasai na Mwarabu wa kuapia na haramu?
Wewe utakuwa Nyang'au sio bureNguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
Wajaluo wa Kenya na Tanzania wanatambulika na kutofautishwa. Ukienda kusini hali kadhalika Mmakonde wa Msumbiji na Mmakonde wa Tanzania wanatambulika na kutofautishwa. Wamasai wa Kenya na Tanzania wanatofautishwa kwa uzuri tu. Tuwaachie wenye taaluma zao waendelee na kazi ya kuilinda mipaka ya nchi yetu.Mmasai utambua vipi kama ni Mkenya au TZ ?
Wewe utakuwa Nyang'au sio bure
. Ukienda kusini hali kadhalika Mmakonde wa Msumbiji na Mmakonde wa Tanzania wanatambulika na kutofautishwa. Wamasai wa Kenya na Tanzania wanatofautishwa kwa uzuri tu. Tuwaachie wenye taaluma zao waendelee na kazi ya kuilinda mipaka ya nchi yetu.