Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #61
Mwarabu wa wapi? Hapo kwako Nairobi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atajulikana tu. Janja janja za kuua mbuga ndani ya 50yrs-100 yrs ndo zinaanza kuzimwa. Tusidharau intelijensia ya Jamhuri. Ondoa wote wabaki idadi isiyo hatarishi na wawe watanzania.Mmasai utambua vipi kama ni Mkenya au TZ ?
Atajulikana tu. Janja janja za kuua mbuga ndani ya 50yrs-100 yrs ndo zinaanza kuzimwa. Tusidharau intelijensia ya Jamhuri. Ondoa wote wabaki idadi isiyo hatarishi na wawe watanzania.
Chawa unaenda mbio sana.Tukimaliza huku tunarudi kuchunguza uraia wa wabunge wote wa maeneo yale! Tunaweza kuwa na mapandikizi ya nchi jirani wanaotuhujumu mpaka bungeni
JURASIC PARK SIYO 😃. Kazi ipo.->Sababu walikuwa ni vifaranga wa kenya au sababu ni nini?
->kingine JPM hakuwa anakokotwa kama malaya na wawekezaji wangese na nyie mnashangilia kwa vigelegele,OBC yenye ilionja jiwe la moto.
->uchawa(umaskini) unanyima fursa ya kutumia akili kufikiri kwa upana mf.Salome makamba anashangaa mmasai kuongea kiingereza cha ndani at the same anajifanya anaijua ngorongoro sana,mnatia aibu sana.
->kama tungefikiri kwa mapana sana na kufocus kwenye human development badala ya asset and resource development hapo mbeleni technology revolution inaleta mapinduzi hata kwenye utalii mf.Ujenzi wa NEOM CITY mradi unaogharimu $500billions phase 1 ni 2025,ndani yake kuna mradi konki unaitwa JURASIC PARK wanatumia teknolojia ya animatronic kuwatengeneza dinosaurs je? watalii wangapi wataenda huko TUFIKIRI NJE YA BOX.
Nchi haijalala.Umelala bado!
Hao watalii wa teknolojia watamiminika kuangalia 'Jusaric park' wa kutengeneza ?...🙄🙄🙄mf.Ujenzi wa NEOM CITY mradi unaogharimu $500billions phase 1 ni 2025,ndani yake kuna mradi konki unaitwa JURASIC PARK wanatumia teknolojia ya animatronic kuwatengeneza dinosaurs je? watalii wangapi wataenda huko TUFIKIRI NJE YA BOX.
Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
Nilitaka kujiuliza inakuwaje Mkenya asiliawa Narok asikoment uzi huuChawa unaenda mbio sana.
Wazungu wanataka kuona mnyama kwenye mazingira yake asilia tena akiwinda na kula kiasili sio hayo mazingaombwe ya Jurasik ParkHao watalii wa teknolojia watamiminika kuangalia 'Jusaric park' wa kutengeneza ?...🙄🙄🙄
Wazungu wanataka kuona mnyama kwenye mazingira yake asilia tena akiwinda na kula kiasili sio hayo mazingaombwe ya Jurasik ParkHao watalii wa teknolojia watamiminika kuangalia 'Jusaric park' wa kutengeneza ?...🙄🙄🙄
Jamaa hata viatu hana ila anavyojitutumua sasaUkimaliza wewe na nani?? Wewe kidampa tu wa hapa jF ndo wa kutoa kauli hizo?😄😄
Hii anonymity imewajaza sana viburi nyinyi machawa.
Alikuwa wapi siku zote hadi akaacha liwe tatizo?"Nchi yetu imebarikiwa kwa kuwa na maeneo mazuri ambayo yanavutia wahamiaji haramu kufika nchini kwa sababu tofauti, hatutakubali hilo litokee wakati wowote ule," amesema Kamishna Makakala.
Duh!Hii ni mbinu chafu sana ya kuwaondoa wamasai ngoro ngoro.
Tumieni madaraka yenu vibaya tu ila hizo nafasi zenu hamtadumu nazo milele mtazikuta na mtaziacha ila ipo siku mtajutia matendo yenu haya na hamtapata wa kumuomba msamaha kwani Mungu atawashughulikia yeye mwenyewe na akimaliza kwenu atahamia kwa uzao wenu.
Wakaribishe wamasai uishi nao kwenuNguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
Wakaribishe wamasai uishi nao kwenu
Kwani UN baba yako?Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
Hili la msingi sana.Tukimaliza huku tunarudi kuchunguza uraia wa wabunge wote wa maeneo yale! Tunaweza kuwa na mapandikizi ya nchi jirani wanaotuhujumu mpaka bungeni