Tanzania Yatangaza Operesheni Maalum kuondoa Wahamiaji haramu eneo la Ngorongoro na Loliondo

Tukimaliza huku tunarudi kuchunguza uraia wa wabunge wote wa maeneo yale! Tunaweza kuwa na mapandikizi ya nchi jirani wanaotuhujumu mpaka bungeni
Ukimaliza wewe na nani?? Wewe kidampa tu wa hapa jF ndo wa kutoa kauli hizo?😄😄

Hii anonymity imewajaza sana viburi nyinyi machawa.
 
wanalisha popote? How kwanini wasilishe kwao kwanini walete Ng'ombe Tanzania unawajua wakenya vizuri ingekua kundi la Ng;ombe linatoka Tanzania linaenda kwao unadhani wangekubali
Kachanganyikiwa huyu mkenya , achana nae
 
Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
Daah! Kweli elimu inahitajika sana. Kwamba Maasai hawezi kuwa mhamiaji haramu? Na kwamba hata akipita mpaka halali hakaguliwi? Bila shaka hujui maana ya uhamiaji haramu au unajua ila umeamua kuandika taarifa potofu kwa kukusudia.
 
"Mmasai hata boda akuguliwi"
Kama hii ndio sababu ya kuwafanya wavuke boda utaratibu basi ni sababu weak vibaya mno.
After all wale pia ni raia wa nchi husika. Kuwa masai hakukupi special status
 
Daah! Kweli elimu inahitajika sana. Kwamba Maasai hawezi kuwa mhamiaji haramu? Na kwamba hata akipita mpaka halali hakaguliwi? Bila shaka hujui maana ya uhamiaji haramu au unajua ila umeamua kuandika taarifa potofu kwa kukusudia.
Achana nae huyo mkenya, kachanganyikiwa deal lao lq kuharibu utalii kaskazini mwa Tanzania limebuma
 
Daah! Kweli elimu inahitajika sana. Kwamba Maasai hawezi kuwa mhamiaji haramu? Na kwamba hata akipita mpaka halali hakaguliwi? Bila shaka hujui maana ya uhamiaji haramu au unajua ila umeamua kuandika taarifa potofu kwa kukusudia.

Akaguliwe mwarabu kwanza, kati ya Mmasai na Mwarabu wa kuapia na haramu?
 
ila magu alinyoosha wakenya sana.
wamshkuru sana odinga ndo alikuwa best wa magu kidogo akafunga gavana.
 
Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
Wewe utakuwa Nyang'au sio bure
 
Mmasai utambua vipi kama ni Mkenya au TZ ?
Wajaluo wa Kenya na Tanzania wanatambulika na kutofautishwa. Ukienda kusini hali kadhalika Mmakonde wa Msumbiji na Mmakonde wa Tanzania wanatambulika na kutofautishwa. Wamasai wa Kenya na Tanzania wanatofautishwa kwa uzuri tu. Tuwaachie wenye taaluma zao waendelee na kazi ya kuilinda mipaka ya nchi yetu.
 
. Ukienda kusini hali kadhalika Mmakonde wa Msumbiji na Mmakonde wa Tanzania wanatambulika na kutofautishwa. Wamasai wa Kenya na Tanzania wanatofautishwa kwa uzuri tu. Tuwaachie wenye taaluma zao waendelee na kazi ya kuilinda mipaka ya nchi yetu.

Hauna nchi kama unavyojidanganya!
 
Back
Top Bottom